Kwa laki mbili naweza kufanya biashara gani?

mgeta518

Member
Oct 10, 2023
16
10
Hellow guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina matamanio ya kujiajri.

Je, ni biashara gani yenye mtaji mdogo kwa 200k itakayoweza kuniinua kiuchumi

PhotoRoom-20240112_125358.jpg
 
Hellow guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina matamanio ya kujiajri.

Je, ni biashara gani yenye mtaji mdogo kwa 200k itakayoweza kuniinua kiuchumi

View attachment 2877638
Bora wewe ni mstaarabu na picha umeweka.
Kuna vijana wenzako humu wana umri kama wako wana matusi c mchezo.
Anyway uza korosho za kutembeza barabarani.
 
Hellow guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina matamanio ya kujiajri.

Je, ni biashara gani yenye mtaji mdogo kwa 200k itakayoweza kuniinua kiuchumi

View attachment 2877638
Uko wapi mkuu?
Tu-assume upo Dar mi nakushauri kwakua unaonekana na mtu wa mitandao tembelea maduka ya nguo, viatu na mabegi then omba kua wakala wao then piga picha upost insta na Facebook pia.

Then fanya namna ya kuzipromoti ziwafikie wateja wengi kama utakua unapost walau picha tano au video Kwa mwezi utakua na post 150. Tayari utakua ushaanza kuaminiwa...

Mtu akipenda kitu mtumie Kwa haraka Ila usilete tamaa.
 
Hellow guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina matamanio ya kujiajri.

Je, ni biashara gani yenye mtaji mdogo kwa 200k itakayoweza kuniinua kiuchumi

View attachment 2877638
Toa 20 tafuta bar yenye utulivu, agiza beer lain kunywa huku unatafakari 180k utaifanyia biashara gani, anyway muite mshkaji wa karibu akusaidie mawazo so nyofoa 30 tena ili ubaki na figure kamili yaan 150k
 
Nenda kasome kitabu linaitwa Tajiri wa babeli ukikimaliza tu. Anza kufanya biashara yyt kulingana na mtaji wako. Akuna biashara isiyo lipa.
Vipi nirahisi kukipata icho kitabu? Share au tupe link mkuu
 
Laki mbili ni ndogo ukiangalia kwaupana lakini kubwa kwakuanza kidogo kidogo
Ushauri wangu fanya biashara ya matunda, kwamkoani ningekuambia uza mkaa Anza na roba Tano
Pia genge ndogo la mboga za majani na matunda ingetosha

Kwahiyo picha wewe ni toto lamjini Kuna chimbo kusini ungeenda nahiyo laki mbili ingekutoa labda uwe mpenda chini
 
Hawa madogo wa TikTok wanafujo sas picha ya nn tena,,,any way ngja wakupe idea
 
Back
Top Bottom