Kwa muda wa saa 1 Nape kaitaja CHADEMA mara 57

Dec 11, 2010
3,321
6,328
Kwenye mjadala wa tuongee asubuhi uliorushwa na kituo cha runinga cha startv uliokuwa na kichwa "Maazimio ya nec ccm kuelekea 2015" Nape Nauye ameitaja Chadema mara 57 ndani ya saa 1 kwenye hoja zake tofauti wakati wa kuchangia na kujibu maswali.

Yeye binafsi alisha wahi kusema kuwa ni muda wa Chadema kucheza ngoma ya ccm, najiuliza hiyo Nec ilikaa ili kuijadili chadema au kutengeneza mpango mkakati wao kuelekea 2015?
 
kwa kuwa saa 1 lina dakika 60, na ndani ya hizo dakika ametaja CHADEMA mara 57, ina maa kwa kila dakika 1 alitaja CHADEMA. Hii inaonyesha inavyomsumbua akili na kumkosesha amani.
 
Cdm imekuwa tishio kwa watawala ambao walitawala kwa wajinga au nidhamu ya woga kwa muda wa miaka 50,,,, mimi sijui ana wasi wasi wa nini? wakati ana dola mitutu ya bunduki imeekelezwa magogoni kumlinda,,,, ajiamini tu asiwe na wasiwasi ... Hii chama cha msimu tu... itaisha kama NCCR,cuf .,,,
 
That shows just how much damage inflicted on CCM thinking by CHADEMA. Sasa hivi Nape kabakia kuimba ukabila. Kijana mdogo kama yeye anaimba ukabila!
 
Heehee mkuu Mohamedi Mtoi, CCM kwaleo kila ipumuapo inaitaja chadema, hawawezi kufanya jambo lolote ndani na nje ya ccm bila kuitaja chadema!

Ni hatari sana kwa chama tawala kuendesha siasa mithiri ya chama cha upinzani, naamini wanajianda vema kuwa wapinzani wazuri ifikapo 2015!
 
Hiki chama cha CDM ni kama maji, usipoyaoga-utayanywa,utafulia, utayapikia,ni kama mvua hivi huwezi kuizuia kunyesha. Aisifiae mvua.................kiukweli mvua ya CDM inanyeshea sana Nape
 
Tatizo la Magamba ndiyo hilo badala ya kutimiza ahadi zao wanabaki wakiwaza CDM. Wizi, Ubadhirifu, ufisadi, unafanyika badala ya kushughulikia hayo wanajadili CDM wakifikiri kitakufa, Naomba niwakumbushe kuwa wasahau kabisa kwamba CDM ni chama cha msimu. Ushauri wangu watekeleze ahadi zao ili 2015 tutakapoingia Magogoni tuweze kuwaingiza kwenye kumbukumbu chanya.
 
Kwenye mjadala wa tuongee asubuhi uliorushwa na kituo cha runinga cha startv uliokuwa na kichwa "Maazimio ya nec ccm kuelekea 2015" Nape Nauye ameitaja Chadema mara 57 ndani ya saa 1 kwenye hoja zake tofauti wakati wa kuchangia na kujibu maswali.

Yeye binafsi alisha wahi kusema kuwa ni muda wa Chadema kucheza ngoma ya ccm, najiuliza hiyo Nec ilikaa ili kuijadili chadema au kutengeneza mpango mkakati wao kuelekea 2015?

Hatakanusha soon kwenye wall yake stay tune!
 
Heehee mkuu Mohamedi Mtoi, CCM kwaleo kila ipumuapo inaitaja chadema, hawawezi kufanya jambo lolote ndani na nje ya ccm bila kuitaja chadema!

Ni hatari sana kwa chama tawala kuendesha siasa mithiri ya chama cha upinzani, naamini wanajianda vema kuwa wapinzani wazuri ifikapo 2015!

Yericko Nyerere!
Hakuna kitu kinawauma ccm kama wanapofikiria hatma yao 2015 na hii yote ni kwa sababu wanajua wengi wao hasa wale wa ile list of shame wataionja jela.
 
Huyu dogo atapasuka kichwa kwa kuiwazia CDM.. anatakiwa aelewe CDM ni dudu kubwa ambalo linatamalaki anga zima,it's so rampant jooh!
 
Na kama CDM wanachofanya, Nape anaona kwamba kitakwenda kuwaua wenyewe, ni kwanini aangaike nao kuwataka wajirekebishe ili wasije kufa kama CUF! Si wanasema Adui yako mwombee njaa? Au Nape amesahau hilo? Nape haoni kwamba, kama anaona CDM wanajiharibia, sasa ndio wakati mzuri wa CCM kukaa kimya ili CDM kijiue chenyewe? Wasiwasi wa Nape ni nini kama Sera za CDM zinakiua chenyewe? Au CDM kikifa, Nape atapata hasara gani? Nape aache Unafiki. Aendelee na Lichama lake linaloelekea kaburini.
 
Chadema sasa ni chama kinachoonyesha kufanya vema..tunawaomba wajitahidi kuepukana na viongozi wa kipuuzi wa aina yeyote ile watakaokuwa ndani yao..mungu wape nguvu..ubunifu na umakini katika kupanga, kutekeleza sera na kusimamia wanachi..

Wawe makini katika kuziangalia njia za wizi za wapinzani wao..Nape anajua kuwa chama chake kipo mashakani ila hataki kuamini kwa kukiri hvyo..

Anajua, anamshauri Raisi hilo kuwa lazima wasafishe chama la sivyo hawana utawala..
 
kwa kuwa saa 1 lina dakika 60, na ndani ya hizo dakika ametaja CHADEMA mara 57, ina maa kwa kila dakika 1 alitaja CHADEMA. Hii inaonyesha inavyomsumbua akili na kumkosesha amani.
Una matatizo wewe unahtj tiba ya akili
 
kwa hiyo mtoa hoja ulichukua kalamu na karatasi ukaanza ku-tally kila wakati ulivyosikia neno CHADEMA toka kwa Nape....!!
 
That shows just how much damage inflicted on CCM thinking by CHADEMA. Sasa hivi Nape kabakia kuimba ukabila. Kijana mdogo kama yeye anaimba ukabila!

Nape aachie nafasi yake kwani alikuwa mtoto wa kigogo, ampishe mtoto wa maskini ndiyo tutaamini kupitia ccm Tanzania ni mali ya maskini na matajiri, vinginevyo hapana hata angevua kutoa maelezo hatutamwelewa.
 
Kama umetabiriwa kuwa kifo chako kitatokana na ugonjwa wa mafua tuu, basi kila wakati lazima uutaje ugonjwa huo na ukimwona mwenye mafua atakuwa adui yako maana anaweza kukuambukiza na ukafa kwa hayo mafua. Utatumia gharama kuwa kuwasisitiza watu kuwa mafua ni ugonjwa mbaya kuliko ukimwi ili watu waogope mafua zaidi ili usije ambukizwa na ukafa.
CCM ishajuwa kuwa kifo chake ni uwepo wa Chadema hivyo lazima Nape & co waitaje sana maana ndio their licence to death
 
Back
Top Bottom