Kwa hili nasema wanachama na wapenzi wote wa Magwanda ni wasaliti kwa CHADEMA

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Kwa hali hii kwa nini tusiseme wanachama + wapenzi wa CDM a.k.a MAGWANDA ni wasaliti na wasio watendea haki viongozi wao ?. Mwaka jana wakati wa uchaguzi mkuu walihudhuria kwa wingi kwenye mikutano ya Magwanda, ila mwisho wa siku kura wakampigia Dkt. JMK, sasa huu kama sio usaliti ni nini ? . Mlimfanya Slaa aaanze kuota njozi za kujenga ghorofa hewani kwa kudhania atakuwa RAIS, ila mwisho wa siku matokeo yalipokuwa yakitoka hakuamini macho yake na kupandwa na pressure mpaka kufikia kulazwa hospitali, na kuchanganyikiwa kwa kutoa kauli zisizo eleweka . Sasa huu kama si usaliti kwa kiongozi wenu ni nini nyie wapenzi na wanachama wa Magwanda ?. Kwa usaliti huu ningekuwa kiongozi wa Magwanda ningewashauri kuwafukuza wanachama wote tuanze upya
 
mkuu ccm ni sawa na kinyesi. hakuna namna unaweza kukipamba kinyesi.

WaterSupplyTanzania.jpg
 
acha makelele mwambie nape aje kwenye hiki kituo morogoro aone umuhimu wa kuondoa posha wazee wapate pensioni hata kama kidogo

PHOTO:kituo cha kulelea wazee Morogoro mjini

attachment.php
 
siezi pigia kura mtu ambaye hakai nchini kwake akitalii huku na kule kutafuta matibabu ya maradhi yake ya kuanguka-anguka

Mlijaa kwenye mikutano, na kura mkampa mwingine, huu ni usaliti kabisa, nchi nyingine unastahili unyongwe kabisa !
 
acha makelele mwambie nape aje kwenye hiki kituo morogoro aone umuhimu wa kuondoa posha wazee wapate pensioni hata kama kidogo

PHOTO:kituo cha kulelea wazee Morogoro mjini

attachment.php

Mlitakiwa mfukuzwe chamani nyie, huu ni unafiki wa hali ya juu
 
hahahaha! Pole yako km unafikiri jk alipewa kura na wtz wenye akili zao. AMEIBA KURA ZETU. Afu nahisi huu mgao wa umeme utakuwa umekuvuruga AKILI kama basi unayo.
 
Ma-CCM bana huwa yananifanya nikubali safari bado ni ndefu!!!
 
Mwenyekiti wa CCM kijiji cha Miwaleni akiondoka kwenye ofisi za chama kuelekea kwa BEATRICE SHELUKINDO kwa kuchaguliwa kuwa mbunge
Safari ya umbali wa 48 km
 
acha makelele mwambie nape aje kwenye hiki kituo morogoro aone umuhimu wa kuondoa posha wazee wapate pensioni hata kama kidogo

PHOTO:kituo cha kulelea wazee Morogoro mjini

attachment.php

Kweli hapo ni Tanzania?! Mungu wangu' wabunge wanajadiri bajeti ya nani?! Hao wazee wanambunge wao?! Kuna mkuu wa wilaya?! Mkoa?! Rais anawaza nini?!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Kweli hapo ni Tanzania?! Mungu wangu' wabunge wanajadiri bajeti ya nani?! Hao wazee wanambunge wao?! Kuna mkuu wa wilaya?! Mkoa?! Rais anawaza nini?!

Ha ha haaaaaa MAGWANDA kwa kuchakachua hamjambo, hii picha ni ya siku nyingi sana ilipigwa RWANDA
 
Back
Top Bottom