Kwa hili la CDM jangwani kweli Dar ina wenyewe

zumbemkuu, hilo nalo ni janga la kitaifa
Kwa maana hiyo manataka kuongoza nchi ili kulipiza visasi na si kuongoza watanzania ? km ni hivyo basi hamfai kushika dola ya nchi hii aisee. Cdm ni zaidi ya uijuavyo unafiki mioyoni umejaa balaa
 
Last edited by a moderator:
Kama Dar ni ya wazaramo embu nitajie Mameya wanaoiongoza dar kwasasa, tangu enzi za Sykes ndo tushawafurumusha. Embu ktk maofisi yaliyoko Dar tuchambulie hao Wazaramo ni wangapi?????? Kajipange uje upya, naelekea zangu Kariakoo kwasasa napita hii short-cut ya CDM Square hapa kukwepa foleni
 
Huyu jamaa anatuchosha na utafiti wake wa kijinga usio na mashiko akidhamiria comments nyingi mods futeni hili liuzi lake lisijekuwapa watu ban bure,no reserch no right to speak
 
Mtu kama GB akiandika thread ya uozo hapa jamvini, tunaishobokea kweli.
Kuna thread za maana nyingi zinahitaji comments zenu great thinkers. Acheni huu uozo upite.

Ww ndio wasema, ila hii thread in a maana sana ndio maana hata ww umeacha ku comment hizo umekuja kwenye hii yangu, nashukuru kwa kulitambua hilo kuwa hii ni thread ya maana kuzidi hizo zingine
 
Mimi nipo hapa CDM Square naelekea magomeni hata wakati wa kurudi lazima nipitie hapo CDM SQUARE (ZAMANI JAGWANI)kuelekea muhimbili
 
Huyu jamaa anatuchosha na utafiti wake wa kijinga usio na mashiko akidhamiria comments nyingi mods futeni hili liuzi lake lisijekuwapa watu ban bure,no reserch no right to speak

Acha wivu wa kike mkuu, andika na ww ya kwako yenye mashiko na ukweli km hii ili wengine wa comment mkuu
 
sasa mkuu huoni kwamba CCM inawapa premium service wafuasi wake... inawajali .... hawarudi makwao kwa miguu... na burudani kama kawaida ...

ha ha ha wafuasi wa ccm wanatoa michango?? au pesa mnapata wapi?? si afadhali shemasi Lema anazichukua hapo hapo kulipa gharama ya jukwaa na spika...nyie mnachukua kodi za wananchi wote..walio ccm na wasio ccm!!! teh teh teh!
 
Kama Dar ni ya wazaramo embu nitajie Mameya wanaoiongoza dar kwasasa, tangu enzi za Sykes ndo tushawafurumusha. Embu ktk maofisi yaliyoko Dar tuchambulie hao Wazaramo ni wangapi?????? Kajipange uje upya, naelekea zangu Kariakoo kwasasa napita hii short-cut ya CDM Square hapa kukwepa foleni

Hivi kwa nn mnashindwa kuelewa uzi wangu? nilichosema Dar in a wenyewe au hata kusoma mkuu ni shida ?
 
hiyo ya kukusanya papo kwa papo ni kiini macho.. funding za chadema zatoka hapa Christian Democratic Union (Germany) - Wikipedia, the free encyclopedia (CDU) mkuu unadhani zile kelele chama hiki cha kidini ni bure..!? tena pale jangwani walikuwepo wale wazungu kutoka ujerumani kuangalia kama pesa zao zinafanya kazi vizuri
 
Cdm bana badala yakujibu hoja wanabaki wanalalamika km mwenyekiti wao pale jangwani, analia lia weeee polisi wamuonee huruma na tume ya katiba iwaonee huruma. Na ww tena hapa unamuiga na ww unalia , tukusaidiaje?

Acha kuandika pumba ndugu.. unaboa ile mbaya..
 
Kama Dar ni ya wazaramo embu nitajie Mameya wanaoiongoza dar kwasasa, tangu enzi za Sykes ndo tushawafurumusha. Embu ktk maofisi yaliyoko Dar tuchambulie hao Wazaramo ni wangapi?????? Kajipange uje upya, naelekea zangu Kariakoo kwasasa napita hii short-cut ya CDM Square hapa kukwepa foleni

Hivi kwa nn mnashindwa kuelewa uzi wangu? nilichosema Dar in a wenyewe au hata kusoma mkuu ni shida ?
 
Analysis nyingine nafikiri hua zinafanyikiaga chooni wakati mtu anajihudumia haja kubwa!!

Possibly hata zinatumika kupunguza msongo wa mawazo na katika kujiweka bize chooni ndio mtu anaamua apost kitu chochote kimjiacho kichwani!!

Hii ni dhahiri kua kadiri tuendeleako huko mbele, basi majalala yaliyopo yatakua hayatoshi kwa vichaa waliopo na wanaotegemewa kutokea.

Nachelea kusema kua ni dhahiri asilimia kubwa ya wengi wetu ni "misukule" na hatulijui kama hilo

Wewe unayejiita Genius Brain pamoja na wale wote wliokuunga mkono katika hoja yako ya "Dar ina wenyewe" ningewashauri mwende mkaogee magadi ili muondokane na mkosi/gubu lililowakumba. Ni vema mkafanya hivyo ili msieneze mkosi huo kwa walio safi. Maana mumenukisha hali ya hewa.
 
Kwa taarifa tu:

Dr es Salaam pia inaongoza kwa kuwa na wtumiaji wengi wa TV. Na wengi tulianagalia live kwenye TV
 
Jibu jibu hoja mzee, nyie ndio wale wale wakuja wa dar, mliletwa na mbio za mwenge au mafuso yanayotoka mikoani

Kama hujaandika hoja yeye atajibu hoja ipi? Andika hoja kwanza ndio aweze kujibu. Ni vyema wakati unaandika uache kuvaa nepi za watoto maana zinakufanya unashindwa kuandika mambo ambayo watu wanaweza wakasoma na kuelewa
 
ha ha ha wafuasi wa ccm wanatoa michango?? au pesa mnapata wapi?? si afadhali shemasi Lema anazichukua hapo hapo kulipa gharama ya jukwaa na spika...nyie mnachukua kodi za wananchi wote..walio ccm na wasio ccm!!! teh teh teh!

haiitwi ccm siku hizi ni NYINYI- M (NYINYI MAFISADI)
 
Back
Top Bottom