Kwa laki tatu naweza kufanya biashara gani?

Fungua mgahawa wa chakula, hakikisha asubuhi uwe na supu ya mbuzi ama kondoo na chapati.

Ajiri wadada wawili kama msaada hapo ofisini kwako. Nakutakia mafanikio mema mkuu.
 
Back
Top Bottom