Mkuu hapo kwenye red!!!!! you are so genius! yani umegusa kila kiungo katika mwili wangu
Nkapa limemganda
Taratibu mkuu, usiruhusu mtu kugusa kila kiungo chako kuna viungo vingine ni nyeti , ukiruhusu hivyo kwa mombasa au zenji itakua balaa ndugu! Lol.
mwigulu aliahidi kujnyea kama wakishindwa sasa sijui atafanya hivyo au??
hahahahaaha!!thubutu yake,,,,alisema tuumwigulu aliahidi kujnyea kama wakishindwa sasa sijui atafanya hivyo au??