Kwa heri CCM

huyu mwita msanii tu si unajua ukitaka kumjua adui vizuri lazima ujifanye uko upande wake?tumemshtukia huyu ana lolote
 
Kwako Invisible!

Usiku wa kuamkia leo niliamshwa na haja ndogo, na kama kawaida nilikimbilia chooni. Wakati narudi kitandani niligugundua kuwa sina magamba yangu. Looh! Nilistaajabu sana, lakini wakati naendendelea kutafakari niliona gamba moja lipo karibu na ukutani.

Kutahamaki kumbe yote yalikuwa yamechomoka. Nilipojaribu kuyaruridishia, yakawa madogo kuliko mwili wangu, yaani yamenikataa. Huu ukawa mwanzo wa kukatalaliwa na CCM. Sikustaajabu kwa sababu CCM amewakataa watu wengi sana.

Infact, anajikataa hata yeye mwenyewe. Sina maneno mazuri ya kujieleza zaidi ya kusema kuwa ndoa yangu na CCM imeisha leo. Hizi taarifa haziwezi kuingia kwenye kichwa cha Nape, kada nambari moja asiyejua kazi yake zaidi ya kulazimisha watu tuipiganie CCM kwa nguvu zote tena sehemu yoyote.

Taarifa ni chungu zaidi kwa Mwenyekiti wa UVCCM, Dodoma ambaye kucha kutwa anatuma vivocha kwa wanafunzi wa UDOM ili, eti waipiganie CCM! Kwa lipi hasa? Chama ambacho hata Mwenyekiti wake mstaafu anapangiwa maneno ya kuongea jukwaani! Chama ambacho kiko tayari kuua ili kipate kura moja?!

Hiki ndiyo chama kilichoshika hatamu Tanzania! Sina maneno mengi ila kusema kuwa umbumbumbu wangu umefika kikomo. Gamba limeng'ang'ania kwenye godoro na sasa najisikia mwepesi saaaaaana kiasi cha kujuta kwa nini nimeteseka muda wote huo kula chakula cha simba ambaye mwisho wa siku anataka anitafune?

Nimeteseka sana, nimenyanyasika sana na nimehuzunika sana na sasa NAACHIA NGAZI.

People's Power!

kwenye red nina mashaka bado hujabadilika. kama gamba bado liko kwenye godoro? hujabadilika , ukirudi kulala utalivaa tu, umelivua ulioenda msalani. hatudanganyiki
 
Wewe hata namba ya simu ya Mukama sijui kama unayo. Huna mikakati na umekalia kushindana na ukweli. Kwa taarifa yako nchango wangu kwa CCM ulikuwa mkubwa kuliko hata wa bwanako Nape.

Mkuu Mwita25.
Kwanza hongera kwa uamuzi wako wa kuhama chama kwani hakuna mahali kwenye sheria yetu panapomzuia raia kuhamia chama anachokipenda....
Kama nimekuelewa ni kwamba sio sera za Chama cha Mapinduzi ila kutukanwa kwako na Mkiti wa UVCCM Dodoma akishirikiana na Nape...
Kwa hoja kama hizi nadhani umepotoka sana kwani hauwi mwanachama kwa sababu unanyenyekewa na viongozi wa chama husika...ila kwa kuamini kwenye itikadi na matendo ya chama husika...
Nina amini kabisa kuwa hata huko uendako utaishia kutukanwa pia kwani unapenda kujikweza sana...
Mwanachama makini ni yule anaepambana kila siku kueneza itikadi ya chama chake bila kutarajia fadhila ama malipo toka kwa viongozi wake...si ajabu rejao unamshangaa hana namba ya Mukama...maana uendako utadai namba ya slaa...
 
Kuna tofauti kubwa kati ya:

Mwita25 na mwita25
Mwita 25 na Mwita25
mwita25 na mwita 25

Mmeziona?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya:

Mwita25 na mwita25
Mwita 25 na Mwita25
mwita25 na mwita 25

Mmeziona?

kweli siye yule tuliyemzoea. IT ukibadili hata chochote kile, linahesabika n jina jipya. hivyo inawezekana katuzuga tu huyu
 
Kuna tofauti kubwa kati ya:

Mwita25 na mwita25
Mwita 25 na Mwita25
mwita25 na mwita 25

Mmeziona?

Mwita25
Join Date : 15th April 2011
Posts : 1,503
Thanks2
Thanked 14 Times in 10 Posts
Rep Power : 24

inaonesha ni mzoefu humu jamvini, inawezekana akawa yeye, cha msingi tujihadhari naye, inawezekana katumwa na nape kuja kupata habari za wanaharkati
 
da! Mimi nimeanza kuamini huyu ni mwita25 baada ya kuona hiki kiinglishi,karibu sana CHADEMA.ukweli utasimama daima.NAPE NI ZUZU..YEYE NA MABOSI WAKE,BORA UMEWAKIMBIA.karibu.
Mkuu unajua hapa uko jukwaa gani? Stuka!
 
Join Date : 15th April 2011
Posts : 1,503
Thanks2Thanked 14 Times in 10 Posts
Rep Power : 24

inaonesha ni mzoefu humu jamvini, inawezekana akawa yeye
Inawezekana akawa yeye kweli, lakini thread ya"Kuhama CCM" kuwekwa katika jukwaa la Chit Chat unaona ni kitu cha kawaida?............Na uzoefu wake halijui jukwaa la siasa? Stuka!!!!
 
Inawezekana akawa yeye kweli, lakini thread ya"Kuhama CCM" kuwekwa katika jukwaa la Chit Chat unaona ni kitu cha kawaida?............Na uzoefu wake halijui jukwaa la siasa? Stuka!!!!

dududuuuuu!!!!!!!
yeahhhhh
duduuuuduuuuu
eba yeahh
tiGO express yourself
 
Inawezekana akawa yeye kweli, lakini thread ya"Kuhama CCM" kuwekwa katika jukwaa la Chit Chat unaona ni kitu cha kawaida?............Na uzoefu wake halijui jukwaa la siasa? Stuka!!!!

Hii thread mods wameihamishia huku kutoka Hoja mchanganyiko. Isitoshe sidhani kama inafaa kukaa Jukwaa la Siasa kwasababu mimi sikuwa kiongozi mkubwa wa chama.
 
Hii thread mods wameihamishia huku kutoka Hoja mchanganyiko. Isitoshe sidhani kama inafaa kukaa Jukwaa la Siasa kwasababu mimi sikuwa kiongozi mkubwa wa chama.
Hebu nitukanie Mod mmoja ndo niamini kweli huyu ndo Mwita25 nimjuaye (Angalizo: tumia kimombo manake kiswahili lazima ule ban)

Na ni kigezo gani Mods wanakitumia kuhamisha sredi kutoka kwenye jukwaa alilotundika mwanachama?
 
Mkuu umeshtuka eeehhhh............Hii ni sawa na "hodi ya Chooni"...... :hand::hand::hand:........haiitikiwi "karibu"................:israel::israel::israel:
Hahahaha si unajua tena unaweza kukuta...Mlinzi wangu amekula deal na mwizi kuniibia
 
Kwako Invisible!

Usiku wa kuamkia leo niliamshwa na haja ndogo, na kama kawaida nilikimbilia chooni. Wakati narudi kitandani niligugundua kuwa sina magamba yangu. Looh! Nilistaajabu sana, lakini wakati naendendelea kutafakari niliona gamba moja lipo karibu na ukutani.

Kutahamaki kumbe yote yalikuwa yamechomoka. Nilipojaribu kuyaruridishia, yakawa madogo kuliko mwili wangu, yaani yamenikataa. Huu ukawa mwanzo wa kukatalaliwa na CCM. Sikustaajabu kwa sababu CCM amewakataa watu wengi sana.

Infact, anajikataa hata yeye mwenyewe. Sina maneno mazuri ya kujieleza zaidi ya kusema kuwa ndoa yangu na CCM imeisha leo. Hizi taarifa haziwezi kuingia kwenye kichwa cha Nape, kada nambari moja asiyejua kazi yake zaidi ya kulazimisha watu tuipiganie CCM kwa nguvu zote tena sehemu yoyote.

Taarifa ni chungu zaidi kwa Mwenyekiti wa UVCCM, Dodoma ambaye kucha kutwa anatuma vivocha kwa wanafunzi wa UDOM ili, eti waipiganie CCM! Kwa lipi hasa? Chama ambacho hata Mwenyekiti wake mstaafu anapangiwa maneno ya kuongea jukwaani! Chama ambacho kiko tayari kuua ili kipate kura moja?!

Hiki ndiyo chama kilichoshika hatamu Tanzania! Sina maneno mengi ila kusema kuwa umbumbumbu wangu umefika kikomo. Gamba limeng'ang'ania kwenye godoro na sasa najisikia mwepesi saaaaaana kiasi cha kujuta kwa nini nimeteseka muda wote huo kula chakula cha simba ambaye mwisho wa siku anataka anitafune?

Nimeteseka sana, nimenyanyasika sana na nimehuzunika sana na sasa NAACHIA NGAZI.

People's Power!

Kazi yako ya propaganda si imekwisha na umesha lipwa vya kutosha
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom