busara ya mzee
Member
- Apr 25, 2012
- 71
- 5
Hiyo ndiyo maana ya neno KAMANDA uwezi kuwaacha wapiganaji wako....chadema inafundisha,inabadilisha mengi ya manufaa kwa taifa letu....Hongera mh kamanda suzan :msela:
.....kwani mh.Suzani amekuwa mmbunge kwa muda gani? hulka ya mtu ni asili yake, hata kwa mwezi mmoja angeweza kuwa na zaidi ya shangingi moja.Bado hajapata mkopo wa shangingi, mpe miezi mitatu mingine, kama utamuona tena stendi!
Bado hajapata mkopo wa shangingi, mpe miezi mitatu mingine, kama utamuona tena stendi!
Mbunge wa viti maalum Susan Kiwanga wa Kilombero kama sijakosea jina, amekesha stand ya Moro baada ya basi alimokuwemo kuzuiwa kuendelea na safari ya kuelekea Dar kutokana kufika Moro saa 5:00 usiku. Japokuwa mbunge angeweza kuchukua chumba cha kulala katika nyumba za wageni zilizopo karibu na stand lakini hakufanya hivyo na badala yake usiku huo aliutumia kutoa elimu kwa baadhi ya wasafiri walioonekana kuguswa na kitendo chake hicho cha kujichanganya na watu wa tabaka la chini la watanzania mpaka saa 12: 00 asubuhi muda ulioruhusu basi kuendelea na safari ya Dar, kitendo ambacho ni nadra sana kufanywa na wabunge wa CCM. Peoples...........
Bado hajapata mkopo wa shangingi, mpe miezi mitatu mingine, kama utamuona tena stendi!
Nitakuleta pot la kujisaidia mwanangu usichafue shukaee mamaeeYaani pumba kama hii ndiyo unaleta hapa jukwaani, kwanza huyo gwanda hana lolote zaidi sana ni kilaza tu kama wenzake(magwanda) walivyo.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Y"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Sikujua siku hizi Tanzania tuna matabaka,
Good for her ameonyesha kuwa kiongozi si kuwahothi watu na siyo kuwa juu ya watu ila ni kufanya kazi na watu, kutambua hisia zao na pia kutumia muda nao ili kujua shida zao na matatizo yao.
Cdm twanga kotekote