Kwa haya, Mbowe na Dk. Slaa hawako radhi kwa hiari yao kuachia madaraka CHADEMA

Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama CHADEMA ila Mboye na Slaa wataivunja demokrasia kwa kuhofia haya:-

1. Mshahara unaofikia shiringi milioni 7 anaolipwa Dk Slaa kila mwezi sawa na mshahara wa mbunge wa jamuhuri ya muungano wa Tz, analipwa kwa sababu ya ukatibu mkuu. Kwa maana hiyo ukatibu Mkuu ukikoma bila shka na mshahara nao utakoma, lakini katibu huyu anawaadaa Watanzania kuwa wabunge wapunguziwe mishahara wakati yeye katibu analipwa sawa na mbunge.

2. 25% ya ruzuku yote inayolipwa na Serikali kwa chama hicho kila mwezi inayofikia milioni 200 na ushee analipwa Mbowe kama sehemu ya kurejeshewa fedha zake alizokopesha chama mwaka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu. Mbowe ana uhakika kwamba atakae mrithi hata heshimu makubaliano ya kulipwa fedha hizo kutokana na ruzuku ya CHADEMA,kwa kuwa anajua mkataba huo ni feki kwani makubaliano yake yeye na Dk Slaa.

3. Katibu mkuu Dk Slaa amejikopesha shilingi milioni 140 kutoka kwenye ruzuku ya CHADEMA wakati akijua kwamba ruzuku haitolewi kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kukopeshana bali kufanya kazi ya chama. chama hicho sio benki ya biashara inayotoa mkopo kwa wateja. naamini haya ndiyo yanayowatia hofu viongozi wakuu wa CHADEMA ambao uongozi wao unafikia ukingoni.

4. Juzi Dk Slaa amenukuliwa kwenye vyombo vya habari akisema ni nafuu CHADEMA ibakie na wanachama wachache watakao muhakikishia yeye kubaki madarakani milele kulikokuwa na wanachama wengi, kwa kauli hyo maana yake ni kwamba anataka kututawala kidikiteta na kuibana demokrasia na uhuru wakuhoji.

KWAHI BASI TUAMINI KUWA VIONGOZI HAWA WAKUU WAMEFANYA CHAMA NI CHAO NDIO MAANA WANAAMINI WATATAWALA MILELE NA KUSAAHAU CHAMA NI WANACHAMA

Mleta maada Pole sana, matatizo ya kiakili Na kuchanganyikiwa changanyikiwa yanawakumba wengi miezi hii. Ni tatizo Kama usipojitahidi kufanya mambo haya utalikuza tatizo Na utakosa Hata tiba Na utashangaa Hata hao wataanza kukuona Kama kinyesi.. Do this ma dia
1. Uwe Na Muda wa kupumzika
2. Jaribu kujihusisha Na masuala ya kusoma tamthilia zisawazishe ubongo Na usifanye masterbation ni mbaya sana Kwa Mwanamke.
3. Kusanya vyeti vyako, embu tafuta Kazi ya msingi, uwe Na mshahara mzuri, kisha ujipange kuzianza siasa tena. Unajua unaweza kufanikiwa tena sure I tell. Bado umri wako Mdogo usitegemee kipato Cha kifuani watu wana magonjwa wasije kukuambukiza ukafa mapema Bado we kijana. Mie nashauri tu but napita pita..
 
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama CHADEMA ila Mboye na Slaa wataivunja demokrasia kwa kuhofia haya:-

1. Mshahara unaofikia shiringi milioni 7 anaolipwa Dk Slaa kila mwezi sawa na mshahara wa mbunge wa jamuhuri ya muungano wa Tz, analipwa kwa sababu ya ukatibu mkuu. Kwa maana hiyo ukatibu Mkuu ukikoma bila shka na mshahara nao utakoma, lakini katibu huyu anawaadaa Watanzania kuwa wabunge wapunguziwe mishahara wakati yeye katibu analipwa sawa na mbunge.

2. 25% ya ruzuku yote inayolipwa na Serikali kwa chama hicho kila mwezi inayofikia milioni 200 na ushee analipwa Mbowe kama sehemu ya kurejeshewa fedha zake alizokopesha chama mwaka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu. Mbowe ana uhakika kwamba atakae mrithi hata heshimu makubaliano ya kulipwa fedha hizo kutokana na ruzuku ya CHADEMA,kwa kuwa anajua mkataba huo ni feki kwani makubaliano yake yeye na Dk Slaa.

3. Katibu mkuu Dk Slaa amejikopesha shilingi milioni 140 kutoka kwenye ruzuku ya CHADEMA wakati akijua kwamba ruzuku haitolewi kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kukopeshana bali kufanya kazi ya chama. chama hicho sio benki ya biashara inayotoa mkopo kwa wateja. naamini haya ndiyo yanayowatia hofu viongozi wakuu wa CHADEMA ambao uongozi wao unafikia ukingoni.

4. Juzi Dk Slaa amenukuliwa kwenye vyombo vya habari akisema ni nafuu CHADEMA ibakie na wanachama wachache watakao muhakikishia yeye kubaki madarakani milele kulikokuwa na wanachama wengi, kwa kauli hyo maana yake ni kwamba anataka kututawala kidikiteta na kuibana demokrasia na uhuru wakuhoji.

KWAHI BASI TUAMINI KUWA VIONGOZI HAWA WAKUU WAMEFANYA CHAMA NI CHAO NDIO MAANA WANAAMINI WATATAWALA MILELE NA KUSAAHAU CHAMA NI WANACHAMA

:rockon:Kama wewe kweli ni MAUMA naelewa ni kabila fulani wako Musoma huwa kawaida yao ni majungu sana na vimbelemele kwani ulichokiandika hapo ni kama Unatumiwa tu,unayo macho sana ya kuangalia madhambi ya Chadema lakini ya CCM hivi nyie vilaza huwa hamna cha kuongea isipokuwa CHADEMA tu? badala ya kujadili ufaulu mbovu wa wanafunzi na kulipatia suluhisho ni majungu tu,mbona Tembo wanakwisha kila siku zinakamatwa pembe hamsemi anaeua hao tembo ni nani wakati mnawajua,mkopo wa kujengea gesi toka mtwara haijulikani gharama zake hamuongelei hilo
Hivi nyie akina MAUMA ni nani aliewaroga kwamba kwa kuongea mambo ya Chadema mtakuwa mumewashambulia wananchi wa nchi hii? Hadanganywi mtu safari hii mtaongea majungu yenu hadi mkome si mumeona mkutano wa Mwanza?roho imewauma ndio maana mnakesha kutunga umbea kwenye laptop zenu mshindwe hamuwezi
Nyie ibeni tu na wewe pokea posho sana kwa kuandika majungu wakati ya ccm umeyakalia matakono:crying:
 
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama CHADEMA ila Mboye na Slaa wataivunja demokrasia kwa kuhofia haya:-

1. Mshahara unaofikia shiringi milioni 7 anaolipwa Dk Slaa kila mwezi sawa na mshahara wa mbunge wa jamuhuri ya muungano wa Tz, analipwa kwa sababu ya ukatibu mkuu. Kwa maana hiyo ukatibu Mkuu ukikoma bila shka na mshahara nao utakoma, lakini katibu huyu anawaadaa Watanzania kuwa wabunge wapunguziwe mishahara wakati yeye katibu analipwa sawa na mbunge.

2. 25% ya ruzuku yote inayolipwa na Serikali kwa chama hicho kila mwezi inayofikia milioni 200 na ushee analipwa Mbowe kama sehemu ya kurejeshewa fedha zake alizokopesha chama mwaka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu. Mbowe ana uhakika kwamba atakae mrithi hata heshimu makubaliano ya kulipwa fedha hizo kutokana na ruzuku ya CHADEMA,kwa kuwa anajua mkataba huo ni feki kwani makubaliano yake yeye na Dk Slaa.

3. Katibu mkuu Dk Slaa amejikopesha shilingi milioni 140 kutoka kwenye ruzuku ya CHADEMA wakati akijua kwamba ruzuku haitolewi kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kukopeshana bali kufanya kazi ya chama. chama hicho sio benki ya biashara inayotoa mkopo kwa wateja. naamini haya ndiyo yanayowatia hofu viongozi wakuu wa CHADEMA ambao uongozi wao unafikia ukingoni.

4. Juzi Dk Slaa amenukuliwa kwenye vyombo vya habari akisema ni nafuu CHADEMA ibakie na wanachama wachache watakao muhakikishia yeye kubaki madarakani milele kulikokuwa na wanachama wengi, kwa kauli hyo maana yake ni kwamba anataka kututawala kidikiteta na kuibana demokrasia na uhuru wakuhoji.

KWAHI BASI TUAMINI KUWA VIONGOZI HAWA WAKUU WAMEFANYA CHAMA NI CHAO NDIO MAANA WANAAMINI WATATAWALA MILELE NA KUSAAHAU CHAMA NI WANACHAMA

Kweli kabisa yaani tangia uhuru,loo ndio mana elimu inashuka!
 
MAUMA Lumumba wanalipaje kwa thread? nijuze na mm nifungue ID ya kumponda slaa fasta!!!!
na post shs ngapi?
 
Hii kauli aliitolea wapi? Kwa mtu makini, hii kauli siyo ya kuibeza hata kidogo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hii kauli haiwezi tolewa na mtu makini kama dr.slaa amepika mwenyewe huyo gamba
 
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama CHADEMA ila Mboye na Slaa wataivunja demokrasia kwa kuhofia haya:-

1. Mshahara unaofikia shiringi milioni 7 anaolipwa Dk Slaa kila mwezi sawa na mshahara wa mbunge wa jamuhuri ya muungano wa Tz, analipwa kwa sababu ya ukatibu mkuu. Kwa maana hiyo ukatibu Mkuu ukikoma bila shka na mshahara nao utakoma, lakini katibu huyu anawaadaa Watanzania kuwa wabunge wapunguziwe mishahara wakati yeye katibu analipwa sawa na mbunge.

2. 25% ya ruzuku yote inayolipwa na Serikali kwa chama hicho kila mwezi inayofikia milioni 200 na ushee analipwa Mbowe kama sehemu ya kurejeshewa fedha zake alizokopesha chama mwaka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu. Mbowe ana uhakika kwamba atakae mrithi hata heshimu makubaliano ya kulipwa fedha hizo kutokana na ruzuku ya CHADEMA,kwa kuwa anajua mkataba huo ni feki kwani makubaliano yake yeye na Dk Slaa.

3. Katibu mkuu Dk Slaa amejikopesha shilingi milioni 140 kutoka kwenye ruzuku ya CHADEMA wakati akijua kwamba ruzuku haitolewi kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kukopeshana bali kufanya kazi ya chama. chama hicho sio benki ya biashara inayotoa mkopo kwa wateja. naamini haya ndiyo yanayowatia hofu viongozi wakuu wa CHADEMA ambao uongozi wao unafikia ukingoni.

4. Juzi Dk Slaa amenukuliwa kwenye vyombo vya habari akisema ni nafuu CHADEMA ibakie na wanachama wachache watakao muhakikishia yeye kubaki madarakani milele kulikokuwa na wanachama wengi, kwa kauli hyo maana yake ni kwamba anataka kututawala kidikiteta na kuibana demokrasia na uhuru wakuhoji.

KWAHI BASI TUAMINI KUWA VIONGOZI HAWA WAKUU WAMEFANYA CHAMA NI CHAO NDIO MAANA WANAAMINI WATATAWALA MILELE NA KUSAAHAU CHAMA NI WANACHAMA
Kwani na wewe ni mwanachama wa Chadema?
 
Hii kauli haiwezi tolewa na mtu makini kama dr.slaa amepika mwenyewe huyo gamba

Na hiyo ya mkataba wa kumlipa Mh. Mbowe deni lake imekaaje? Ni kweli au si kweli?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chadema ni mali yao nyie wote ni mateka hakuna wa kuwapangia mtu yeyote atakaehoji ataitwa masalia na atafukuzwa chama.
 
Wanafunzi wa kidato cha Nne wametotoa Mayai.....

6063946_orig.png

Wasituambie chochote mpaka watakapo jibu why this and others happen.
 
vipi sasa hivi ni zamu ya nani tena mchungaji au padri? Maana cjajua formular zenu za kuondoa uhai wa watu
 
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama CHADEMA ila Mboye na Slaa wataivunja demokrasia kwa kuhofia haya:-

1. Mshahara unaofikia shiringi milioni 7 anaolipwa Dk Slaa kila mwezi sawa na mshahara wa mbunge wa jamuhuri ya muungano wa Tz, analipwa kwa sababu ya ukatibu mkuu. Kwa maana hiyo ukatibu Mkuu ukikoma bila shka na mshahara nao utakoma, lakini katibu huyu anawaadaa Watanzania kuwa wabunge wapunguziwe mishahara wakati yeye katibu analipwa sawa na mbunge.

2. 25% ya ruzuku yote inayolipwa na Serikali kwa chama hicho kila mwezi inayofikia milioni 200 na ushee analipwa Mbowe kama sehemu ya kurejeshewa fedha zake alizokopesha chama mwaka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu. Mbowe ana uhakika kwamba atakae mrithi hata heshimu makubaliano ya kulipwa fedha hizo kutokana na ruzuku ya CHADEMA,kwa kuwa anajua mkataba huo ni feki kwani makubaliano yake yeye na Dk Slaa.

3. Katibu mkuu Dk Slaa amejikopesha shilingi milioni 140 kutoka kwenye ruzuku ya CHADEMA wakati akijua kwamba ruzuku haitolewi kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kukopeshana bali kufanya kazi ya chama. chama hicho sio benki ya biashara inayotoa mkopo kwa wateja. naamini haya ndiyo yanayowatia hofu viongozi wakuu wa CHADEMA ambao uongozi wao unafikia ukingoni.

4. Juzi Dk Slaa amenukuliwa kwenye vyombo vya habari akisema ni nafuu CHADEMA ibakie na wanachama wachache watakao muhakikishia yeye kubaki madarakani milele kulikokuwa na wanachama wengi, kwa kauli hyo maana yake ni kwamba anataka kututawala kidikiteta na kuibana demokrasia na uhuru wakuhoji.

KWAHI BASI TUAMINI KUWA VIONGOZI HAWA WAKUU WAMEFANYA CHAMA NI CHAO NDIO MAANA WANAAMINI WATATAWALA MILELE NA KUSAAHAU CHAMA NI WANACHAMA

Uamusho at work !!!

Masalia mtatapatapa sana mwaka huu, angalia msije mkafe kwa pressure; hayo ni matatizo ya kubwiya unga na kunywa viroba asubuhi badala ya chai, ndo maana hata uwezo wenu wa kufikiria umefika kikomo. Kwa upumbavu wako ulionao unafikiri kuna mtanzania gani atakuelewa katika hilo andiko lako? yumkini hata waliokutuma wanakushangaa jinsi ulivyo kurupuka bila kufikiria ulichokiandika.

Kwa taarifa yako hizo bunduki hazing'oki hadi zilikomboe taifa hili kutoka kwenye utawala dhalimu wa serikali ya CCM. Kama huamini subiri matokeo ya uchaguzi ndani ya chama unao tarajiwa kufanyika December, 2013.

"Dr.Slaa tunamwamini, tunampenda, tunamthamini, tunamjali na tunamhitaji kwani ndo kiboko yenu mafisadi"
Masalia mnapoteza mda wenu bure Dr.Slaa hachafuliki. Kwa mwendo huu ni dhahiri 2015 mafisadi hamna pa kupitia.
 
Chadema ni mali yao nyie wote ni mateka hakuna wa kuwapangia mtu yeyote atakaehoji ataitwa masalia na atafukuzwa chama.

Tumia akili zako ndo nyie mnaoamka usubuhi kuangalia huyu kavaa nn! Loo CHADEMA yatawala wapi? Uchumi kuyumba nani mhusika na nn cha kufanya?
 
Back
Top Bottom