Kwa CV hii ya Msigwa! Je, ni eligible kuweza kusimamia maliasili na utalii??

Status
Not open for further replies.
Kwa taarifa kama CDM itachukua nchi, vyeo havitakuwa vya kupeana kama ilivyo sasa na serikali ya magamba. Mawaziri hawatakuwa wanasiasa bali wataalamu wa maeneo husika. Nafasi zote za juu kuanzia uwaziri zitatangazwa na watu watatakiwa ku apply na watafanyiwa interview ili kupata mtu stahiki kwa nafasi sahihi.
Mkuu Masaningala .... hili siyo jambo la katiba???
 
Hivi kwanini wabunge wengi wa CHADEMA hawana shahada?

Hivi tungesema leo kwenye katiba mpya wabunge angalau wawe na shahada hawa wabunge wa CHADEMA wangechomokea wapi?

Angalizo; Elimu ni muhimu na ndio maana watoto wetu wakipata sifuri tunailaumu serikali! na hatutaki hao walio pata sifuri watuongozee nchi yetu.
YES BUT NOT ALWAYS.
American Presidents who did not graduate from college

Hivi kwanini wabunge wengi wa CHADEMA hawana shahada?

Hivi tungesema leo kwenye katiba mpya wabunge angalau wawe na shahada hawa wabunge wa CHADEMA wangechomokea wapi?

Angalizo; Elimu ni muhimu na ndio maana watoto wetu wakipata sifuri tunailaumu serikali! na hatutaki hao walio pata sifuri watuongozee nchi yetu.
Wewe una shahada gani wakati hata hatima yako ya chuo huijui?
 
Ndio maana CHADEMA wana makelele mengi! Inanikumbusha ule msemo wa 'Debe tupu'

Peoplzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz! Elimu kwanza jamani.
 
Hivi kwanini wabunge wengi wa CHADEMA hawana shahada?

Hivi tungesema leo kwenye katiba mpya wabunge angalau wawe na shahada hawa wabunge wa CHADEMA wangechomokea wapi?

Angalizo; Elimu ni muhimu na ndio maana watoto wetu wakipata sifuri tunailaumu serikali! na hatutaki hao walio pata sifuri watuongozee nchi yetu.

Hao wa ccm unaodhani wana hizo shahada wamesaidia nini nchi hii zaidi ya kututia umaskini.
 
kwa hiyo akili ndogo (Mbowe) inaongoza akili kubwa (Prof. Safari) siyo by Pastor Msigwa

Msigwa ni mpuuzi, alikuwa akiongea vile akidhani anaisema serikali kumbe alikuwa akimpa mipasho bwana ake Mbowe!
 
Wekeni na cv ya yule waziri wa maliasili na utalii aliyetokea mwanza,,,mrefu kwenda chini
 
Emmanuel Nchimbi, alisomea wapi UPOLISI??? Uongozi una vigezo vingi wewe! Jk Kiketwe alisomea wapi URAIS? Au huijui degree yake nini ni AIBU! Ccm hoyee.

Mkuu, unataka kusema elimu+utaalamu havina umuhimu katika kuongoza?

Basi nadhani twende kule kwa vijana wetu waliopata sifuri tuwaunganishe na Mbowe huko CHADEMA ili waweze kuongoza nchi baada ya 2015!
 
Hii CV ndiyo yenyewe kwa kusimami Maliasili na Utalii kwani katika Biblia - Zaburi 24:1-2 inasomeka:

"Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake. Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha."
 
Kwa taarifa kama CDM itachukua nchi, vyeo havitakuwa vya kupeana kama ilivyo sasa na serikali ya magamba. Mawaziri hawatakuwa wanasiasa bali wataalamu wa maeneo husika. Nafasi zote za juu kuanzia uwaziri zitatangazwa na watu watatakiwa ku apply na watafanyiwa interview ili kupata mtu stahiki kwa nafasi sahihi.

Hizi habari umetoa kichwani kwako au.wapi?
 
Hii CV ndiyo yenyewe kwa kusimami Maliasili na Utalii kwani katika Biblia - Zaburi 24:1-2 inasomeka:

"Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake. Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha."

Bila shaka wewe ni CHADEMA, mkiishiwa hoja na kushikwa pabaya mnakimbilia vifungu vya biblia!!
 
Haya kazi uliyotumwa umemaliza sasa kachukue hela zako pale lumumba kwa nape mwambie tumekuona ni kilaza fulani pia mpumbavu fulani hivi kweli miccm mmeishiwa........ Msingwa jembe wewe mtafanya kazi kubwa sanaa kumshusha na hashuki ng'o.... saiv CDM ni mdogo mdogo mpk magogoni.
 
WanaJF!

Hapa nchini Tanzania kuna sekta fulani fulani ambazo ni nyeti na zinapaswa kupewa uangalizi wa kina ili ziweze kuleta tija kwa taifa. Mfano tu wa sekta hizo ni sekta ya maliasili na utalii, sekta hii kama ikiweza kusimamiwa vizuri, sio tu itaipatia serikali mapato yake, bali itaweza vile vile kuitangaza nchi yetu kote duniani ili ulimwengu uweze kuitambua Tanzania.

Sasa katika suala zima la kuisimamia hii sekta, na kwa kasi ambayo CHADEMA wanayo katika kutwaa dola, ni vyema kama wananchi tukijadili uwezo wa watu wanaopewa dhamana katika usimamizi wa sekta zetu, kwani wote tunafahamu umuhimu wa raslimali watu katika kusukuma gurudumu la maendeleo kokote pale duniani.

Leo namleta kwenu Mhe Msigwa ambae ni mbunge wa jimbo la Iringa mjini na pia ni waziri kivuli wa maliasili na utalii, lakini pia mchungaji Msigwa ndiye anae tarajiwa kupewa dhamana ya kuongoza wizara hii nyeti ya maliasili na utalii endapo CHADEMA itatwaa dola, sasa kwa CV yake ndugu Msigwa na majukumu anayo tarajiwa kukabidhiwa, sidhani kama kweli atamudu katika utendaji.

kwani huu umaarufu alioupata wa kuropoka kuwa Kinana ni jangili sio kigezo toshelezi kusema Mchungaji Msigwa ni mtu sahihi kwenye sekta ya maliasili na utalii, CHADEMA tupeni mtu mwingine Msigwa ni mwepesi mno!!

CV ya mchungaji Msigwa ni hii hapa;

School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
All Africa Bible College, South AfricaB.Ministry19992004GRADUATE
Sangu Secondary SchoolO-Level Education19831986SECONDARY
Magoye Primary SchoolPrimary Education19761982PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
The Parliament of TanzaniaMember - Iringa Urban Constituency20102015
Vineyard ChurchNational Coordinator20052010

Nami niulize maswali yafuatayo:

1. Kama Dr Magufuli alifanya vizuri kwenye wizara ya uvuvi, ni kwa sababu amesomea uvuvi? Sasa hivi anafanya 'vizuri' kwenye wizara ya ujenzi, ina maana amesomea mambo ya ujenzi?
2. Kama Dr Mwakyembe akifanya vizuri kwenye sekta ya usafirishaji ni kwa sababu amesomea usafirishaji?

Mimi nadhani rudi, kajipange upya ndiyo uposti tena uzi wako. Your reasoning doesn't hold water! "If the theory does not match the practice, ignore the theory."
 
Hivi kwanini wabunge wengi wa CHADEMA hawana shahada?

Hivi tungesema leo kwenye katiba mpya wabunge angalau wawe na shahada hawa wabunge wa CHADEMA wangechomokea wapi?

Angalizo; Elimu ni muhimu na ndio maana watoto wetu wakipata sifuri tunailaumu serikali! na hatutaki hao walio pata sifuri watuongozee nchi yetu.

Hao wabunge wenu/viongozi wenu wenye Shahada wame2fksha wap? Sumaye alikuwa wazr mkuu acye na shahada lkn uliona kaz alyoifanya? Hv huwa mnafkria kwa ku2mia nn? Agustino Mrema hakuwa na Shahada lakn aliiongoza wizara ya mambo ya ndan kwa ufanic wa hal ya juu kuliko hata hao madoctor wenu. Achen Umburura.
 
Kwa taarifa kama CDM itachukua nchi, vyeo havitakuwa vya kupeana kama ilivyo sasa na serikali ya magamba. Mawaziri hawatakuwa wanasiasa bali wataalamu wa maeneo husika. Nafasi zote za juu kuanzia uwaziri zitatangazwa na watu watatakiwa ku apply na watafanyiwa interview ili kupata mtu stahiki kwa nafasi sahihi.
Umenena vema mkuu,hawa magamba tutawapa darasa kila siku hapa.system inayotumiwa na CCM HAITATUMIWA NA CDM KAMWE,ndio maana wametufikisha hapa tulipo wizara nyingi kuna maprofesa na madaktari feki unategemea wataleta matokeo gani???Rejea kitabu cha Msemakweli hivi si walisema wataenda mahakamani kesi inaendeleaje???teh ,teh,teh.
 
Nami niulize maswali yafuatayo:

1. Kama Dr Magufuli alifanya vizuri kwenye wizara ya uvuvi, ni kwa sababu amesomea uvuvi? Sasa hivi anafanya 'vizuri' kwenye wizara ya ujenzi, ina maana amesomea mambo ya ujenzi?
2. Kama Dr Mwakyembe akifanya vizuri kwenye sekta ya usafirishaji ni kwa sababu amesomea usafirishaji?

Mimi nadhani rudi, kajipange upya ndiyo uposti tena uzi wako. Your reasoning doesn't hold water! "If the theory does not match the practice, ignore the theory."

Una bahati mbaya mkuu, kila unae mgusa CCM ana doctorate, sasa hawa uliowataja wana PhD na ukisoma hiyo kitu wewe una kuwa na extra ordinary ability, hivyo ukiwekwa popote unaweza ukapata matokeo mazuri hasa kwenye maeneo ya utawala. Huyo Msigwa ni bora umfananishe na UVCCM sio hao vichwa kina Mwakyembe na Magufuli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom