Kwa kuzikataa hoja mbili za Serikali; Kazi nzuri wabunge wa JMT!

Kuhusu swala la katiba si swala lelemama wala la kichama kuchezewa hivi hivi maana kila mmoja wao taayari kaonywa na wapiga kura wake kule majimboni na kuambiwa kwamba mbunge yeyote atakayefanya dhihaka katika hili ajijue kwamba tayari keshajifukuzisha kazi ya ubunge kwa 2015.

Kwahiyo mnataka kunambia ccm limbwata limbwata lao halifanyi kazi tena.
 
Kweli sisi wadanganyika piwa, yaani ni maslahi ya taifa bila wabunge kurudisha posho ambayo tayari tumeibiwa na wabunge wa ccm? Kweli watz km watoto wadogo kwani kudanganywa kwa kwenda front.
 
Hawana lolote wanajaribu kuhalalisha posho ya m.atako ya laki mbili
 
egoli ingine,tunapumbazwa ili tusahau habari ya posho.siliamini hili bunge wala chama twawala wala rais wao m kwere
Una hoja mkuu. Tusipokee tu manake hata wakati wa mchakato wa kujadili mswada wa mchakato wa katiba tulizushiwa Babu wa Loliondo na attention yetu ikawa huko. Sasa hawa jamaa wanataka kujustify posho nasi sasa tunashangilia na kuwaona leo wamefanya kazi za kibunge. In a way tunabariki posho na baada ya muda anarudi kuwa wapiga mihuri.
 
Siwaamini siwaamini siwaamini ccm! wanataka tu kuitisha ikulu ili iachilie posho.. Binafsi sidanganyikiiii...
 
Ndugai; a standing ovation on this one!

This is a good surprise for new year 2012. You can very well be ANOTHER SAMUEL SITTA standards and speed only if you chose the path to be exactly that of a balance speaker of the National Assembly at mind and in action.

Do your BioChemistry here brother to the advantage of the weak and the voiceless majority in Tanzania. Seriously speaking, you can be another Samuel Sitta for our nation.

dont put your money on him (yet).
inawezekana pia ni kisasi kwa JK kuwaruka kuhusu posho!
 
wabunge tunaomba miswada inayoletwa na jk msikwamishe kama kisasi au malipizo bali kwa maslahi ya umma
 
mimi bado sijakubali hawachelewi kesho kuja wamebadilika baada ya vikao vya ccm usiku kesho ukasikia kila mtu anaunga mkono hoja hata kama haijafanyiwa marekebisho
 
Jamani namhurumia jaji Werema, ameshindwa kujenga hoja akaishia kutishia kuwa yeye bado ni jaji hajanyang'anywa ujaji wake, mwisho wa siku, jembe-Tundu Lisu akamzamisha kwa hoja nzito.

Tundu Lisu namkubali sana.
 
Safi sana ni sms kwa mkulu kuwa watakuvote out. Rushwa za posho lazima zitafika mwisho siku moja.
 
sijalisiki hilo 'jimama' lakini kwa jins ulivyolielezea,lazma pat taim job yake ni nanihii..., . Bravo waheshmiwa,ingawa wakat mwingine hamtutendei haki watz

mkuu nimeipenda sana avatar yako. Laiti ungeitafsiri kwa kiswahili na ukaeleza essence ya hilo neno. "in vino veritas"
 
Kuna sauti ya jimama fulani anakubali then anakaata halafu sijui kachakachua microphone yake maana dah lina sauti balaaaaaaaaaaaaa!
Ila kweli maslahi ya taifa mbele. Big up
Jimama sauti yake kama alikuwa kalala akakurupushwa. Wabunge mngekomaa kama leo ishu ya madaktari ingekuwa imeshapatiwa ufumbuzi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom