Kwa matokeo yangu haya naweza kupata nafasi DAR INSITUTE OF TECHNOLOGY (DIT).. Msaada

kwa wale wenye ufahanu kuhusu qualification za dit au ambao mmesoma hapo au mna ndugu zenu hapo nisaidieni kwa matokeo yangu haya naweza kupata nafasi katika ordinary diplom in labaratory technician au computer engineerin.
Division four ya 27.
Civ-d
gography-d
kisw-c
engl-c
math-d
chemistry-d
physics-f
msaada wenu..

phy itakukwamisha, labda tafuta chuo private lakini na hapo dit jaribisha
 
pole sana hiyo f---ya physics......ila kwa matokeo yako unaweza kusoma it...peke yake ila kwa kozi hizi nyingine watakuzingua na f....ya phyisics au kama unaona vipi nenda udsm....center of virtual learning piga certificate in computer science wanakuchukua
 
pole sana hiyo f---ya physics......ila kwa matokeo yako unaweza kusoma it...peke yake ila kwa kozi hizi nyingine watakuzingua na f....ya phyisics au kama unaona vipi nenda udsm....center of virtual learning piga certificate in computer science wanakuchukua

hiyo IT ni kwa mda gan?
 
Acha kumpotezea dogo muda,DIT hawatakuchukuwa una F ya physics,fani ya Laboratory unayoomba ni pure PCB,hata kama ungepata utaenda kuteseka physics na hesabu zimesimama kinoma,nimeingia pale na division one nikapiga diploma na digree pale upande wa Electronics,nimemaliza lakini cha moto nimekiona! sitamani mdogo wangu aende pale tena wewe mwenye division four Uta-disco asubuhi na mapema wahi ualimu ushike kimshahara chako uanze na ujasilia mali kubali uwezo wako ni mudogo.
Usimkatishe tamaa ki hivyo! Kupata div 4 haimaanishi alikuwa hafanyi vizuri kwenye masomo yake kuanzia form1. Inawezekana siku ya paper maswali yalimpiga chenga, kitu ambacho ni kawaida. Wajasiriamali unaowazarau ndiyo wenye mafanikio makubwa kuliko tunaojifanya tuna akili sana wakati hatujavumbua hata kitu kimoja katika maisha yetu!
 
@ Sometimes Ahsante kuniunga mkono kama nilivyomshauri maana yeye ana anataka angalau professional ya kuanzia ili assije akaitwa mwizi mtaani,nikashauri awe mwalimu by professional alafu kisha awe mjasilia mali asilazimishe kukomaa na mchundo,wapi nimedharau ujasilia mali hali mimi mwenyewe ni mjasilia mali pia labda hujui maana ya ujasilia mali ukizani ni wale machinga peke yake. Ukikaa kusubiri mshahara uingie kwenye account peke yake uzao wako utakuwa masikini.
 
kozi ya it.....ni miaka mitatu unaanza cheti mpaka diploma......vijana wengi tupo nao pale karibu dit.......
 
Weka matokeo yote hadharani na umemaliza mwaka gani,wanaochukuliwa direct entry ni wale matokeo yao yametoka majuzi na wanalipa ada za serikali,Telecom ina ushindani inategemea pia umepata division ngapi, watu wanakimbia Mechanical Engineering michoro imetulia,kama uanjilipia mwenyewe umeshapata.
 
kwa wale wenye ufahanu kuhusu qualification za dit au ambao mmesoma hapo au mna ndugu zenu hapo nisaidieni kwa matokeo yangu haya naweza kupata nafasi katika ordinary diplom in labaratory technician au computer engineerin.
Division four ya 27.
Civ-d
gography-d
kisw-c
engl-c
math-d
chemistry-d
physics-f
msaada wenu..

score zimekaribia kabisa za rafiki yangu
 
Sorry ndugu yangu nilitaka kumaanisha Pre entry ndugu yangu

hata pre-entry zimepigwa mafuruku. Mtu akitaka kusoma pre-entry na mature age entry utaandaliwa utaratibu itakuwa ni course za mwaka mmoja zitakuwa kikanda
 
Back
Top Bottom