Kwa Kijana yeyote aliye mwanachama na mkereketwa wa CCM

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Penda msipende kwa kijana yeyote aliye CCM au anayejiunga na CCM kwa sasa aidha ni kwa kwa maslahi fulani binafsi, au kapewa fulana au anaupungufu wa kufikiri kutokana na ujinga (ujasiri wa kiwendawazimu) lakini si kwa uzalendo kutokana na CCM ilivyo kwa sasa.
 
mkuu,kwani ni lazima kila m2 aende kule unakokutaka wewe,waache waende na cku wakigundua cyo watakwenda kule kuzuri kwa fikra zao.
 
nadhani ndio ukweli. kwa kijana anayeweza kufikiri kidogo hawezi kujifariji kuwa ccm inaweza kutupeleka mahali. either yupo kimaslahi, ana ndugu wazito huko au kwa kutojua
 
mkuu,kwani ni lazima kila m2 aende kule unakokutaka wewe,waache waende na cku wakigundua cyo watakwenda kule kuzuri kwa fikra zao.
Kweli mkuu...kama jana Kiongozi wa Chadema UDSM kahamia CCM huku akimwaga mitusi Chadema.....ndo demokrasia hiyo
 
Ninaomba kukumbushwa jina la mwandishi wa kitabu cha Wasakatonge!
Kijana makini anayejitambua na kuwajibika kikamilifu na anayefikiri kwa kutumia kichwa chake, anajua ni kitu gani afanye na wala ule msemo wa ukitaka kuwapiga jiunge nao hauhusiani na hili. Naimani wapo vijana wengine waliojiunga na cdm au cuf wanasaka maslahi lakini kwa wanaojiunga na ccm muda huu, wengi wao ni wasaka tonge wanaofikiria kwa kutumia matumbo na viuno
Misri na Tunisia aina ya vyama vya ccm vinapotezwa, vibaki vitabuni kwa ajili ya kuonesha udhalimu uliofanywa na wanaojiita wapigania uhuru.
 
Uhuru wa kikatiba uheshimike aisee...

Kuwatukana vijana wenzako wendawazimu au wajinga nadhani si sahihi

Kwa usahihi ni kujirahisisha mno kifikra , sababu alizotoa mtoa mada hazina mbele wala nyuma.Ni sawa na kupigia upatu timu ya mpira badala ya kuwa Great Thinker.
 
Uhuru wa kikatiba uheshimike aisee...

Kuwatukana vijana wenzako wendawazimu au wajinga nadhani si sahihi
hakuna cha uhuru wa kikatiba hapa, mijitu inakwapua rasilimali zetu, wanatutoza kodi afu wanazitumia kujistarehesha afu we unaongea habari za uhuru wa katiba, wengi wao akiwemo mkuu wao wa kaya tumewakataa kupitia kura bado wanalazimisha, si tuwaeleweje?
 
Mimi naweza kuwa na mtazamo mwingine watu husema 'if you cant fight them join them'.Hapa nina maana kwamba kwa vijana wanaoenda sasa ccm ni kwamba wameshindwa kupigana wakiwa inje sasa wanaona ni wakati mzuri wa kuingia ndani nakupigana ili waweze kupigana na hao mafisadi na kuwashida.
 
Ni utoto tu wakikuwa watagundua kuwa CCM ni chaka la manyang'au na wenyewe watajiondoa huko
 
Ni utoto tu wakikuwa watagundua kuwa CCM ni chaka la manyang'au na wenyewe watajiondoa huko
a lot is at stake, wanaoenda ccm ni walafu tu wanaotaka kufaidika na michezo michafu ilioko CCM, mtoto wa kigogo anamaliza shule leo two years down the line is a multi-bn....wanakera sana hawa!
 
Mi naona upo sahihi.....
Mifano ipo mingi na tunajuana, wengi wanandoto za u-dc .......... lol
 
Mimi naweza kuwa na mtazamo mwingine watu husema 'if you cant fight them join them'.Hapa nina maana kwamba kwa vijana wanaoenda sasa ccm ni kwamba wameshindwa kupigana wakiwa inje sasa wanaona ni wakati mzuri wa kuingia ndani nakupigana ili waweze kupigana na hao mafisadi na kuwashida.

Lakini kumbuka pia huwezi kulisuma gari ukiwa ndani yake ukafanikiwa, sharti uwe nje ya gari husika!!!!
 
Uhuru wa kikatiba uheshimike aisee...

Kuwatukana vijana wenzako wendawazimu au wajinga nadhani si sahihi

Ni kweli lakini kwa wanaodare kuwa wakweli zaidi kwa Tanzania yetu, kushabikia CCM ni kwa maslahi fulani tu. Human beings are opportunistic in nature!
 
duu jamaa kauwa ile mbaya kwa yoyote anaesupport wale wajiungao na ccm mkaemkijua wanafuata maslahi na sio kukukomboa wewe mtz mi na hasira sana aaaaaaaaggrhh!
 
Back
Top Bottom