southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 826
- 1,017
Habari wakuu,
Najua hili ni jukwaa husika nitapata msaada, kwa kipindi kirefu tokea nimalize chuo nilikuwa jkt sikuweza kupata fulsa ya kujihusha na siasa japo tulikuwa tunakutana na vijana wa ccm kwenye kazi mbalimbali kama usafi kwa muda ule hada ningepata dondoo kutoka kwao nisingeweza kujihusisha na siasa
ila kwa sasa naona ni muda ninao, na mara nyingi najifanyia vishughuri vidogo vidogo kwahiyo sio mbaya nikiwa kijana wa ccm japo nilishaluwa chipukizi nikiwa chuo iringa ila sikifanikiwa kuwa na kadi.
Kwahiyo wakuu naomba muongozo naanzia wapi na utaratibu, au kama kuna anae weza kunisaidia nitashikuru sana.
Natanguliza shukurani.