Kwa hili la CDM jangwani kweli Dar ina wenyewe

Mpaka mwaka 2000 Kariakoo ilikuwa ya wazaramu kweli na nyumba zao za udongo lakini sasa ni maghorofa ndugu Tena ya watu wa kuja.
Hata hivyo na wazaramo, wakwere na wengineo sio wote CCM wengi CUF na CDM pia sasa wewe unasema ina wenyewe kwa mantiki ipi?.

Wangekuwa hivyo isingekuwa kile 'kijiumati' lingekuwa 'liumati la halaiki'. So, hoja zako hazing mashiko kajipange tena mkuu
 
Kile kijiumati wengi wao ni mafundi garage, ma baamedi, wauza maduka ya mwenge pale kutoka kaskazini sasa haw a kweli na akili zako unaweza sema wakazi wa dar kweli? na ww ni mmoja wapo wa haw a sina shaka
Ukaazi kwa bara hatuangalii umeishi miaka mingapi! ishu ni umejandikisha wapi kupiga kura.
Uliowataja ni watu wazima sio sawa na magamba wanaokusanya watoto wasiojua kitu, na bahati mbaya wakishapitia kwenye KAYUMBA wanabadirika hawaendi tena, muulize Nape yaliyomkuta Misenyi [h=1]Vijana CCM Misenyi wamuumbua vibaya Nape Nnauye[/h]
Najua hutanijulisha siku ya kuungana nami, lakini ipo karibu na nitajua kwa kuikosa username yako na kuwepo kwa ujio wa username mpya humu jamvini!.
 
Tathmini ya kisayansi ya mkutano wa cdm jangwani ni kama ifuatavyo :

  • tuliambiwa kwenye kwenye magazeti (na sijui km ni kweli) kuwa kwa arusha na yenye watu wachache kuzidi Dar watu 10,000 walirudisha kadi, ila kwa Dar na yenye watu wengi zaidi ya Arusha ni 3100 tu. Ndio narudia kusema Dar ina wenyewe sio mji wa kuvamia vamia tu[/COLOR][/SIZE][/FONT]

Wapendwa tukumbushane maswali ya Darasa la Pili shule ya Msingi.

Jibu maswali yafuatayo:-

(1) Tanzania ina jumla mikoa mingapi?

(2) Katika jumla ya hiyo mikoa, ukitoa mikoa miwili unapata mikoa mingapi?

(3) Mkoa mmoja una watu 10,000 na mkoa wa pili una watu 3,100. Tafuta wastani wa mikoa hii miwili.

(4) Jibu namba tatu hapo juu zidisha kwa jibu namba mbili hapo juu.

NOTE: Ukijibu hayo maswali manne kwa ufasaha utapata jumla ya wanachama wa CCM wanaotarajiwa kuvua magamba na kuvaa magwanda mwaka huu.

MIZAMBWA
NABII MTARAJWIA!!!
 
zumbemkuu kuna watu wanajifanya hawana macho ati, via ni matunutu
mkuu Elli
halafu yanafanana akili yote, haangi yajiie mbwai vyebana mitwi?

lakini ipo siku inakuja, nayo ipo karibu mno, na siku hiyo milango ya magereza itafunga kuwaachia huru wanyonge na walioonewa na wataingia majambazi kama huyu muanzisha thread.
 
Last edited by a moderator:
si mnawalisha watu pilau na kuwawekea taarabu na akina kapteni komba?? bongo fleva usiseme ...watoto wote wa mjini lazima waje..ha ha ha!

sasa mkuu huoni kwamba CCM inawapa premium service wafuasi wake... inawajali .... hawarudi makwao kwa miguu... na burudani kama kawaida ...
 
Maneno yako twayyyib! kale kajiumati wengi wao ni mafundi gereji waliobebwa na malori ya wachaga kutoka kigogo dampo, tabata, mabaamedi wa Sinza, wauza kitimoto wa kimara, mbezi, na ubungo.

Hawa Chadema kweli wageni mjini hawajawahi kuona jangwa linavyojazwa? ule ulikuwa mkutano wa Injili tu ndio maana kulikuwa na makapu ya sadaka Lema anakusanya, mkutano wa siasa sadaka za nini?

Inaonekana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana!!!!!!
Huwezi kugundua tu haraka haraka kwamba maisha ya wakazi wa Dar kwa sasa ni magumu sana kiasi kwamba hata nauli yenyewe ya kutoka majumbani mwao kwenda kwenye mkutano hawana!!!!!
Na kwa taarifa yako binafsi nilifanya kautafiti kadogo tu nikagundua kwamba watu wengi sana sana walikuwa wanafuatilia yaliyokuwa yanajiri kwenye ule mkutano kupitia television ya ITV wakiwa majumbani mwao na sehemu zao za kazi
Ninyi CCM endeleeni kujidanganya tu kwamba CDM hawana nguvu dar na mikoa ya pwani lakini mtashangazwa na matokeo kwenye box la kura 2015
Wakazi wa Dar ni watu wa kufanya kwa vitendo kwa taarifa yako!!!!
 
mkuu Elli
halafu yanafanana akili yote, haangi yajiie mbwai vyebana mitwi?

lakini ipo siku inakuja, nayo ipo karibu mno, na siku hiyo milango ya magereza itafunga kuwaachia huru wanyonge na walioonewa na wataingia majambazi kama huyu muanzisha thread.

Kwa maana hiyo manataka kuongoza nchi ili kulipiza visasi na si kuongoza watanzania ? km ni hivyo basi hamfai kushika dola ya nchi hii aisee. Cdm ni zaidi ya uijuavyo unafiki mioyoni umejaa balaa
 
Last edited by a moderator:
Umbumbumbu wa elimu ni tatizo kubwa sana,nakushangaa wewe unaesema dar ina wenyewe,wenyewe wap? Hao bongolala? Hao wanaoshnda vibarazan kucheza bao? ndo maana nasema mahali alipotawala MWARABU basi jamii husika nayo imekuwa affected na hzo tabia za kizembezembe coz hakuna shule hakuna lolote. Hao wenye dar ni ma laggard,thy adopt very late,we bwabwaja tu watu makini 2nazd kuchanja boda.kilaza mkubwa wewe,kichwa kimejaa kutu
 
Wangekuwa hivyo isingekuwa kile 'kijiumati' lingekuwa 'liumati la halaiki'. So, hoja zako hazing mashiko kajipange tena mkuu
Unaposema kijiumati nashindwa kukuelewa labda unamaanisha waliokuja wote walikuwa wavua magamba.
Kama waliweza kurudisha kadi za magamba watu 3,100 kwa mjibu wa taarifa yako mwenyewe, je hawakuwepo watu wengine ambao ama tayari walishavaa gwanda au walio na roho ngumu na bado wako kwenye gamba?.
Idadi hiyo hata kama waliorudisha ni robo, bado uwezi kuita kijiumati, unasema hivyo kujifariji tu.
 
Kwa maana hiyo manataka kuongoza nchi ili kulipiza visasi na si kuongoza watanzania ? km ni hivyo basi hamfai kushika dola ya nchi hii aisee. Cdm ni zaidi ya uijuavyo unafiki mioyoni umejaa balaa
nakwambia magereza yote utayajua tu, subiri siku yenu haipo mbali. kutia ndani wezi sio kulipiza kisasi ni sheria.
 
Inaonekana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana!!!!!!
Huwezi kugundua tu haraka haraka kwamba maisha ya wakazi wa Dar kwa sasa ni magumu sana kiasi kwamba hata nauli yenyewe ya kutoka majumbani mwao kwenda kwenye mkutano hawana!!!!!
Na kwa taarifa yako binafsi nilifanya kautafiti kadogo tu nikagundua kwamba watu wengi sana sana walikuwa wanafuatilia yaliyokuwa yanajiri kwenye ule mkutano kupitia television ya ITV wakiwa majumbani mwao na sehemu zao za kazi
Ninyi CCM endeleeni kujidanganya tu kwamba CDM hawana nguvu dar na mikoa ya pwani lakini mtashangazwa na matokeo kwenye box la kura 2015
Wakazi wa Dar ni watu wa kufanya kwa vitendo kwa taarifa yako!!!!

leo leo umejiunga na waonyesha ni mgeni humu JF, twakukaribisha kwanza jf karibu sana home of great thinkers, ila huwezi kufikia hii daraja bila kujifunza kwanza, jifunze kwanza ili uandike majibu yenye maana na sio hizo porojo. Hatukulaumu ila tunakuomba ujifunze sasa, majibu yako ni shallow sana
 
nakwambia magereza yote utayajua tu, subiri siku yenu haipo mbali. kutia ndani wezi sio kulipiza kisasi ni sheria.

Yaani ccm imewashika papaya aisee, kila mkiwaza na kuwazua mnaota tu kushika madaraka, kwani hamuwezi kuwaendeleza watanzania mpaka mshike madaraka ? mchango wenu sasa nyie ni nn ? mnaonyesha mna uchungu sana , ila juaeni nchi hii haitachukuliwa na wahuni na wala haitachukuliwa kwa kutumbukiza kwenu vikaratasi kwenye masanduku ng'o, na 2015 mtalia tena km 2010
 
Tumekusikia, endelea...........Kama huna kajifungie ndani up ewe ugali ule, ukajisaidie then ulale
Hapa ndio mmedhihirisha mlivyotoka kwenye misingi ya chama,wauza maduka,mafundi garage na wauza kitimoto hawahesabiki kuwa wa Tz?Hawa ndio wapiga kura.
 
Mtu kama GB akiandika thread ya uozo hapa jamvini, tunaishobokea kweli.
Kuna thread za maana nyingi zinahitaji comments zenu great thinkers. Acheni huu uozo upite.
 
Back
Top Bottom