Kwa mapishi najimini

MAPISHI%2BYA%2BUJI%2BPIX%2BNO%2B1.JPG

Mia
 
Mim sitafuti mwanaume hapa jf.

wewe hutafuti mwanaume ila wanaume ndio wanatafuta mwanamke kulingana na sifa wanazozipenda na hilo lipo wazi kabisa pia hapa ni jukwaa huru wengi wao inaweza kuwa ni aina tu ya kufurahisha jukwaa otherwise kama waliku-PM ila kama ni tofauti na hapo basi usichukulie serious hivyo. Sawa bibie!
 
Hapo sijaona, labda hizo bamia! Ugali wa mtama, samaki mkuuubwa wa kuchoma na Yoghurt glas ya nusu litre..........ni kujiramba tu....aaaaam.....aaaam!
 
Halafu cheusimangala chakula cha kiafrica kinanoga kikiandaliwa kiafrika zaid!...kinapikiwa kwenye vyungu na kuliwa kwenye mkeka!
 
Hapo sijaona, labda hizo bamia! Ugali wa mtama, samaki mkuuubwa wa kuchoma na Yoghurt glas ya nusu litre..........ni kujiramba tu....aaaaam.....aaaam!

ugali wa mtama na samaki wa kuchoma utakula kila siku?
 
Halafu cheusimangala chakula cha kiafrica kinanoga kikiandaliwa kiafrika zaid!...kinapikiwa kwenye vyungu na kuliwa kwenye mkeka!

ni kweli hata mm napenda kupika kwenye vyungu lkn sio kila mazingira yanaruhusu kupikia vyungu,
ila pia mm sipendi kukaa kwenye mkeka wkt wa kula yaan labda iwe kwenye misiba ndo ntajikaza lkn sipendi.
 
Duhhh! Hongera sana dada. Itabidi nije kwako nipate somo la mapishi maana mimi napenda sana kupika utadhani nimechanjiwa
 
Back
Top Bottom