Kwa mabinti naomba msaada wenu

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Natumaini nyinyi ni wazima wa afya. Naombeni unitatulie ili jambo kwa kunisaidia kwani nina girl friend siku nne zilizopita kaniambia anaisi ana mimba ila mimi ninamashaka kwani ameniambia haoni siku zake.
Mimi linalonitatiza ni mwezi uliopita wa pili tarehe 5 ndo alipata hedhi ila nami nilido naye tarehe 6 mwezi huu so kinachoonekana kwa upande wangu siku yake imepita mpaka tarehe 6 hakuona je inawezekana akapata mimba kwa iyo tarehe niliye do nae?

MY TAKE;
Iyo tarehe aliyopata hedhi mwezi uliopita ameniambia wakati nikimuoji kabla sijamwambia tarehe 6 mwezi huu niliye do nae.
 
Dah, usikute kachanganyikiwa tu na hizo tarehe, so long as uli do bila kinga,uwezakano wa kupata mimba upo. Unaweza kuta kashachanganyikiwa hata hizo tarehe hazikumbuki tena.

Kwani wewe humwamini girl friend wako? Kama unamwamini amini pia uwezakano wa kupata mimba yako upo kwa sababu ulimdo bila kinga.
 
Alishaenda kupima au anahisi tu?
Kukosa hedhi ni dalili kubwa kuwa ana mimba ila inabidi kupima kuwa na uhakika zaidi.
Kwahizo tarehe haiwezekani, labda kama alijichanga tarehe LD alivyosema.
My take: mara nyingine kama hatujisikii ku do tunadanganya tupo mp kwahiyo usimshutumu gal, inawezekana nae alikudanganya. Kama mwaminifu mzigo wako huo.
Nitaleta pampas na beseni. Sawa eeh!
 
mhh tatizo mi siamini kama its true sababu naona kama napewa mzigo ambao sijui umetoka wapi
 
Alishaenda kupima au anahisi tu?
Kukosa hedhi ni dalili kubwa kuwa ana mimba ila inabidi kupima kuwa na uhakika zaidi.
Kwahizo tarehe haiwezekani, labda kama alijichanga tarehe LD alivyosema.
My take: mara nyingine kama hatujisikii ku do tunadanganya tupo mp kwahiyo usimshutumu gal, inawezekana nae alikudanganya. Kama mwaminifu mzigo wako huo.
Nitaleta pampas na beseni. Sawa eeh!

kila ki2 hesabu so kwa hesabu izo za tarehe nilimuuliza mara tatu mpaka akanionesha kumbukumbu ya tarehe iyo ila wasi wasi wangu ni ye ni anafanya kazi mi niko chuo nilivyorudi toka chuo akawa ananiomba tukutane ila nikawa namkwepa mpaka akaniambia ninamuavoid so kuepuka lawama nikamwambia njoo home akaja na siku iyo 2ka do ila ninamashaka kwa kunihitaji kwa hali na mali wiki moja kabla ndio maana naona kama nauziwa mbuzi kwenye gunia.
 
kwanza hongera kwa kutarajia kuwa na familia kama uli do bila kinga niwazi ulitarajia hicho kitu
 
kila ki2 hesabu so kwa hesabu izo za tarehe nilimuuliza mara tatu mpaka akanionesha kumbukumbu ya tarehe iyo ila wasi wasi wangu ni ye ni anafanya kazi mi niko chuo nilivyorudi toka chuo akawa ananiomba tukutane ila nikawa namkwepa mpaka akaniambia ninamuavoid so kuepuka lawama nikamwambia njoo home akaja na siku iyo 2ka do ila ninamashaka kwa kunihitaji kwa hali na mali wiki moja kabla ndio maana naona kama nauziwa mbuzi kwenye gunia.

mmmh! Huyo kweli anataka kukuchanganyia madesa.
 
Kwa mahesabu yangu ya haraka hyo mimba haikuhusu kwa sababu hata cycle zote naona zinasema tarehe 6 ni safe day muulize ye cycle yake ni cku ngapi kwanza?na kama ni 28-31 si yako ninavyona bt kama cycle yake inabadilika may b bt mi nakataa c yako,
 
ndivyo navyofikiria sababu nikimbana maswali anajikanyaga kuhusu iyo mimba ila nilichofanya ni kumpa ukweli na hesabu za siku zake amue kupembua upi mchele na pumba na sio kuanza kuninyoeshea kidole coz ninamiezi minne ha2kuonana kabisa coz nilikuwa mbali na yeye.
Ila haya ndio matatizo ya kuwa mbali kwani yaweza nikambambikiziwa kesi ili mradi nilee
 
Siku ya kwanza no condom kweli watoto wa siku hizi mmedata huogopi???

huyu siyo mtoto ni mtu mzima mwenye kazi yake pia sio mara ya kwanza ku do ila ninachoshangaa kama sio yangu basi aliamua makusudi kufanya ivyo kwa sababu zake binafsi.
 
huyu siyo mtoto ni mtu mzima mwenye kazi yake pia sio mara ya kwanza ku do ila ninachoshangaa kama sio yangu basi aliamua makusudi kufanya ivyo kwa sababu zake binafsi.

Umeshanikoroga kabisa hapo.

Kumbe huwa mndo nae mara kwa mara sasa kinachokushangaza nini?? Ulikuwa unategemea upande mapera uvune maembe?? Hiiyo ngumu mzigo ndo wako hivyo
 
Umeshanikoroga kabisa hapo.

Kumbe huwa mndo nae mara kwa mara sasa kinachokushangaza nini?? Ulikuwa unategemea upande mapera uvune maembe?? Hiiyo ngumu mzigo ndo wako hivyo

wala sijakukoroga sababu ya kusema sio mara ya kwanza ku do naye ni kwamba mimi na yeye ha2jakutana takribani miezi minne ila niliporudi nilishangaa m2 kunihitaji mpaka 2ligombana ila sijukua wat its behind ndo baada ya wiki akatulia hakuja home ila ananipa izo habari ndio maana nikaomba ushauri wenu kabla sijachukua hatua.
 
Bila kinga umecheza alafu matokeo hutaki?Wanaume wengi wa aina yako hua wanaumbuka sana na kuanza kulia oh namtaka mwanangu!Ukimkana sasa hivi kwakujifanya mtaalamu wa bailojia jihakikishie huyo dada akikuambia leo hii haya niache sio wako..hutarudi kumsumbua dada wa watu baada ya kuhangaika na malezi ya mwanzo mwenyewe!Kama hutaki leo hata kesho ukiona anafanana kama wewe mwache sio unajipeleka na kuleta usumbufu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom