Laki 3 upate 5k tu per day simple sana beti mechi Moja tu Kila siku ya kutoa over 0.5 full time Yani goli tu lifungweHabarini Wana JF,
Naombeni ushauri kwa mtaji wa laki TATU nipige mishe gan ambayo nitapat ata elf 5 per day.
Angalia mazingira uliyopo Nini kina demand kubwa na pia kile unachopenda kufanyaNipo Moshi kwa sasa (chuo) ila Dar ndo huwag nakaa kwa muda mrefu (home)