Kwa kina dada tuuuuuuuuu...

Nilale wakati leo nimerudi mkavu ndo napoteza mda ili kuche mapema.
Huyu binti mlokole juzi aliniomba nipige sala ya kulala nikachemka mm nikapiga za kikatoliki dah nikaambulia patupu ucku mzima uso wa mbuzi.


Sasa tuseme wewe ni AGENT WA SHETANI - kuangusha mabinti wa kilokole au unapata faida gani kwa udanganyifu wako???? Kwanza huyo binti sio mlokole - thubutu??? Binti wa kilokole haswa huwezi kumgusa kingono - kwanza ana nguvu ya Mungu ambayo ukianza kuongea uongo mwenyewe utakosa ujasiri - kama unayosema ni kweli - change your lifestyle please
 
Tabia haina dawa na haifichiki ..unaweza kuficha kwa kipindi lakini baada ya muda ikafichuka
lakini pia mtu anaweza kubadirika kutokana na mazingira anayoyakuta ndani ya ndoa yake
 
nampenda sana mke wangu si unajua c washosha ng'ombe kwa mapenzi ndo usiseme?hata yeye hlo anakili but why?

Pole kaka; YOU ARE NOT ALONE! Endelea kupenda mke na umwombee na usikate tamaa. Pia endelea kumkumbusha wajibu wake kwa upendo.
 
Wote wako hivyo hivyo Mkuu.. Vumilia baada ya miaka fulani, ataacha. Lakini uwe mkali kwa kila kibaya anachokifanya na uwe mvumilivu sana, ila jitahidi usiangukie kwenye SMALL house. Utakuwa umejimaliza mwenyewe.
 
kweli leo umeamka na stress ndugu yangu hebu fanya hivi;





stress kit
if you are stressed out....





stress.jpg
 
hii inaaply na kwetu kina kaka tukiona wengine tunaona ni warembo kuliko hao tuliowachagua hivyo tunaona ni vyema tuonje onje nje ndio tunagundua tumenunua mbuzi ndani ya gunia hii ni kazi kweli kweli maana ndo kubebana hadi....................
 
Kama kweli uliwaza kumpata mlokole ,kwa taarifa yako nikhakikishie huyo dada hakuwa ameokoka kabisa.kAMA ALIKUWA AMBIA KUWA NI mlokole huku "unamega" (hope una maanisha mlikuwa mnafanya mapenzi huku akijifanya mlokole, nikuhakikishie kuwa huyo dada hakuwa ameokoka, ila alijifanya mlokole ili awapate watu kanisani akidhani wameokoka, naona hapo mmepatana, iko siku utajua kwa hakuwa ameokoka, ila naye ni msanii kama wewe.
 
Usamahewe bure, nachelea kusema kuwa dada yangu amepatikana kuolewa na msanii.Hata hivyo kama alijifanya mlokole huku "unamega" (hope una maanisha mlikuwa mnafanya mapenzi huku akijifanya mlokole, nikuhakikishie kuwa huyo dada hakuwa ameokoka, ila alijifanya mlokole ili awapate watu kanisani akidhani wameokoka, naona hapo mmepatana, iko siku utajua kwa hakuwa ameokoka, ila naye ni msanii kama wewe.
 
Huyo dada ni kabila gani? kuna makabila ya hapa Tanzania yana tabia hiyo wakishaolewa tuu!! mwanaume utakoma utafua hadi nepi za mtoto na kazi nyingi za ndani...
Pole sana lakini mrekebishe taratibu na kumuomba mungu atambadilisha tuu...ongea naye kwa upole zaidi usitumie hasira....
 
Hapa kweli umebagua,nadhani iko kwa wote. si wanawake tu!
Baada ya ndoa, kila mtu anakuwa kwenye "true colours" hakuna kuficha tena,hivyo kila mtu anayaona mapungufu ya mwenzake ambayo aliyavumilia kabla. |Nafikiri tatizo ni kuwa huwa tunafikiri mtu atabadilika,halafu tunasahau hiki ni kifungo cha miaka! huwezi kuvumilia kero hizo kila saa,siku,miezi miaka!
Jaribu kuweka wakati mzuri kabla ya yote,huduma itakuwa nzuri!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom