Kwa matokeo haya Arumeru, ni pigo kwa B.W. Mkapa

Viva cdm,Mana inchi ilinuka kila upitapo watu wanahongwa na vilemba na sukari kilo moja lakini wanakosa maendeleo kwa miaka miatano kama imepungua bas mtu amefariki ndio salama yao, watakubali tu taratibu
 
Mkuu hapo kwenye red!!!!! you are so genius! yani umegusa kila kiungo katika mwili wangu

Taratibu mkuu, usiruhusu mtu kugusa kila kiungo chako kuna viungo vingine ni nyeti , ukiruhusu hivyo kwa mombasa au zenji itakua balaa ndugu! Lol.
 
Yaani leo ninafuraha hata siwezi kueleza..................weraaaaaaa weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! CDM kanyaga twendeee!
 
Joshua, MP Mungu akupe hekima kama za mfalme Suleiman za kuongoza wana arumeru wapendwa walioidhalilisha ccm. Yaani kila kiungo cha mwili wangu kimefurahi sana! VIVA CHADEMA. I LOVE CDM, I LOVE TZ, I ADMIRE PEOPLE OF ARUMERU. MUNGU AWABARIKI KUPITA KAWAIDA.
 
Taratibu mkuu, usiruhusu mtu kugusa kila kiungo chako kuna viungo vingine ni nyeti , ukiruhusu hivyo kwa mombasa au zenji itakua balaa ndugu! Lol.

Sasa mkuu unatutafuta fujo cc wazenji!cc tupo kwenye furaha na wewe unaleta mambo yakooo!ahahahah
 
Wamestahili kushindwa. Wamejitakia wenyewe.
"......mazoea mabaya! Mkapa anakumbuka jinsi alivyopata kura wakati watanzania hawajajitambua! atulie ale pensheni yake iliyojaa dhuluma......
 
lu bila shaka umejifunza kitu ..usikurupuke tuu kujikomba kwa raia wenye uchungu na nchi yao...nenda iramba ukaeneze chuki na fitina siyo ARUSHA...FISADI UNAYEKUZWA ......
 
Ushindi gani huu wa tia maji tia maji tutawashinda mahakamani hamna lolootee
 
hilo ni fundisho kwake kuwa, matusi na ubabe kamwe hauna matunda mazuri kwa mtu. Amevuna alichopanda
 
dalili ya mvua ... mawingu Nyota njema huonekana asubuhi.
Ushindi Arumeru .. umetupa raha WATZ wengi tuliochoka na mfumo wa chama cha magamba
Mungu amlinde kijana mpiganaji JS .... CHADEMA oyeeeeeeeeeee Mie moyo wangu KWATUUUUUUU
 
Back
Top Bottom