Kwa kina dada tuuuuuuuuu...

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
455
Dada zangu hivi kwa nini wengi wenu sio wote lakini before marriage mnakuwa wapole na kuonesha nia ya mme mtarajiwa kuvutiwa na kuolewa nanyi lakini mkiwa ndani ya nyumba basi yanaanza makucha yaliojificha kuonekana.....swali ni kwamba,hivi before marriage kwa nini yote yasionekane jamani?nasema hivyo maana yananikuta na sijui la kufanya maana mie ni mkristu na ndoa imefungwa hakuna wa kuivunja na hili waliooa wengi wamekutana nalo na mkiudhiwa tu usiku mkate hauliki,je hiyo dada zangu si unynysaji wa jinsia na unyimaji haki za mwanaume katika ndoa?
 
MAKUBWA!
Hujui kuwa watu wakishzoeana kupitiliza... hutokea kuanza kuona kila kitu hakiko kama ulivyodhani!
Utaanza kuona chongo ni chongo kweli na siyo kengeza ulilokuwa unalazimisha wewe.
Sauti ya kinanda uliyodhani unaisikia kutoka kwa mwenzi wako utaona ni sauti mbaya ya kukoroma isiyo na mvuto.
Inabidi ujilaumu mwenyewe kwa kutokuuona ukweli na kuukubali toka mwanzo..
 
Hehehe inajificha mama kama mm nimepata demu mlokole na mm najifanya mlokole huku namega nikiwa nae maombi mwanzo mwisho hata pombe naweka pembeni.

Mhh we hulali leo! naona hapo utakuwa unajidanganya mwenyewe na huyo binti atakuwa si mlokole halisi maana hawezi kudhini kabla ya ndoa!
 
Pole sana na ndoa yako,

Ulitakiwa umwombe Mungu akupatie mke, siyo unakutana na manyonya damu barabarani halafu unasema umempata mweza, atakunyoonya mpaka uishe ukijiona!!

Anyway hujachelewa, Mungu wetu ni mwema saaanaa, mtumainie yeye ayakutatulia. Mkabidhi Mungu huyo mkeo, kama ni shetwani ataondoka akuache huru. Kemea kabisa ktk jina la Yesu aliye hai, Hallelujah.

Mhh we hulali leo! naona hapo utakuwa unajidanganya mwenyewe na huyo binti atakuwa si mlokole halisi maana hawezi kudhini kabla ya ndoa!

Nilale wakati leo nimerudi mkavu ndo napoteza mda ili kuche mapema.
Huyu binti mlokole juzi aliniomba nipige sala ya kulala nikachemka mm nikapiga za kikatoliki dah nikaambulia patupu ucku mzima uso wa mbuzi.
 
Hahah haha pole sna mtu mzima ukaumbuka jamni siku nyingine unapiga sala kimoyomoyo haha hahha:D
 
Hahah haha pole sna mtu mzima ukaumbuka jamni siku nyingine unapiga sala kimoyomoyo haha hahha:D

Hahahaha we acha tu aliposema tuombe mm nikafumba macho nikawa napiga ya kimoyo moyo nikaambiwa mbona sauti haitoki hahahahaha dah nikaanza kukemea nikachemka akaniona msanii.
 
Nilale wakati leo nimerudi mkavu ndo napoteza mda ili kuche mapema.
Huyu binti mlokole juzi aliniomba nipige sala ya kulala nikachemka mm nikapiga za kikatoliki dah nikaambulia patupu ucku mzima uso wa mbuzi.

Yaani wewe Fidel kwa kweli!! Umenifanya nicheke sana leo. Ujue mimi huwa najua wanaojua kupretend mara nyingi ni akina dada tu, kumbe na wanaume? Kazi ipo!! Haya mambo ya ndoa sometimes yanahitaji hekima ya hali ya juu sana. Lakini ushauri wangu ni kwamba unahitaji subira sana na uvumilivu. Usishangae kwamba kuna mtu aliyekuwa anampenda zaidi yako kabla ya kuolewa na wewe, na pengine huyo mtu hakuonyesha interest lakini sasa ndo anaonekana kuwa karibu naye, na sasa anajuta kuwa na wewe. Anaona kwamba hukuwa chaguo alilolitaka. Lakini kama kweli anakupenda na anaona kukukosa wewe ni adhabu kwake, anaweza kupretend hata kama ni miaka 10 ilimradi uendelee kumuona kuwa ni wa maana na mhimu katika familia yako.
Hujasema mna muda gani katika ndoa, lakini kama ni muda mfupi, basi kuna uwezekano mkubwa kwamba aliyekuwa anampenda kwa bahati mbaya akamkosa, sasa hivi anaonyesha interest kwake, na hilo linaweza likakusumbua sana na kwa muda mrefu. Jaribu kumuonyesha mapenzi zaidi na kumjali, ili aone kwamba wewe ni bora kuliko huyo mwingine anayempenda zaidi. huu ni mtazamo tuu, inawezekana kukawa kuna jambo lingine. Wakati mwingine huwa ni rahisi kuona kwamba mwenzako amebadilika, kumbe wewe ndo ulianza kubadilika, na yeye amerevange. Jiangalie pia na wewe.
Samahani kwa kuingilia jukwaa la akina dada, manake mtoa mada aliwalenga kina dada.
 
Hehehe inajificha mama kama mm nimepata demu mlokole na mm najifanya mlokole huku namega nikiwa nae maombi mwanzo mwisho hata pombe naweka pembeni.

Umenifanya nicheke mno mpwa; ni kweli wapo wanaojua kuficha tabia zao zisijulikane
 
Hahahahaha mpwa hii ishu ni ya kweli na imenitokea juzi ijumaa nikanyimwa chakula cha usiku kwa kukosea sala.

Pole sna sipati picha unanjaa na chakula ya usiku halafu unanyimwa hehe hehhe utapiga miayo na kujigeuza kitandani hapo kukuche:D:D:D:D
 
Pole sna sipati picha unanjaa na chakula ya usiku halafu unanyimwa hehe hehhe utapiga miayo na kujigeuza kitandani hapo kukuche:D:D:D:D

Hahahahaha usinikumbushe machungu mbona boxer ililowa chapa chapa ukizingatia sikunywa kabisaaa asije nishtukia hata usingizi kwani nilipata dah maumivu tu nikujigeuza geuza tu huku nakula kwa macho.
 
Hahahahaha usinikumbushe machungu mbona boxer ililowa chapa chapa ukizingatia sikunywa kabisaaa asije nishtukia hata usingizi kwani nilipata dah maumivu tu nikujigeuza geuza tu huku nakula kwa macho.

Siku nyingine uwe unaoga maji badiri ukinyimwa chakula:D:D:Dila sijui kama itasaidia:rolleyes:
 
nampenda sana mke wangu si unajua c washosha ng'ombe kwa mapenzi ndo usiseme?hata yeye hlo anakili but why?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom