Kwa anayejua jinsi wanavyochagua

mm nmemalza 4m 4 mwka 2012, nna B ya biology, B ya chemistry na C ya physics, Je chuo kipi cha afya naweza kupata nafac?, pia kwa muda huu naweza kuapply chuo na kupata?, naomba msaada wenu wanaJF.

nenda shule kapige kitabu,unless njoo usomee dential therapist o nursing!njoo inbox
 
Advance nlikuwa napenda tena sana2, bt selection zmebadlisha dira ya maisha yangu, nimepangwa HGE, shule moja hv iko TUKUYU, ningeweza kwenda kubadlisha comb, lkn shule hiyo ina art pekee, swala la uhamisho cna referee, kwenda private sina uwezo, nikienda kusoma hiyo comb ntakuwa nadangaya Taifa coz haipo moyoni hata kodogo.
Nenda kasome hiyo comb na utakuja kukumbuka maneno yangu. Hiyo sayansi unayopenda tafuta wenzio walioisoma halafu uangalie maisha yao: shida tupu! Katika nchi zenye uchumi duni kama ya kwetu wanaosoma sayansi wanaishia kujazwa misifa ya kijinga tu kuwa walikuwa "vipanga" nk lakini maisha yao ya baadae ni masikitiko. Kuna wachache sana wenye nafuu. Nchi ya uchumi wa udalali na uchuuzi (hakuna uzalishaji ambao ndio unaohitaji wanasayansi, wala wataalam wa tiba hawatambuliwi kila siku unasikia migomo utaishia hukohuko shauri yako). Uchumi huu wa udalali na uchuuzi unahitaji maarifa ya hiyo HGE unayokataa, hao ndio wako kwenye mabiashara, taasisi za fedha, BoT, TRA, stock markets nk na ndio wanaofaidi matunda ya nchi. Narudia, Dogo nenda form five hiyohiyo uliyopata utakuja kuyakumbuka sana maneno yangu,
 
ngoja nikupe ujanja kwanza angalia matokeo ya last year acsee ya hyo shule alaf ukiona kuna matokeo ya watu walosoma comb ambayo unaitaka ukiona nenda alafu ukabadilishe comb nenda a.level acha ujinga wewe

Mkuu tatzo sio kwenda shule, tatzo ni kwamba naenda kusoma nn!, nlikuwa nmejpanga vzur sana kwa PCB na n masomo ninayo yaweza, naweza kusoma PCB bila kulazmishwa, lkn kwenye hyo shule hakuna comb ya sayanc hata 1.
 
Nenda kasome hiyo comb na utakuja kukumbuka maneno yangu. Hiyo sayansi unayopenda tafuta wenzio walioisoma halafu uangalie maisha yao: shida tupu! Katika nchi zenye uchumi duni kama ya kwetu wanaosoma sayansi wanaishia kujazwa misifa ya kijinga tu kuwa walikuwa "vipanga" nk lakini maisha yao ya baadae ni masikitiko. Kuna wachache sana wenye nafuu. Nchi ya uchumi wa udalali na uchuuzi (hakuna uzalishaji ambao ndio unaohitaji wanasayansi, wala wataalam wa tiba hawatambuliwi kila siku unasikia migomo utaishia hukohuko shauri yako). Uchumi huu wa udalali na uchuuzi unahitaji maarifa ya hiyo HGE unayokataa, hao ndio wako kwenye mabiashara, taasisi za fedha, BoT, TRA, stock markets nk na ndio wanaofaidi matunda ya nchi. Narudia, Dogo nenda form five hiyohiyo uliyopata utakuja kuyakumbuka sana maneno yangu,

ahsante sana mkuu kwa ushauri.
 
Acha uzembe ww nenda advance uhamisho unawezekana bila refaree naibu wazir wa elimu mulugo alisema uhamisho kwa kesi kama yako kama unataka kubadil comb na kwenye shule waliokuchagua haipo unaweza kuhama cha msingi wasiliana na mkuu wa shule uliochaguliwa na ambayo utataka kwenda mbona jamaa angu kafanikisha fanya hivyo bana nb.hakikisha unakamilisha ndani ya hi wiki ni hayo tu
 
thanx bro, i'll do it.
 
Na mimi niliyepata D ya chemistry, C ya bioz, F katka physics pamoja na D katka kingereza na maths, kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa?
 
Uchofu kk utachaguliwa tu kikubwa ni kumuomba mungu mi mwenyewe nime aply hiyo kozi nina c ya bios,c ya chemia,d ya phys,d ya maths ila english ndo nimeharibu nina f so nina wasiwasi mkubwa cjui kama nitachaguliwa wakuu..!!
 
Nenda kasome hiyo comb na utakuja kukumbuka maneno yangu. Hiyo sayansi unayopenda tafuta wenzio walioisoma halafu uangalie maisha yao: shida tupu! Katika nchi zenye uchumi duni kama ya kwetu wanaosoma sayansi wanaishia kujazwa misifa ya kijinga tu kuwa walikuwa "vipanga" nk lakini maisha yao ya baadae ni masikitiko. Kuna wachache sana wenye nafuu. Nchi ya uchumi wa udalali na uchuuzi (hakuna uzalishaji ambao ndio unaohitaji wanasayansi, wala wataalam wa tiba hawatambuliwi kila siku unasikia migomo utaishia hukohuko shauri yako). Uchumi huu wa udalali na uchuuzi unahitaji maarifa ya hiyo HGE unayokataa, hao ndio wako kwenye mabiashara, taasisi za fedha, BoT, TRA, stock markets nk na ndio wanaofaidi matunda ya nchi. Narudia, Dogo nenda form five hiyohiyo uliyopata utakuja kuyakumbuka sana maneno yangu,

Acha kumshaur dogo utumbo..let him do wat iz best from his art na wala sio swala la kumkatisha tamaa na sayans yake
 
Uchofu kk utachaguliwa tu kikubwa ni kumuomba mungu mi mwenyewe nime aply hiyo kozi nina c ya bios,c ya chemia,d ya phys,d ya maths ila english ndo nimeharibu nina f so nina wasiwasi mkubwa cjui kama nitachaguliwa wakuu..!!
Kumbe tupo wengi mimi kama wewe mkuu bio c chem c phy d engl d ila mi nimeharibu math f yani full wasiwasi
 
Back
Top Bottom