Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,263
- 32,781
hacha uboya wewe! We Magamba unajifanya uvuguvugu wakati sisi tunajua kama wewe ni either wa baridi au wamoto..
Kama mimi boya, wewe utakuwa Jembe wanapachika mpini wanalimia bustani
hacha uboya wewe! We Magamba unajifanya uvuguvugu wakati sisi tunajua kama wewe ni either wa baridi au wamoto..
ccm waongo walituahidi mahakama ya kadhi . sasa hivi wanatugeuka
Umeniquote vibaya Mwita25!
Sikumaanisha jinsia nyingine ni wanawake! Unaweza ukawa na viungo vyote vya kiume lakini usiwe mwanaume! Hope u have now understood what I meant in ma previous post!
her/his? haiwezekani ikawa herhis bila hako ka stroke? Ushawahi msikia Semenya?Hahaha...
Babu naona unakuwa catalyst!!
Don't speed up her/his reaction plzz!
Caster Semanya?her/his? haiwezekani ikawa herhis bila hako ka stroke? Ushawahi msikia Semenya?
Hongera sana. Umefanya maamuzi magumu mno!We chekacheka tu ila angalia usije kubakwa. JF kuna mabasha siku hizi.
Yaelekea hawajakuacha, umeanza na Wassira, sasa hivi umekuja JF!We chekacheka tu ila angalia usije kubakwa. JF kuna mabasha siku hizi.
Kuwa kibaraka wa Nape na Mukama!Maamuzi mepesi ni yepi?