Kwa hili la CDM jangwani kweli Dar ina wenyewe

Tathmini ya kisayansi ya mkutano wa cdm jangwani ni kama ifuatavyo :
  • Imedhihirika kweli DAR KUNA WENYEWE na si kama Arusha, kwani kwa idadi ya watu , Dar ina watu wengi kuliko Arusha , ila Arusha kwenye mikutano ya cdm watu wengi hujitokeza kuliko hata wale walioonekana jangwani pale kwenye kile ‘kijiumati’ japokuwa matangazo yalikuwa mengi. Hii yadhihirisha Dar ina wenyewe, na wengi wetu ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki
  • Mbowe adhihirisha ni mgeni na historia ya Dar. Uwanja wa Jangwani anaujua historia yake? Ni jambo la kushangaza na kustaajabisha kuuita uwanja wa jangwani ni ‘cdm square’. Wenye hadhi hiyo ni wakazi wa Dar wenye kuujua asili ya uwanja ule, mtu km Mbowe wakuja hadhi hiyo ameipata wapi? Ni jambo la ajabu na kustaajabisha
  • Cdm kwa dar mambo ni magumu sana, tuliambiwa kwenye kwenye magazeti (na sijui km ni kweli) kuwa kwa arusha na yenye watu wachache kuzidi Dar watu 10,000 walirudisha kadi, ila kwa Dar na yenye watu wengi zaidi ya Arusha ni 3100 tu. Ndio narudia kusema Dar ina wenyewe sio mji wa kuvamia vamia tu
Kwa haya machache yaonyesha wazi cdm kwa Dar mna kazi ya ziada, Dar ina wenyewe sio km Arusha. Na wengi waliojitokeza kwenye ule mkutano 80% ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki.

A very poor and weak anaysis...Kawe na ubungo wewe ndio uliwapa cdm?
 
Utaendelea kujisifu wa dar kindaki ndaki....wenzio tunatoka mkoa tunapiga business dar..tunajenga mikocheni....tunatanua kwenye viwanja high classic....tunakuacha temeke,keko magurumbasi na bendera ya CCM....Nyumba zetu,unakuja kupigia picha......sanasana utauza nyumba na kusogea kongowe...mwana kindaki ndaki huyo...we mjanja kweli....kumbe unajua dar imejengwa na kindaki ndaki?

Mwambie huyo anayejiita Kindakindaki machweo na macheo yatatokea akiwa bado kwenye usingizi wa pono, baache batalokota benyewe ku nyavu
 
Tathmini ya kisayansi ya mkutano wa cdm jangwani ni kama ifuatavyo :
  • Imedhihirika kweli DAR KUNA WENYEWE na si kama Arusha, kwani kwa idadi ya watu , Dar ina watu wengi kuliko Arusha , ila Arusha kwenye mikutano ya cdm watu wengi hujitokeza kuliko hata wale walioonekana jangwani pale kwenye kile ‘kijiumati’ japokuwa matangazo yalikuwa mengi. Hii yadhihirisha Dar ina wenyewe, na wengi wetu ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki
  • Mbowe adhihirisha ni mgeni na historia ya Dar. Uwanja wa Jangwani anaujua historia yake? Ni jambo la kushangaza na kustaajabisha kuuita uwanja wa jangwani ni ‘cdm square’. Wenye hadhi hiyo ni wakazi wa Dar wenye kuujua asili ya uwanja ule, mtu km Mbowe wakuja hadhi hiyo ameipata wapi? Ni jambo la ajabu na kustaajabisha
  • Cdm kwa dar mambo ni magumu sana, tuliambiwa kwenye kwenye magazeti (na sijui km ni kweli) kuwa kwa arusha na yenye watu wachache kuzidi Dar watu 10,000 walirudisha kadi, ila kwa Dar na yenye watu wengi zaidi ya Arusha ni 3100 tu. Ndio narudia kusema Dar ina wenyewe sio mji wa kuvamia vamia tu
Kwa haya machache yaonyesha wazi cdm kwa Dar mna kazi ya ziada, Dar ina wenyewe sio km Arusha. Na wengi waliojitokeza kwenye ule mkutano 80% ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki.

Unajua mfamaji haachi kutapatapa wewe kama Dar inawenyewe na kama mkutano haukuana watu wengi shidayako wewe ni nini ? we si haupo CDM? Na uwanjani si haukuepo? sasa iweje pilipili anayo kula mwenzio ikuwashe?
ukiona hivyo ujue mmefilisika kimawazo. ccm siochama chakuangalia eti CDM wana wanachaka kiasigani kwenye mkutano

UKIONA HIVYO UJUE GAMBA LINA PATA MOTO NA WEWE UNAONA UGUMU WAKULIVUA :kumbuka siothambi kuja CDM
 
Duh kweli upeo wako wakuona mwanga una mushkiri aisee, nyie ndio ambao unaulizwa mchana unajibu usiku, jitambue jibidiishe akili ifanye kazi isiwe bongo lala
kibaya zaid8i unakuta anawakilisha idadi kubwa alafu pale elimu inapoanza kutolewa bure Jangwani anaendeleza ngonjera na mipasho. Tabu kweli
 
Back
Top Bottom