Kwa mabinti naomba msaada wenu

Kwakweli cha kufanya mchue leo hii hii mwende akapime kama ni yakwako kweli utajua 2 maana itakua haina hata mwezi ukiona inamwezi na zaidi ujue ulikua unabebeswa mzigo usio wako
 
Kwakweli cha kufanya mchue leo hii hii mwende akapime kama ni yakwako kweli utajua 2 maana itakua haina hata mwezi ukiona inamwezi na zaidi ujue ulikua unabebeswa mzigo usio wako
 
mhh tatizo mi siamini kama its true sababu naona kama napewa mzigo ambao sijui umetoka wapi

HUmwamini??
Aisee hakuna kitu kinauma kama binti nimwaminifu halafu abebe mimba yako,uanze ngonjera sio mimba yangu.
Halafu mjue kabisa hayo maneno yanamuathiri mpaka mtoto, ROHO ya kukataliwa inamfutilia mtoto hata pale anapokuwa amezaliwa.

Na pia kinauma ukidanganyiwa mtoto, lakini kwa kuwa ulishakuwa nae bila kinga, uwezekano wa kuwa hiyo mimba ni ya kwako ni mkubwa.
Kwa hiyo, usikimbilie tu sio mimba yako. THINK TWICE!!!!!
 
Bila kinga umecheza alafu matokeo hutaki?Wanaume wengi wa aina yako hua wanaumbuka sana na kuanza kulia oh namtaka mwanangu!Ukimkana sasa hivi kwakujifanya mtaalamu wa bailojia jihakikishie huyo dada akikuambia leo hii haya niache sio wako..hutarudi kumsumbua dada wa watu baada ya kuhangaika na malezi ya mwanzo mwenyewe!Kama hutaki leo hata kesho ukiona anafanana kama wewe mwache sio unajipeleka na kuleta usumbufu!

Nashukuru sana Lizzy, Eee bwana umesikia hiyo.
Zingatia kwa makini sana.
 
Nashukuru sana Lizzy, Eee bwana umesikia hiyo.
Mpendwa nimeshuhudia wengi kweli wa sampuli yake!Kuna mmoja mpaka leo anamlalamikia mama mtoto na mama anamwambia huyo sio mtoto tena ni mtu mzima...kama unamtaka ongea nae mwenyewe maana mtoto ana miaka 21 na anamwambia mzee wake baba yangu ni aliyenikubali na kunilea!We sikujui wala sikutaki!Mwingine mwaka jana tu mtoto kazaliwa anafanana nae kama kachongwa alafu ndo anarudi kuomba wakati alishakana mpaka kuapa!
 
Natumaini nyinyi ni wazima wa afya. Naombeni unitatulie ili jambo kwa kunisaidia kwani nina girl friend siku nne zilizopita kaniambia anaisi ana mimba ila mimi ninamashaka kwani ameniambia haoni siku zake.
Mimi linalonitatiza ni mwezi uliopita wa pili tarehe 5 ndo alipata hedhi ila nami nilido naye tarehe 6 mwezi huu so kinachoonekana kwa upande wangu siku yake imepita mpaka tarehe 6 hakuona je inawezekana akapata mimba kwa iyo tarehe niliye do nae?

MY TAKE;
Iyo tarehe aliyopata hedhi mwezi uliopita ameniambia wakati nikimuoji kabla sijamwambia tarehe 6 mwezi huu niliye do nae.

Kaka pole kwa kupita katika hili,ila mimi si binti ni mama,sasa hapo umesema siku zake alipata tarehe 5 na tarehe 6 ndipo mlipokutana kimwili,naomba kama unaweza kusema hiyo tarehe 5 ndiyo siku ya mwisho katika hedhi yake na je anaingia hedhi kwa siku ngapi?kama tarehe 5 ndiyo ilikuwa siku ya mwisho ya hedhi?yaani kuanzia siku ya kwanza ya hedhi.
maana kwa hapo tarehe 6 ni safe day kwa mahesabu ya haraka,na kama anawasiwasi na mimba inawezekana pia ni mabadiliko tu katika mzunguko hivyo la msingi akapime,asihisi tu kuwa anayo,na kama anayo,awe wazi tu siku hizi kuna uwezekano wa kujua kama huyo mtoto ni au si wako kwa vipimo achilia mbali haya mahesabu ya mzunguko wa hedhi
 
Mpendwa nimeshuhudia wengi kweli wa sampuli yake!Kuna mmoja mpaka leo anamlalamikia mama mtoto na mama anamwambia huyo sio mtoto tena ni mtu mzima...kama unamtaka ongea nae mwenyewe maana mtoto ana miaka 21 na anamwambia mzee wake baba yangu ni aliyenikubali na kunilea!We sikujui wala sikutaki!Mwingine mwaka jana tu mtoto kazaliwa anafanana nae kama kachongwa alafu ndo anarudi kuomba wakati alishakana mpaka kuapa!

Na hawa wapo ndugu yangu,
Sipati picha mtoto wako anakwambia, namtambua huyu baba aliyenilea wewe sikutambui.
Hapo ndipo tujue kabisa , ubaba sio kwa sababu umeshiriki kunizaa.
 
Umeshanikoroga kabisa hapo.

Kumbe huwa mndo nae mara kwa mara sasa kinachokushangaza nini?? Ulikuwa unategemea upande mapera uvune maembe?? Hiiyo ngumu mzigo ndo wako hivyo

Napita tu, mi mkaka. DA check hapa chini
The Following User Says Thank You to Dena Amsi For This Useful Post:

Elia (Today)​
 
mhh tatizo mi siamini kama its true sababu naona kama napewa mzigo ambao sijui umetoka wapi
Hapo kwenye red,come on Sokon 1,give us a break,hujui hiyo mimba ilitoka wapi? are you serious kabisa kabisa? Haya bana ni kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
 
wala sijakukoroga sababu ya kusema sio mara ya kwanza ku do naye ni kwamba mimi na yeye ha2jakutana takribani miezi minne ila niliporudi nilishangaa m2 kunihitaji mpaka 2ligombana ila sijukua wat its behind ndo baada ya wiki akatulia hakuja home ila ananipa izo habari ndio maana nikaomba ushauri wenu kabla sijachukua hatua.
Hatua zipi uchukue tena,hatua ulishachukua long time kwa kuamua kupuyanga,we andaa bill ya maziwa na hela ya kindergarten (siku hizi kindergarten nzuri dola mia tano kwa term,kwa mwaka alfu mia tano).Offer ya nepi na beseni Husniyo keshakupa we m PM tu. Huo ndo ukubwa wenzio tushapita huko kwa sana na sasa hivi tumetundika daluga.
 
Napita tu, mi mkaka. DA check hapa chini
The Following User Says Thank You to Dena Amsi For This Useful Post:

Elia (Today)​

Nimekusoma Elia usijali huyu anatuletea hadithi za alinacha hapa afanye bila kondom halafu aanza kuruka ruka wako huyo
 
Hebu sema wewe shemeji maana mie naona haya
Kijana kanimaliza kabisa,sina nguvu,halafu looks like story ni ya ukweli ,na ukiangalia zaidi kai edit alfajiri saa 12 leo,ina maana hakulala huyo usiku kucha anapinduka kitandani,kulea mchezo? na bado yuko chuo.
 
Natumaini nyinyi ni wazima wa afya. Naombeni unitatulie ili jambo kwa kunisaidia kwani nina girl friend siku nne zilizopita kaniambia anaisi ana mimba ila mimi ninamashaka kwani ameniambia haoni siku zake.
Mimi linalonitatiza ni mwezi uliopita wa pili tarehe 5 ndo alipata hedhi ila nami nilido naye tarehe 6 mwezi huu so kinachoonekana kwa upande wangu siku yake imepita mpaka tarehe 6 hakuona je inawezekana akapata mimba kwa iyo tarehe niliye do nae?

MY TAKE;
Iyo tarehe aliyopata hedhi mwezi uliopita ameniambia wakati nikimuoji kabla sijamwambia tarehe 6 mwezi huu niliye do nae.

Uliona TAMU sasa unaona CHUNGU eeeh.

Sikiliza mie sio binti ila nimeona nikushauri tu, nunua vipimo duka la dawa "pregnant test" na mpime.

Km imeingia usiwe na shaka endelea naye tu km unampenda, mtoto akizaliwa utajua mbivu nambichi na hapo ndio utachukua maamuzi.

Hata hivyo mie sioni vibaya, km kweli mnapendana pengine hata km ameteleza sehemu chukulia ni ajali barabarani. Katika safari kuna kuishiwa mafuta , kwenda sheli kujaza, kupata pancha,nk. ndio safari hiyo tena.

Chukulia mfano ungekutana naye tayari ana mtoto na ukampenda si ungeendelea tu kujivinjari bila kuwaza alivyokolezwa huko nyuma hadi akazaa mtoto.

Kumbuka utamu wa hiyo kitu una matokeo yake na ndiyo hayo lazima uyakubali.

Usipende kuwa mtu wa wasiwasi saana na kujitia mashaka bure. Tulia endelea naye labda km ulikuwa unapita njia hilo sina ushauri juu yako.
 
mnh kama ulicheza bila kinga ndio matokeo hayoo...tena mtoto unaweza kulea ukimwi je???
cha kufanya subiri mtoto azaliwe mkapime DNA.
 
Mi nafikiri humu wengi mnamkosea huyu kaka je kama huyu dada hakuwa mwaminifu je?na huyu dada akatake advantage please lets reason coz sio kila siku watu walio in relation wanatumia condom,kwani hamna wanaume ndani ya ndoa wanalea watoto wasio wao?wanawake si wote waaminifu kwa hyo ana haki ya kuhoji isue co kutumia au kutokutumia condom isue ni mazingira ya ilivyotokea,na si wote wanaofanya bila condom wanapata mimba,
 
Ondoa wasiwasi mpeleke akapime kama kweli ana mimba inawezekana siku zake zimebadilika.
pia mimba inavyoendelea kukua ni rahisi kujua ina week ngapi na wewe utahesabu kuendana na kipindi mlichodo.
utakujapata taabu baadae utakapokuwa umekana damu yako na kurudi kukubali itakucost sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom