Kwa hili nasema wanachama na wapenzi wote wa Magwanda ni wasaliti kwa CHADEMA

Kwa hali hii kwa nini tusiseme wanachama + wapenzi wa CDM a.k.a MAGWANDA ni wasaliti na wasio watendea haki viongozi wao ?. Mwaka jana wakati wa uchaguzi mkuu walihudhuria kwa wingi kwenye mikutano ya Magwanda, ila mwisho wa siku kura wakampigia Dkt. JMK, sasa huu kama sio usaliti ni nini ? . Mlimfanya Slaa aaanze kuota njozi za kujenga ghorofa hewani kwa kudhania atakuwa RAIS, ila mwisho wa siku matokeo yalipokuwa yakitoka hakuamini macho yake na kupandwa na pressure mpaka kufikia kulazwa hospitali, na kuchanganyikiwa kwa kutoa kauli zisizo eleweka . Sasa huu kama si usaliti kwa kiongozi wenu ni nini nyie wapenzi na wanachama wa Magwanda ?. Kwa usaliti huu ningekuwa kiongozi wa Magwanda ningewashauri kuwafukuza wanachama wote tuanze upya
Ah ah ah, umesahau magamba walivyotamba kwamba watashinda kwa kishindo? na matokeo yake yakawa roughly 60+ percent tena kwa mbinde!!! Na mpaka leo wanataka kufukuzan,a lakini wanashindwa kwa sababu hajapatikana wa kumfunga paka kengele
 
Kwa nn ulikwenda kwenye mikutano ya Slaa, na kura ukampa JK ?

Kwa mtu mwenye akili zake timamu anajua kilichotokea wakati wa uchaguzi na matokeo yake. Maswali kama hayo yanaonyesha kweli CCM walivyofilisika hata kimawazo. Kura zilichakachuliwa kwa kutumia majeshi, usalama wa taifa na wengineo. Hili hata mtoto mdogo analijua na JK anajua. Badala ya kuongea pumba pumba hizo jiulizeni ninyi ccm nchi mnaipeleka wapi?? mnajivunia jk amepewa kura wakati nchi inakwenda halijojo. Asubuhi mimi nimeshindwa kuoga, nimeshindwa kupiga pasi hata taarifa za habari siku hizi sizisikii, bado mnajivunia jk kupora kura. Huyo aliyewaloga ninyi kawaweza kweli kweli. Endeleeni kuongea pumba zenu lakini ndiyo mmekwisha hivyo. pumba pumba pumba kabisa ninyi
 
Endeleeni kujifariji tu, mliye mpa kura alishinda sasa unamlalamikia nani ? jilaumuni wenyewe kwa usaliti wenu. Mzee wa watu mmempa hali ngumu sana, aibu kila sehemu. Aibu yakushindwa mbaya na pressure juu
 
Ah ah ah, umesahau magamba walivyotamba kwamba watashinda kwa kishindo? na matokeo yake yakawa roughly 60+ percent tena kwa mbinde!!! Na mpaka leo wanataka kufukuzan,a lakini wanashindwa kwa sababu hajapatikana wa kumfunga paka kengele

Ukiwa darasani ukishinda kwa 60+ huo ni ushindi wa kishindo, na nashukuru na ww mwenyewe ulichangia ushindi huo wakishindo kwa kumpa kura JK na kumgeuka slaa dkk za mwisho
 
Mleta hoja, inaonekana alikua muhudhuriaji mzuri wa semina elekezi, ndo'maana amekaa kimujini mujuni. Alifaa sana kama angeitwa kanjanja, maana ye akili zake aliishazichanganya na za mama "makinda". Crap!
 
Namuonea huruma sana slaa angejua watu wake wangemsaliti hivi hata kugombea asinge gombea ni bora angebakia na ubunge wake wa karatu. Watu wenyewe ndio km hawa wakina denoo49, kura alimpigia JK, humu JF anajifanya CDM kufa, kwa nn asipigwe risasi kwa usaliti huu ?
 
sio wote waliokuwa wanaenda kwenye mikutano walikuwa na nia wengine walikuwa wanavuta muda wakunywa kahawa si unajua mikutano ilikuwainafanyika jioni?
 
user-online.png
GeniusBrain

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png

your name does not correspond of what yoy have in your mind... pole...
 
Huruma, ungeanza kujionea wewe na familia yako kiujumla. Ukuaji wa matatitzo sugu ya taifa yana2husu wote wee "h0‹2use girl" unayeendelea kumpigia promo huku hujui ni lini utaacha kuishi kwenye maisha ya umeme wa mgao. Pole sana inavyoonekana hujui ni kwanini unaishi. Maisha yako hayana utofauti kama umeme wa luku.
 
Denoo49 jionee huruma wewe mwenyewe, kwani jamaa wamekutumia vibaya na sasa wanakuona km paukwa pakawa. Na zile sera za Magwanda za vitu vya bure bure achana nazo , fanya kazi kwa bidii utapata hata hela yakujikimu ww na familia yako, hata kajenereta kadogo utanunua na umeme utapata full time. Njoo kwangu nikupe basi jenereta ila ukubaliane na masharti yangu tu
 
Kwa hali hii kwa nini tusiseme wanachama + wapenzi wa CDM a.k.a MAGWANDA ni wasaliti na wasio watendea haki viongozi wao ?. Mwaka jana wakati wa uchaguzi mkuu walihudhuria kwa wingi kwenye mikutano ya Magwanda, ila mwisho wa siku kura wakampigia Dkt. JMK, sasa huu kama sio usaliti ni nini ? . Mlimfanya Slaa aaanze kuota njozi za kujenga ghorofa hewani kwa kudhania atakuwa RAIS, ila mwisho wa siku matokeo yalipokuwa yakitoka hakuamini macho yake na kupandwa na pressure mpaka kufikia kulazwa hospitali, na kuchanganyikiwa kwa kutoa kauli zisizo eleweka . Sasa huu kama si usaliti kwa kiongozi wenu ni nini nyie wapenzi na wanachama wa Magwanda ?. Kwa usaliti huu ningekuwa kiongozi wa Magwanda ningewashauri kuwafukuza wanachama wote tuanze upya

Sawa Dr Slaa naona unajipigia pass mwenyewe. ni kweli wanachama wako walikuuza, na wakataka kukuingiza mchomo kwa kukudanganya kujizunguusha nchi nzima kuuza sura kwa waliokuuza. na pole sana maana nasikia kuna baadhi ya mikoa ulirudi bila hata kuaga baada ya kukosa support ya kuzurula barabarani. sasa hivi mkuu mvuto wako umebaki kwenye magazeti Ikulu unapapita kama ninavyopapita mimi, tena utakuwa unapaogopa sana. eti ivi mara ya mwisho kupita pale karibu na ikulu ilikuwa lini? Pole sana.
Unajua ukimuasi Mungu adhabu yake huanzia hapa hapa duniani.
 
saluti mkuu, naona unaonesha u-genius wako
 
We umetoka wapi tenaaaaa? Nani kakwambia JMK alipata kura za kutosha. At least kwenye kitongoji chetu alipata ZERO, yeye kateuliwa na Tume kuwa raisi ndo maana hajali hata mkimtoa ni poa tu. Kwani alishinda!!?? Nasema na nitarudia kusemaaaaaaaaaaa...alichakachua na kwa vile alichakachua cha moto tunakiona! Hakupigiiiiiwaaaaaa kkkkuuuuuuuuurrrrrrrrraaaaaaaaaaaa na Watanzania za kutosha kumweka IKULU....'Achakachuuuuuuwaaaaaaaaa eeeeehhh kweli kabisaaaaaa!
Nakuuliza kwa nn kura ulimpa JK ? jibu
 
We kimeo, kapewa na nani? Ni kama EPA tu au Deepgreen au Kagoda. SIKUMPA, na wewe kwanini hukumnyima?
 
We umetoka wapi tenaaaaa? Nani kakwambia JMK alipata kura za kutosha. At least kwenye kitongoji chetu alipata ZERO, yeye kateuliwa na Tume kuwa raisi ndo maana hajali hata mkimtoa ni poa tu. Kwani alishinda!!?? Nasema na nitarudia kusemaaaaaaaaaaa...alichakachua na kwa vile alichakachua cha moto tunakiona! Hakupigiiiiiwaaaaaa kkkkuuuuuuuuurrrrrrrrraaaaaaaaaaaa na Watanzania za kutosha kumweka IKULU....'Achakachuuuuuuwaaaaaaaaa eeeeehhh kweli kabisaaaaaa!

Tena nyie mnao bisha kwa nguvu ndio wasaliti wakubwa ! mmefanya kiti kibaya sana, unakula kwa jirani (CDM) na unakwenda kulala kwenu ( CCM )
 
Sawa Dr Slaa naona unajipigia pass mwenyewe. ni kweli wanachama wako walikuuza, na wakataka kukuingiza mchomo kwa kukudanganya kujizunguusha nchi nzima kuuza sura kwa waliokuuza. na pole sana maana nasikia kuna baadhi ya mikoa ulirudi bila hata kuaga baada ya kukosa support ya kuzurula barabarani. sasa hivi mkuu mvuto wako umebaki kwenye magazeti Ikulu unapapita kama ninavyopapita mimi, tena utakuwa unapaogopa sana. eti ivi mara ya mwisho kupita pale karibu na ikulu ilikuwa lini? Pole sana.
Unajua ukimuasi Mungu adhabu yake huanzia hapa hapa duniani.

Ntakuja ikulu kunywa chai
 
Back
Top Bottom