Kwa hili nampongeza mbunge huyu wa CHADEMA

Hiyo ndiyo maana ya neno KAMANDA uwezi kuwaacha wapiganaji wako....chadema inafundisha,inabadilisha mengi ya manufaa kwa taifa letu....Hongera mh kamanda suzan :msela:
 
Acha kuishi kwa mazoea kakaaa!!! Yaelekea huyu mama we hata hujawahi kumuona hata sura yake ili angalau ufananishe anachokifanya na facial expresion yake kama una kaelimu hata kidogo ka saikologia lakini. Ni wa ukweli na ndo watu watakaoifikisha Tanzania tutakako. BIG UP MAMA, VIVA CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bado hajapata mkopo wa shangingi, mpe miezi mitatu mingine, kama utamuona tena stendi!
.....kwani mh.Suzani amekuwa mmbunge kwa muda gani? hulka ya mtu ni asili yake, hata kwa mwezi mmoja angeweza kuwa na zaidi ya shangingi moja.
 
Bado hajapata mkopo wa shangingi, mpe miezi mitatu mingine, kama utamuona tena stendi!

Unapenda kukurupuka kinoma!

Huyo ni mbunge toka August Parliament ilivyoanza!!

Kwa hiyo hata hilo shangingi analo!!
 
Kweli huyu kamanda suzan kiwanga ni mpiganaji mzuri sana kwani hata yule DC (austazati) wa kule igunga alitaka kuchakachua kura za CDM, alivuliwa hijabu na huyu suzan kiwanga.
 
Mbunge wa viti maalum Susan Kiwanga wa Kilombero kama sijakosea jina, amekesha stand ya Moro baada ya basi alimokuwemo kuzuiwa kuendelea na safari ya kuelekea Dar kutokana kufika Moro saa 5:00 usiku. Japokuwa mbunge angeweza kuchukua chumba cha kulala katika nyumba za wageni zilizopo karibu na stand lakini hakufanya hivyo na badala yake usiku huo aliutumia kutoa elimu kwa baadhi ya wasafiri walioonekana kuguswa na kitendo chake hicho cha kujichanganya na watu wa tabaka la chini la watanzania mpaka saa 12: 00 asubuhi muda ulioruhusu basi kuendelea na safari ya Dar, kitendo ambacho ni nadra sana kufanywa na wabunge wa CCM. Peoples...........

Huyu mama ni jembe.Ni Mbunge wa waatu wote sio wa kikundi fulani kama wale wazee wa ndiooo.2015 atachukua jimbo la Kilombero huku mimi nikichukua jimbo la Ulanga Magharibi
 
Yaani pumba kama hii ndiyo unaleta hapa jukwaani, kwanza huyo gwanda hana lolote zaidi sana ni kilaza tu kama wenzake(magwanda) walivyo.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Nitakuleta pot la kujisaidia mwanangu usichafue shukaee mamaee
 
Sikujua siku hizi Tanzania tuna matabaka,

Good for her ameonyesha kuwa kiongozi si kuwahothi watu na siyo kuwa juu ya watu ila ni kufanya kazi na watu, kutambua hisia zao na pia kutumia muda nao ili kujua shida zao na matatizo yao.

unaishi wapi mkuu? Kuna shule za kayumba (Kata), English medium, International schools. Kuna wanaotibiwa mhimbili , india , ujerumani. Kunawanao kula wanamwaga , kuna wa milo miwili na mlo mmoja ! endelea mwenye......
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom