Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Kuhusu swala la katiba si swala lelemama wala la kichama kuchezewa hivi hivi maana kila mmoja wao taayari kaonywa na wapiga kura wake kule majimboni na kuambiwa kwamba mbunge yeyote atakayefanya dhihaka katika hili ajijue kwamba tayari keshajifukuzisha kazi ya ubunge kwa 2015.
Kwahiyo mnataka kunambia ccm limbwata limbwata lao halifanyi kazi tena.