Kwa kauli hii, Je Kikwete ni Dikteta??

Uhuru ni pamoja na kuongea pasi na wasi, Kikwete alipigwa mawe sababu ya udikteta wakee. Kikwete ni mnafiki na mzandiki, mchunguze na wewe kimya kimya utaaondoka CCM licha ya kwamba utabaki kwenye payrole ya Nape M. Nnauye
 
kumbuka uhuru wa kusema katupa JK kuna nchi kama china na nchi za kiarabu kama Irani na Saudi Arabia wanfunga mitandao kama hii. tumpongeze Jk kwa kuwa baba wa demokrasi ya kweli na ndio inamtafuna.

Samahani, unaongelea demokrasia ipi?
 
uhuru wa kuongea na wazee na kuwapa posho za kumsikiliza au ndo zile wanaita siting allowance
 
Aliapa kuilinda na kuitunza katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama si udikiteta mbona unataka kuiua?

Anasaini mswada wenye kipengele kinachozuia wananchi kupata na kutawanya habari na matukio muhimu kwa maisha yao kama vile mchakato wa utungwaji wa katiba mpya.

Anazuia maandamano ya amani ya wanaharakati na vyama vya siasa kwa kisingizio cha Al Shabab wakati huohuo Suleiman Kova anawakaribisha raia wote kukusanyika kwa wingi siku ya Decemba 9 kwamba hali ni shwari na hakuna Al Shabab

Ugumu wa maisha na umasikini na ujinga kwake ni silaha ya ukomozi kwa wazee wa chovu wa CCM pale Dar es Salaam na sehemu nyingine za Tanzania.

Kama Gadaf aliitwa Dikteita itakuwaje President wetu asiitwe Dikteita mkubwa zaidi ya Gadafi maana Gadafi aliwapa watu wake huduma nzuri za afya, shule, miundombinu, maji, umeme wa bure na hata kuwapa vijana hela ya posa na kuanzia maisha, Jk atawaambiaje watu wenye akili timamamu kuwa yeye si dikiteta?
 
wewe ni mchochezi na una chuki binafsi.umewahi kuona wapi dicteta anachaguliwa kwa kura kidemokrasia?uhuru wa vyombo vya habari na kutoa maoni adi wajinga wachache kama wewe mnautumia vibaya kupotosha?.gadafi aliingia madarakani kwa mapindUzi akakaa miongo minne na zaidi.no research no right to sPeak
 
kutotekeleza ahadi nao ni udekitaita, ahadi za walimu kulipwa stahiki zao ziko wapi? ahadi ya kuvua watu magamba siku 90?
 
naelekea kuelewa kweli kuwa huyu kaka ni kadikiteta fulani,
kama siyo washauri wake wanampoteza.
 
Tatizo hana maamuzi. Hata ukiwa dikteta utafanya udikteta kwenye nini?
 
kuna rafiki yangu mmoja anaomba msaada kwa wafasiri wa ndoto, na ndoto yenyewe iko hivi:
Just had a dream that I had removed all African presidents from power, stripped them naked and made them walk in public with their hands tied behind their backs. Their soldiers were all locked up in one barracks and their guns couldn't release a single bullet. What could be the meaning of this dream?
kwa hiyo hawa jamaa siku zao sio nyingi nahuo wasiwasi wanaouonyesha ni dalili za kuujua ukweli huo!
wewe ni mchochezi na una chuki binafsi.umewahi kuona wapi dicteta anachaguliwa kwa kura kidemokrasia?uhuru wa vyombo vya habari na kutoa maoni adi wajinga wachache kama wewe mnautumia vibaya kupotosha?.gadafi aliingia madarakani kwa mapindUzi akakaa miongo minne na zaidi.no research no right to sPeak
 
Aliapa kuilinda na kuitunza katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama si udikiteta mbona unataka kuiua?

Anasaini mswada wenye kipengele kinachozuia wananchi kupata na kutawanya habari na matukio muhimu kwa maisha yao kama vile mchakato wa utungwaji wa katiba mpya.
Anazuia maandamano ya amani ya wanaharakati na vyama vya siasa kwa kisingizio cha Al Shabab wakati huohuo Suleiman Kova anawakaribisha raia wote kukusanyika kwa wingi siku ya Decemba 9 kwamba hali ni shwari na hakuna Al Shabab

Ugumu wa maisha na umasikini na ujinga kwake ni silaha ya ukomozi kwa wazee wa chovu wa CCM pale Dar es Salaam na sehemu nyingine za Tanzania.

Kama Gadaf aliitwa Dikteita itakuwaje President wetu asiitwe Dikteita mkubwa zaidi ya Gadafi maana Gadafi aliwapa watu wake huduma nzuri za afya, shule, miundombinu, maji, umeme wa bure na hata kuwapa vijana hela ya posa na kuanzia maisha, Jk atawaambiaje watu wenye akili timamamu kuwa yeye si dikiteta?
Sema yote juu ya JK lakini swala la Kuwa yeye ni dikteta acha kabisa ndugu yangu. Huyu bwana amekuza hali demookrasia hapa nchini. Linganisha wakati wa jk na wakati wa Ben. Hivi sasa vyama vingine vya siasa vinafanya mambo yao kiuhuru zaidi kuliko wakati wa mkapa.
Tafadhali sana usije ukalinganisha JK na Gadafi. Bora hali hii tulionayo tanzania kuliko hali waliokuwa nayo walibya. Gadaffi alikuwa anauwa hadharani ili watu wamuogope lakini Jk hajafanya hivyo.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni jamani. Jk ana matitizo yake likini kwa hili la udikteta sikubaliani na nyinyi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom