Kwa haya Matokeo anaweza kuchaguliwa kwenda Form 5 wakuu?

Heshima kwenu wakuu.

Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...?

Civics D
History D
Geography C
Kiswahili C
English D
Physics F
Chemistry D
Biology C
Mathematics F

Kwa results hizo ataweza kuchaguliwa 5...? Kama hatochaguliwa aende kozi gani itakayoweza kumsaidia hapo baadae ..? Amepata division three ya 25.

Natanguliza shukran kwenu.
Mpeleke VETA.

Advance ni kupoteza muda.
 
Heshima kwenu wakuu.

Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...?

Civics D
History D
Geography C
Kiswahili C
English D
Physics F
Chemistry D
Biology C
Mathematics F

Kwa results hizo ataweza kuchaguliwa 5...? Kama hatochaguliwa aende kozi gani itakayoweza kumsaidia hapo baadae ..? Amepata division three ya 25.

Natanguliza shukran kwenu.
Hii imekuaje yaan wenzako Nchi nzima wamepata One wewe umepata nini hiki? Elimu rahisi hivi unapata hivi watu wanafumua tu vijiti
 
Heshima kwenu wakuu.

Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...?

Civics D
History D
Geography C
Kiswahili C
English D
Physics F
Chemistry D
Biology C
Mathematics F

Kwa results hizo ataweza kuchaguliwa 5...? Kama hatochaguliwa aende kozi gani itakayoweza kumsaidia hapo baadae ..? Amepata division three ya 25.

Natanguliza shukran kwenu.
Lete index number tukushauri
 
Kama anaenda kusoma kwa fasheni sawa.... Ila Kama ndio kumwandalia maisha yake basi mtafutie chuo chenye kutoa ujuzi utakaomsaidia. Huko A level nikuwapotezea muda watoto... Kama anaenda kukua sawa .
 
Back
Top Bottom