UShauri: Kwa ufaulu huu naweza kusoma kozi gani?

Salummjr

Member
Aug 19, 2018
25
6
Habari wapendwa,

Nilikuwa naomba kuuliza kwa credit za masomo haya naweza kusoma course gani chuo kwa ngazi ya diploma?

KISW - D
ENG - C
GEO - D
CIV - D
CHEMI - D
PHY - F
BIO - C
MATH - F
RELIGION - C
 
Hapo hakuna diploma unayoweza kusoma
Ni sharti usome astashahada almaarufu cheti then uunge diploma.
Bible college hapo unasoma Advanced Diploma au Degree kabisa 😆😆😆😆😆
 
Screenshot_20230704-073535.png
 
Habari wapendwa,

Nilikuwa naomba kuuliza kwa credit za masomo haya naweza kusoma course gani chuo kwa ngazi ya diploma?

KISW - D
ENG - C
GEO - D
CIV - D
CHEMI - D
PHY - F
BIO - C
MATH - F
RELIGION - C
Nenda veta katafute ujuzi maana Bado hujui unataka nini wewe unamfuata upepo unakoelekea
 
Back
Top Bottom