Biashara gani naweza kufanya nyongeza kwenye stationery yangu

zulfa rwanda

Member
Feb 23, 2016
6
4
Habari,

Naomba msaada jamani nina stationery lakin katika kipindi hiki cha umeme kata rudi napitia wakati mgumu sana.. Naomba usbauri wenu jamani naweza kuongeza biashara gani isiyotumia umeme nikajiongezea kipato?

Pia ni sehem ipi online ambapo naweza kujifunza graphic design kwa undani??
 
Wakala wa Mesa, tigo pesa
 
kama unapesa weka uwakala wa simu bank mitandao yote pamoja na lipa namba ikusogeze kupata walau pesa ya kila siku ukisupiri kamisheni ya uwakala mwisho wa mwezi.
 
Apa unahitaji mtaji kiasi gani kuanza hii biashara mfano mpesa, tigo pesa na Airtel money pekee?? Msaada wakuu

Back
Top Bottom