kwa hili sidhan kama kuna haja ya kupanga madaraja upya

hhaaaa, wanamwaga radhii, mnavyokodoa mimacho udenda unawatokaaaa, mtajiju
 
Huwa wanakaguliwa hadi sare za ndani? Naona wametupiamo black wote.

hapana sare za ndani huwa hawakaguliwi,kinachofanyika wanafunz wa kike wanakaguliwa na wasimamizi wanawake na wanafunz wa kiume hukaguliwa na wasimamizi wanaume,sasa kinachofanyika ni kuhakikisha mifukon hawajabeba kitu zaid ya vile vilivyoruhusiwa kutumika ndani ya mtihan na kuwapapasa(kila jinsi inapapaswa na yule msimamizi wa jinsi husika) inamaana mwanaume kwa wanaume/wavulana na mwanamke kwa mwanamke/msichana
 
Back
Top Bottom