kwa hili sidhan kama kuna haja ya kupanga madaraja upya

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,644
3,288
elimu ya tanzania imepoteza muelekeo
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1368252081288.jpg
    uploadfromtaptalk1368252081288.jpg
    7.9 KB · Views: 795
hata bila watu kama hawa matokeo ya 2012,hayana sababu ya kuftwa,hao nao wameamuona kuonesha makalio yao.
 
Mbona kama kunafanana na Sekondari ya Mkwawa enzi hizo. Nikisema Loyola, wao hawavai sketi za rangi hiyo
 
ahahahaha huwezi amini kama ni kweli tza lakini ndio ukweli wenyewe na ndio kizazi tulicho nacho
 
Yaani we acha tuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom