Kwa heri CCM

Kwako Invisible!

Usiku wa kuamkia leo niliamshwa na haja ndogo, na kama kawaida nilikimbilia chooni. Wakati narudi kitandani niligugundua kuwa sina magamba yangu. Looh! Nilistaajabu sana, lakini wakati naendendelea kutafakari niliona gamba moja lipo karibu na ukutani.

Kutahamaki kumbe yote yalikuwa yamechomoka. Nilipojaribu kuyaruridishia, yakawa madogo kuliko mwili wangu, yaani yamenikataa. Huu ukawa mwanzo wa kukatalaliwa na CCM. Sikustaajabu kwa sababu CCM amewakataa watu wengi sana.

Infact, anajikataa hata yeye mwenyewe. Sina maneno mazuri ya kujieleza zaidi ya kusema kuwa ndoa yangu na CCM imeisha leo. Hizi taarifa haziwezi kuingia kwenye kichwa cha Nape, kada nambari moja asiyejua kazi yake zaidi ya kulazimisha watu tuipiganie CCM kwa nguvu zote tena sehemu yoyote.

Taarifa ni chungu zaidi kwa Mwenyekiti wa UVCCM, Dodoma ambaye kucha kutwa anatuma vivocha kwa wanafunzi wa UDOM ili, eti waipiganie CCM! Kwa lipi hasa? Chama ambacho hata Mwenyekiti wake mstaafu anapangiwa maneno ya kuongea jukwaani! Chama ambacho kiko tayari kuua ili kipate kura moja?!

Hiki ndiyo chama kilichoshika hatamu Tanzania! Sina maneno mengi ila kusema kuwa umbumbumbu wangu umefika kikomo. Gamba limeng'ang'ania kwenye godoro na sasa najisikia mwepesi saaaaaana kiasi cha kujuta kwa nini nimeteseka muda wote huo kula chakula cha simba ambaye mwisho wa siku anataka anitafune?

Nimeteseka sana, nimenyanyasika sana na nimehuzunika sana na sasa NAACHIA NGAZI.

People's Power!

Je,wewe hivyo vivocha hajarushia nini ndio maana unataka kuvuja NDOA yako?
Usiwe kama mwanamke ambaye yeye endapo atasikia habari mpya ana-take action bila ya kufanyia uchunguzi ili apate uhakika wa suala husika.
 
Actually nilikuwa nashiriki kurusha hizo vocha. Nadhani baada ya hapa hela yangu itatumika vizuri kuichangia JF.
 
Ni maamuzi mazuri mkuu kuamua kuwa huru na kutetea kweli maana michango yako baada ya kujivua gamba itawajenga na kuwaelimisha wengi..

Actually nilikuwa nashiriki kurusha hizo vocha. Nadhani baada ya hapa hela yangu itatumika vizuri kuichangia JF.
 
hahaaa mnageukiana? rejao na wewemtu wangu utafunguka macho lini?
SI..nipo kwenye njia sahihi bado. Siwezi kuwa kigeugeu kama huyu jamaa. Namshangaa sana, Sijahi kuona mwanaume asiye na msimamo..nina wasiwasi jamaa atakuwa wa ile jinsia nyingine!
 
Aisee!
 
It's not the subject's gender that counts but their perspicaciousness. I don't give a darn which sex you'ld think of me but what's important now is how will I be part of this country's change. Halafu statement yako inaonesha kuwa wewe ni SEXIST. Yaani umedharau hata mchango wa Hawa Ghasia kwa maendeleo ya hili Taifa?
 
Babu..
Ona hii comment hapa chini
Hahahahahaha! dah sijui kwanini leo nimeisahau ile mawani yangu.....dah!

sasa kwanini ulisema una "wasiwasi" ina maana huna uhakika siyo? Manake kuna kina Semenya usisahau..........
 
Awe amedanganya au lah! bado maelezo yake yametupa picha ya mambo muhimu! moja: wanatumiana vocha kukilinda chama pili; hawamwamini hata Nape ambaye ni kiongozi wao! so iwe ni kweli au uongo bado hoja yake ina particless za ukweli na ambazo hazijawahi kufahamika kabla, kuwa UDOM wanatumiwa na CCM na kwamba CCM ni wauwaji japo kwajili ya kura moja! na la mwisho wanashurutishwa kukitetea chama kisichokubalika tena! Be blessed Mwita25
 
It's not the subject's gender that counts but their perspicaciousness. I don't give a darn which sex you'ld think of me but what's important now is how will I be part of this country's change. Halafu statement yako inaonesha kuwa wewe ni SEXIST. Yaani umedharau hata mchango wa Hawa Ghasia kwa maendeleo ya hili Taifa?
Umeniquote vibaya Mwita25!
Sikumaanisha jinsia nyingine ni wanawake! Unaweza ukawa na viungo vyote vya kiume lakini usiwe mwanaume! Hope u have now understood what I meant in ma previous post!
 
Kwako Invisible!

Usiku wa kuamkia leo niliamshwa na haja ndogo, na kama kawaida nilikimbilia chooni. Wakati narudi kitandani niligugundua kuwa sina magamba yangu. Looh! Nilistaajabu sana, lakini wakati naendendelea kutafakari niliona gamba moja lipo karibu na ukutani.

Kutahamaki kumbe yote yalikuwa yamechomoka. Nilipojaribu kuyaruridishia, yakawa madogo kuliko mwili wangu, yaani yamenikataa. Huu ukawa mwanzo wa kukatalaliwa na CCM. Sikustaajabu kwa sababu CCM amewakataa watu wengi sana.

Infact, anajikataa hata yeye mwenyewe. Sina maneno mazuri ya kujieleza zaidi ya kusema kuwa ndoa yangu na CCM imeisha leo. Hizi taarifa haziwezi kuingia kwenye kichwa cha Nape, kada nambari moja asiyejua kazi yake zaidi ya kulazimisha watu tuipiganie CCM kwa nguvu zote tena sehemu yoyote.

Taarifa ni chungu zaidi kwa Mwenyekiti wa UVCCM, Dodoma ambaye kucha kutwa anatuma vivocha kwa wanafunzi wa UDOM ili, eti waipiganie CCM! Kwa lipi hasa? Chama ambacho hata Mwenyekiti wake mstaafu anapangiwa maneno ya kuongea jukwaani! Chama ambacho kiko tayari kuua ili kipate kura moja?!

Hiki ndiyo chama kilichoshika hatamu Tanzania! Sina maneno mengi ila kusema kuwa umbumbumbu wangu umefika kikomo. Gamba limeng'ang'ania kwenye godoro na sasa najisikia mwepesi saaaaaana kiasi cha kujuta kwa nini nimeteseka muda wote huo kula chakula cha simba ambaye mwisho wa siku anataka anitafune?

Nimeteseka sana, nimenyanyasika sana na nimehuzunika sana na sasa NAACHIA NGAZI.

People's Power!

Karibu mpiganaji! Mimi niliamua kuokoka siku nyingi sana na hela yao na kula deile.
Sijawahi kulipia huduma ya internet tangu 2010
 
Umeniquote vibaya Mwita25!
Sikumaanisha jinsia nyingine ni wanawake! Unaweza ukawa na viungo vyote vya kiume lakini usiwe mwanaume! Hope u have now understood what I meant in ma previous post!
Khaa!

Ngoja nisepe, sipendi kushuhudia umwagikaji wa damu!
 
Back
Top Bottom