GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Kwa hali hii kwa nini tusiseme wanachama + wapenzi wa CDM a.k.a MAGWANDA ni wasaliti na wasio watendea haki viongozi wao ?. Mwaka jana wakati wa uchaguzi mkuu walihudhuria kwa wingi kwenye mikutano ya Magwanda, ila mwisho wa siku kura wakampigia Dkt. JMK, sasa huu kama sio usaliti ni nini ? . Mlimfanya Slaa aaanze kuota njozi za kujenga ghorofa hewani kwa kudhania atakuwa RAIS, ila mwisho wa siku matokeo yalipokuwa yakitoka hakuamini macho yake na kupandwa na pressure mpaka kufikia kulazwa hospitali, na kuchanganyikiwa kwa kutoa kauli zisizo eleweka . Sasa huu kama si usaliti kwa kiongozi wenu ni nini nyie wapenzi na wanachama wa Magwanda ?. Kwa usaliti huu ningekuwa kiongozi wa Magwanda ningewashauri kuwafukuza wanachama wote tuanze upya