Kwa matokeo yangu haya naweza kupata nafasi DAR INSITUTE OF TECHNOLOGY (DIT).. Msaada

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
Kwa wale wenye ufahanu kuhusu qualification za DIT au ambao mmesoma hapo au mna ndugu zenu hapo nisaidieni kwa matokeo yangu haya naweza kupata nafasi katika ordinary diplom in Labaratory technician au Computer engineerin.
Division four ya 27.
Civ-D
Gography-D
Kisw-C
Engl-C
Math-D
Chemistry-D
Physics-F
MSAADA WENU..
 
Kama wewe ni KE waweza kupata kwa kupia Mature entry lakini kama wewe ni ME sahau mkuu, hii ni kutokana na hako ka F ka Physics ulikopata, Lakini nikupongeze kwa matokeo uliyoyapata kwani uticha wa primary hapo ni kugusa tu lazima utapata
 
Div 4 point 27! Ndugu yangu rudia mitihani ! Hapo hupati nafasi vinginevyo wahi certificate ya ualimu grade A
 
Jaribu vyuo ka muccobs,mzumbe,ifm,iaa,tumain na saut,watakuchukua kwa level ya certificate.
 
Honger umejitahidi mdogo wangu,mimi niseme unaweza kupata wala usiwe na wasiwasi kwani kuna mdogo wangu alikua na matokeo kama hayo ingawa yeye hakua na F ya Physics,cha msingi utachukua Joining Instructiions then utasoma mature entry for 3months then utapiga paper baada ya hapo ukifanya vizuri wanakubakisha hapo ila mwaka wa kwanza utajilipia then baada ya hapo gvt inaweza kukusupport nayasema haya nna uhakika nayo na yupo mdogo wangu hapo amefanikiwa kupitia hizo njia nilizokuwekea kwa hyo usikaishwe tamaa hata kidogo,ada yao kama ukiqualify ni laki7 then utakapokua unasoma mature entry kwa miezi 3 utatoa kama kama laki na elfu tano hivi,kila la kheri mdogo wangu usikate tamaa nenda pale kakomae kwani yanawezekana haya kwa maombi
 
plz naomba namba yako ya simu.
 
Huku ndiko kunakoitwa kujitahidi? Basi Elimu yetu haina maana
 
Hivi huu ualimu ndo kwa ajili ya waliofeli tu? Watoto wetu wanafundishwa na walimu waliofeli watoto wakifeli tunalaumu watoto wamefeli? Mambo gani haya!
 
Je na aliyepata hv
p=D
C=D
M=C
H=C
CI=C
K=C
G=C
L=D
B=D
KAPATA III=23 anaweza pata Eletronic Au computer
 
Acha kumpotezea dogo muda,DIT hawatakuchukuwa una F ya physics,fani ya Laboratory unayoomba ni pure PCB,hata kama ungepata utaenda kuteseka physics na hesabu zimesimama kinoma,nimeingia pale na division one nikapiga diploma na digree pale upande wa Electronics,nimemaliza lakini cha moto nimekiona! sitamani mdogo wangu aende pale tena wewe mwenye division four Uta-disco asubuhi na mapema wahi ualimu ushike kimshahara chako uanze na ujasilia mali kubali uwezo wako ni mudogo.
 
Back
Top Bottom