Kwa haya, Mbowe na Dk. Slaa hawako radhi kwa hiari yao kuachia madaraka CHADEMA

MAUMA

Member
Oct 16, 2012
33
7
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama CHADEMA ila Mboye na Slaa wataivunja demokrasia kwa kuhofia haya:-

1. Mshahara unaofikia shiringi milioni 7 anaolipwa Dk Slaa kila mwezi sawa na mshahara wa mbunge wa jamuhuri ya muungano wa Tz, analipwa kwa sababu ya ukatibu mkuu. Kwa maana hiyo ukatibu Mkuu ukikoma bila shka na mshahara nao utakoma, lakini katibu huyu anawaadaa Watanzania kuwa wabunge wapunguziwe mishahara wakati yeye katibu analipwa sawa na mbunge.

2. 25% ya ruzuku yote inayolipwa na Serikali kwa chama hicho kila mwezi inayofikia milioni 200 na ushee analipwa Mbowe kama sehemu ya kurejeshewa fedha zake alizokopesha chama mwaka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu. Mbowe ana uhakika kwamba atakae mrithi hata heshimu makubaliano ya kulipwa fedha hizo kutokana na ruzuku ya CHADEMA,kwa kuwa anajua mkataba huo ni feki kwani makubaliano yake yeye na Dk Slaa.

3. Katibu mkuu Dk Slaa amejikopesha shilingi milioni 140 kutoka kwenye ruzuku ya CHADEMA wakati akijua kwamba ruzuku haitolewi kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kukopeshana bali kufanya kazi ya chama. chama hicho sio benki ya biashara inayotoa mkopo kwa wateja. naamini haya ndiyo yanayowatia hofu viongozi wakuu wa CHADEMA ambao uongozi wao unafikia ukingoni.

4. Juzi Dk Slaa amenukuliwa kwenye vyombo vya habari akisema ni nafuu CHADEMA ibakie na wanachama wachache watakao muhakikishia yeye kubaki madarakani milele kulikokuwa na wanachama wengi, kwa kauli hyo maana yake ni kwamba anataka kututawala kidikiteta na kuibana demokrasia na uhuru wakuhoji.

KWAHI BASI TUAMINI KUWA VIONGOZI HAWA WAKUU WAMEFANYA CHAMA NI CHAO NDIO MAANA WANAAMINI WATATAWALA MILELE NA KUSAAHAU CHAMA NI WANACHAMA
 
Wanafunzi wa kidato cha Nne wametotoa Mayai.....

6063946_orig.png
 
Watanzania wanamhitaji Mbowe na Dr Slaa kwa nguvu zote!!!!! Sishindwe hizo propaganda za magamba!!!!!
 
Acha majungu wewe badala ya kujenga unabomoa!kasi ya kukua chadema ni kubwa kuliko mtu yeyote angelitarajia!napendekeza uongozi huu huu mpaka uhuru utakapopatikana
 
CCM walichobakiza kwa sasa ni kushambulia CDM!!! Hayo ndiyo maisha mapya mliyowaahidi watanzania?????!!!!
 
CHADEMA ni chama cha wajanja wachache wanaotumia matatizo ya waTanzania kujinufaisha wao na familia zao.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ofisi zimefungwa sasa Lumumba za fedha lakin Mapokez wapo waz wai labda unaweza kulipwa ka posho ka usiku huu am sure 99% watakao changia watakuona wee ni mbulula..

Majimbo 2 yamefunguliwa na latatu soon, wee endelea kupost JF tu elimu inawafikia watanzania ukijakukumbuka shuka kumeshakucha...... ( CDM BILA MBOWE AU SLAA ITASONGA TU TENA... Bahat yako kuna ban..)
 
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama CHADEMA ila Mboye na Slaa wataivunja demokrasia kwa kuhofia haya:-

1. Mshahara unaofikia shiringi milioni 7 anaolipwa Dk Slaa kila mwezi sawa na mshahara wa mbunge wa jamuhuri ya muungano wa Tz, analipwa kwa sababu ya ukatibu mkuu. Kwa maana hiyo ukatibu Mkuu ukikoma bila shka na mshahara nao utakoma, lakini katibu huyu anawaadaa Watanzania kuwa wabunge wapunguziwe mishahara wakati yeye katibu analipwa sawa na mbunge.

2. 25% ya ruzuku yote inayolipwa na Serikali kwa chama hicho kila mwezi inayofikia milioni 200 na ushee analipwa Mbowe kama sehemu ya kurejeshewa fedha zake alizokopesha chama mwaka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu. Mbowe ana uhakika kwamba atakae mrithi hata heshimu makubaliano ya kulipwa fedha hizo kutokana na ruzuku ya CHADEMA,kwa kuwa anajua mkataba huo ni feki kwani makubaliano yake yeye na Dk Slaa.

3. Katibu mkuu Dk Slaa amejikopesha shilingi milioni 140 kutoka kwenye ruzuku ya CHADEMA wakati akijua kwamba ruzuku haitolewi kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kukopeshana bali kufanya kazi ya chama. chama hicho sio benki ya biashara inayotoa mkopo kwa wateja. naamini haya ndiyo yanayowatia hofu viongozi wakuu wa CHADEMA ambao uongozi wao unafikia ukingoni.

4. Juzi Dk Slaa amenukuliwa kwenye vyombo vya habari akisema ni nafuu CHADEMA ibakie na wanachama wachache watakao muhakikishia yeye kubaki madarakani milele kulikokuwa na wanachama wengi, kwa kauli hyo maana yake ni kwamba anataka kututawala kidikiteta na kuibana demokrasia na uhuru wakuhoji.

KWAHI BASI TUAMINI KUWA VIONGOZI HAWA WAKUU WAMEFANYA CHAMA NI CHAO NDIO MAANA WANAAMINI WATATAWALA MILELE NA KUSAAHAU CHAMA NI WANACHAMA
kuna uwezekani
o mkubwa jamaa yangu umekeketwa ! Hizi habari umepata wapi au unadhani kuwa hatufuatlii habari za CDM . we ni m........................... usije nitafutie ban bure
 
4. Juzi Dk Slaa amenukuliwa kwenye vyombo vya habari akisema ni nafuu CHADEMA ibakie na wanachama wachache watakao muhakikishia yeye kubaki madarakani milele kulikokuwa na wanachama wengi, kwa kauli hyo maana yake ni kwamba anataka kututawala kidikiteta na kuibana demokrasia na uhuru wakuhoji.

Hii kauli aliitolea wapi? Kwa mtu makini, hii kauli siyo ya kuibeza hata kidogo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umejitahidi kuandika kama ulivyo tumwa! Ukirudi wambie sijawakuta wako Mwanza wanaendeleza haraka za kukijenga chama chao.
 
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama CHADEMA ila Mboye na Slaa wataivunja demokrasia kwa kuhofia haya:-

1. Mshahara unaofikia shiringi milioni 7 anaolipwa Dk Slaa kila mwezi sawa na mshahara wa mbunge wa jamuhuri ya muungano wa Tz, analipwa kwa sababu ya ukatibu mkuu. Kwa maana hiyo ukatibu Mkuu ukikoma bila shka na mshahara nao utakoma, lakini katibu huyu anawaadaa Watanzania kuwa wabunge wapunguziwe mishahara wakati yeye katibu analipwa sawa na mbunge.

2. 25% ya ruzuku yote inayolipwa na Serikali kwa chama hicho kila mwezi inayofikia milioni 200 na ushee analipwa Mbowe kama sehemu ya kurejeshewa fedha zake alizokopesha chama mwaka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu. Mbowe ana uhakika kwamba atakae mrithi hata heshimu makubaliano ya kulipwa fedha hizo kutokana na ruzuku ya CHADEMA,kwa kuwa anajua mkataba huo ni feki kwani makubaliano yake yeye na Dk Slaa.

3. Katibu mkuu Dk Slaa amejikopesha shilingi milioni 140 kutoka kwenye ruzuku ya CHADEMA wakati akijua kwamba ruzuku haitolewi kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kukopeshana bali kufanya kazi ya chama. chama hicho sio benki ya biashara inayotoa mkopo kwa wateja. naamini haya ndiyo yanayowatia hofu viongozi wakuu wa CHADEMA ambao uongozi wao unafikia ukingoni.

4. Juzi Dk Slaa amenukuliwa kwenye vyombo vya habari akisema ni nafuu CHADEMA ibakie na wanachama wachache watakao muhakikishia yeye kubaki madarakani milele kulikokuwa na wanachama wengi, kwa kauli hyo maana yake ni kwamba anataka kututawala kidikiteta na kuibana demokrasia na uhuru wakuhoji.

KWAHI BASI TUAMINI KUWA VIONGOZI HAWA WAKUU WAMEFANYA CHAMA NI CHAO NDIO MAANA WANAAMINI WATATAWALA MILELE NA KUSAAHAU CHAMA NI WANACHAMA
acha us@?',..@lg wako. Kama kweli unauchungu mshauli cheyo toka mageuzi yaanze yy ni mwenyekiti. Alafu hamia kwa lipumba uje kwa mrema.
Usiishie hapo tembelea vyama vingine vyote kasoro chama cha demokrasia na maendeleo toka kinzishwe kimefanya chaguzi 3 za wenyeviti.
 
Back
Top Bottom