Kwa matokeo haya unaweza kusoma kozi gani chuo?

iampizooh

Member
Sep 2, 2017
43
34
Naomba kuuliza,

Kwa matokeo haya form 6 je, unaweza soma course gani chuoni na kwa Level gani?

H-F K-E L-E na GS -E Division iii point ya 17

Je, mtu huyu ataenda kusoma course gani ambayo itamsaidia mbeleni.

Naomba msaada wadau.
 
Aisee. Had Kiswahili anapata E?

Huyo ajihesabie hajasoma tu Advanced Level. Atumie cheti chake cha form four kwendea chuo.
 
Naomba kuuliza,

Kwa matokeo haya form 6 je, unaweza soma course gani chuoni na kwa Level gani?

H-F K-E L-E na GS -E Division iii point ya 17

Je, mtu huyu ataenda kusoma course gani ambayo itamsaidia mbeleni.

Naomba msaada wadau.
Tumia cheti Cha form four Mkuu usome diploma ya uandishi wa Habari
 
Nenda uwalimu kisha tafuta shule iliyopo mjini ya serikali kama ukipata ajira kisha unajiendeleza.

Au nenda polisi kisha ukajiendeleze utanishukuru.

ila vijana vya vyuo ni wabishi
 
Boss hapa ualimu gani utafaa...Msingi au secondary kwa ngazi ya Diploma?
 
Msingi itakusaidia kufanya mambo kiuraisi na mda wa kujisomesha kama unapigana
Kabla ya hapo nilisomea Ualimu wa msingi kwa Grade la III A
So mwaka jana nikatafuta centre ya Mtihani wa form 6 nikafanya ndo nkapata hayo matokeo,nilikua najisomea mwenyewe bila mwalimu....Bado pia nasubiri Ajira toka serikalini nilimalza 2019
 
Ingia polisi au magereza kuna fursa sana tena magereza ndio sana
 
Kumbe ulikuwa pc kwa tokeo hilo sawa umepambana sana kama unadaraja la 3A ualimu omba ajira kwanza ukupata utajiendeleza diploma baadae
 
Naomba kuuliza,

Kwa matokeo haya form 6 je, unaweza soma course gani chuoni na kwa Level gani?

H-F K-E L-E na GS -E Division iii point ya 17

Je, mtu huyu ataenda kusoma course gani ambayo itamsaidia mbeleni.

Naomba msaada wadau.
Aende Lumumba atakuwa kada wa CCM , awe na maneno mengi ya kusifu viongozi , agombee nafasi Za uongozi. Baada muda si mrefu anaweza akawa Bashite mwengine
 
Back
Top Bottom