Katitima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 627
- 117
Wakuu naomba msaada kwa hili,
mdogo wangu ni mmoja kati ya waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2013,
sasa nimeangalia matokeo yake yameonyesha kama ifuatavyo,
CIVICS C
HISTORY C
GEOGRAPHY C
BIBLE KNOWLEDGE C
KISWAHILI B
ENGLISH B+
PHYSICS D
CHEMISTRY C
BIOLOGY B
B/MATHEMATICS C
ukipiga hesabu hapo unapata ALAMA 18 DARAJA LA PILI lakini wao wameandika ALAMA 24 DARAJA LA PILI.
swali langu linakuja hapa sasa,je kwenye cheti matokeo yatasomekaje? na kama yatasomeka kwa mujibu wao, utaratibu upi ufuatwe ili isiwe hivyo?
NAWASILISHA WAKUU.