Kwa Kijana yeyote aliye mwanachama na mkereketwa wa CCM

Kwa usahihi ni kujirahisisha mno kifikra , sababu alizotoa mtoa mada hazina mbele wala nyuma.Ni sawa na kupigia upatu timu ya mpira badala ya kuwa Great Thinker.
Ni kweli kabisa kamanda... Nadhani kuna haja ya kuelimisha umma kwamba lengo letu ni maendeleo yatokanayo na haki, uruhu na usawa chini ya umbrella ya uwajibikaji na si mambo ya kafu, chadema na ccm...

Twaweza kuwa tumeegemea CDM, KAFU au CCM lakini haina maana kudharau wa upande mwingine na kuona hawana maana wala kushabikia chama tukipendacho blindly... Tanzania haitajengwa na mahabiki, itajengwa na wenye mapenzi mema
 
Mimi naweza kuwa na mtazamo mwingine watu husema 'if you cant fight them join them'.Hapa nina maana kwamba kwa vijana wanaoenda sasa ccm ni kwamba wameshindwa kupigana wakiwa inje sasa wanaona ni wakati mzuri wa kuingia ndani nakupigana ili waweze kupigana na hao mafisadi na kuwashida.
I like this one, ingawa nayo kwa kiasi fulani inanivunja moyo aisee... you can join them kuwadhoofisha

Mfano mzuri ni HIV virus, amefanikiwa sana kwasababu ameingia kwenye mwili, tissue, cells hadi nucleus na kuanza kucharanga mwili, basi kama kweli kijana anataka kuua ccm apenye humo

si ajabu hata hao magamba waliingia ccm kuiua ila wameshtukiwa very late
 
hakuna cha uhuru wa kikatiba hapa, mijitu inakwapua rasilimali zetu, wanatutoza kodi afu wanazitumia kujistarehesha afu we unaongea habari za uhuru wa katiba, wengi wao akiwemo mkuu wao wa kaya tumewakataa kupitia kura bado wanalazimisha, si tuwaeleweje?
Nakuunga mkono, HAYA NIAMBIE SINCE UGUNDUE HIVYO UMEFANYA NINI KAMA WEWE TUJIVUNIE KWA EFFORTS ZAKO ZA KUPINGA UBAZAZAZI WA CHAMA CHA MAGAMBA

TUNAONGEA TU KAMA MAVUVUZELA, TUNAKOSA MBINU KUTOKANA NA JAZBA... CCM HAITAONDOLEWA KWA MATUSI NA JAZBA BALI UMAKINI WA WAPINZANI NA WOTE WANAOIPENDA TANZANIA

KWELI UKUBWA DAWA
 
Back
Top Bottom