Kwa hisani ya watu wa Marekani

Kiongozi kuna tangazo moja linalohusu jinsi ya kutatua migogoro kwenye ndoa sasa limedhaminiwa na watu wa marekani!

Oh really? Wamarekani ambao ndoa zimewashinda na ambao viwango vyao talaka viko juu.....? Wamarekani ambao wanaunda tovuti kama www.Ashleymadison.com? Wamarekani wanaotengeneza programme kama Cheaters? Miafrika bana....stupid beyond comprehension....
 
Oh really? Wamarekani ambao ndoa zimewashinda na ambao viwango vya talaka viko juu.....? Wamarekani ambao wanaunda tovuti kama www.Ashleymadison.com? Wamarekani wanaotengeneza programme kama Cheaters? Miafrika bana....stupid beyond comprehension....
Hahaha si ndo apo mkuu tunapojiuliza yaani mpaka maswala yetu ya ndani ya ndoa tuyatatue kwa hisani ya watu wa marekani? Kweli kama ulivyosema "stupid behind comprehesion" si ajabu. Hata kumvisha mtoto nepi tutaitaji hisani ya watu wa marekani!
 
We are stuck on stupid. And stupid is as stupid does. Period. End of story!

Ila mazee umekosea kuninukuu...rejea tena ulivyoandika...
 
Falsafa ya tangazo ni njema... Tatizo litabaki kwa wenzi wenyewe wawe na mazungumzo ya kujenga au kubomoa!!
 
Baadae tutaanza kuoa, kuzaa na kulea familia kwa hisani ya watu wa Marekani. Ni upuuzi wa aina fulani hivi na inaonyesha jamaa wanavyotaka kututawala. Wameanza kwa kutupatia neti za mbu wakagundua mme na mke wa KiTZ huwa hawaongei hivyo wanajidai wanatusaidia. Charity begins at home... si wangeanza kwanza kuwahimiza wamarekani kuongea na wenzi wao. wanajidai wao mambo yako mswano!!!

Ujumbe huu umeandikwa kwa hisani ya watu wa Afghastani
 
Mbona hao wamarekani hawatoi hisani wakati tunapoanza mahusiano! Yaani wanasubiri mpaka timbwili litokee ndio waonyeshe kuwa wanajali?
 
hahaha si ndo apo mkuu tunapojiuliza yaani mpaka maswala yetu ya ndani ya ndoa tuyatatue kwa hisani ya watu wa marekani? Kweli kama ulivyosema "stupid behind comprehesion" si ajabu. Hata kumvisha mtoto nepi tutaitaji hisani ya watu wa marekani!

juzi niliona kwenye taarifa ya habari huko morogoro jeshi la polisi lilikuwa linateketeza silaha kwa hisani ya japani, yaani nilijiuliza hawa japan ndo wametufadhiri kuteketeza silaha, ina maana jeshi letu hata hela ya kununua mafuta ya taa au petrol ya kuunguzia bunduki hawana?? Nilishangaa sana..nchi hii tumejaa fikra tegemezi na hii yote ni kutokana na raisi wetu ambaye siku zote ameamini wazungu wanaweza toka huko waliko kuja kutuendeleza ..aibu na hasira kali nilizipata..
 
hata zikiingia hazina neno. kusoma siyo shida, take them as refreshments my dear. ni good kwa afya. lakini kama unaona majaribu ni mengi ni vizuri kudhibiti baadhi ya watu...........

Mhnnn!!!vimekukwama kooni wakati hujala wewe...lol!!nikama tenga unaziba hapa inatokea kule!!!Huyo nimwanamke ukinizuia mimi kesho atakuja mwingine je utazuia wangapi??je kama unajibiwa wakati.............Mwaego preta fanya unchokijua!!!Usijibiwe
 
juzi niliona kwenye taarifa ya habari huko morogoro jeshi la polisi lilikuwa linateketeza silaha kwa hisani ya japani, yaani nilijiuliza hawa japan ndo wametufadhiri kuteketeza silaha, ina maana jeshi letu hata hela ya kununua mafuta ya taa au petrol ya kuunguzia bunduki hawana?? Nilishangaa sana..nchi hii tumejaa fikra tegemezi na hii yote ni kutokana na raisi wetu ambaye siku zote ameamini wazungu wanaweza toka huko waliko kuja kutuendeleza ..aibu na hasira kali nilizipata..

waliosema nchi hii ishaposwa hawakukosea. Tatizo waposaji ni wengi na mahari zao zote zimepokelewa. Kwa kutambua hilo waposaji wameamua kuja na stail ya utoaji amri kwa kila jambo. Bado kwa hisani ya watu wa china
 
Back
Top Bottom