Kuzuia baadhi ya mavazi CBE ni kinyume na haki za binadamu

usishangae na sio cbe peke yake walianza saut sahiv mambo yapo shwarii watu washazoea kuvaa zao sket na gaun hhahahaha na inavoenda mpaka vyup vyote itakuwa hivoo chezea maadili wewe bt in other hand inasaidia kuwashape watu fulan fulan kuna watu wanavaa hovyo jamn hakuna mfano sasa na huko kuboost ziwa lataka lifike shingon uan akiinama linatoka
 
Nimekerwa sana na kitendo cha naibu mkuu wa chuo cha CBE, Bw Othman Hemed na timu take kukataza wanafunzi kuvaa mitindo mbalimbali ya nguo na kuamuru wavae mitindo anayopenda yeye kwa kisingizio cha MAADILI YA KITANZANIA.

Kwanza nina uhakika (kama yupo anayebisha na aje), kuwa hakuna mwongozo wowote ni yapi MAADILI YA MTANZANIA. Kwa maana hiyo hayo maadili ya mtanzania ni kitu cha kufikirika tu, hakipo.

Watanzania tunaongozwa na katiba, na mwananchi yeyote ana haki ya kufanya lolote ili mradi asivunje sheria. Bw Othman aulizwe sheria gani anayokuwa amevunja mwanachuo akivaa jeans iwe ya kubana au kuachia? Bw Othman atuonyeshe katika sheria za nchi au za chuo ni wapi pameanishwa urefu wa sketi ili isiwe kimini, mitindo ya nywele au upana wa suruali. Tunafahamu sheria inakataza mtu mzima na mwenye akili timamu kuwa uchi hadharani, na imedefine uchi kuwa ni hali ya mtu kutokuvaa nguo zinazositiri uke/uume. Kuna nchi nyingine hairuhusiwi hata kuonyesha matiti nje, lakini kwa Tanzania haikatazwi, na ndio maana sio kitu cha ajabu kuwaona kina mama wakiwa vifua wazi.

Tunafahamu kuwa zipo tamaduni za makabila tofauti ya kitanzania, na kati ya hizo zipo za uvaaji zinazoruhusu sehemu kubwa ya mwili kuachwa wazi.

Kwa mantiki hiyo, kitendo cha uongozi wa CBE kuwazuia kusoma wanafunzi wanaovaa baadhi ya mitindo ya nguo na nywele, ambayo kwa uhakika wangu ni kuwa haivunji sheria za nchi, na wanaovaa ni watu wenye akili timamu na wanajua wanachokifanya, ni kitendo cha kizandiki, na kinafiki, na cha kipumbavu.

kinachokuuma ni nini, angekuwa dada yako anavaa vile ungefurah, kumbuka pale kuna watu wazima na heshima zao wanasoma, na ukifuatilia wale wanaovaa nguo za ajabu ni form4 wa division 4 na 5,
 
Upo waraka wa mavazi uliotolewa na serikali nenda kwenye webpage ya utumishi search utauona huko.
 
huna akili wewe ukitaka tembea uchi kabisa afu sema ni tamaduni ya kabila lako au zaa wako waache wavae nusu uchi me nadhani wewe unaruhusu akili ndogo iongoze kubwa
 
fafanua vema haki zipi za binadamu kakiuka na zimeanishwa ktk katiba ipi?
katiba haiheshimu tamaduni na haiba ya Mtanzania?
vaeni mavazi yanayostahili na msome acheni kuonyesha maungo nddio maana elimu ya sasa imeshuka sana

Mkuu wa shule kavunja haki za wanyama!!! maana kumsitiri mwanamke ni kutunza haki yake na utu wake
 
unajua akutukane hakuchagulii tusi.
any way.....but jua kuwa nimekutukana tena tusi la aibu tena kwa..........akuza......
yaani mshenzi wewe wakati tunapatia conglats uongozi wa cbe wewe unapinga.........
sasa subiri ma........yako atembee uchi.
 
kinachokuuma ni nini, angekuwa dada yako anavaa vile ungefurah, kumbuka pale kuna watu wazima na heshima zao wanasoma, na ukifuatilia wale wanaovaa nguo za ajabu ni form4 wa division 4 na 5,

huyo jamaa ni pimbi
 
usishangae na sio cbe peke yake walianza saut sahiv mambo yapo shwarii watu washazoea kuvaa zao sket na gaun hhahahaha na inavoenda mpaka vyup vyote itakuwa hivoo chezea maadili wewe bt in other hand inasaidia kuwashape watu fulan fulan kuna watu wanavaa hovyo jamn hakuna mfano sasa na huko kuboost ziwa lataka lifike shingon uan akiinama linatoka

hata makumira walikaza suruali na vimini kwa mademu. maana ilikuwa ni shidaa. saivi mambo swari
 
Nimekerwa sana na kitendo cha naibu mkuu wa chuo cha CBE, Bw Othman Hemed na timu take kukataza wanafunzi kuvaa mitindo mbalimbali ya nguo na kuamuru wavae mitindo anayopenda yeye kwa kisingizio cha MAADILI YA KITANZANIA.

Kwanza nina uhakika (kama yupo anayebisha na aje), kuwa hakuna mwongozo wowote ni yapi MAADILI YA MTANZANIA. Kwa maana hiyo hayo maadili ya mtanzania ni kitu cha kufikirika tu, hakipo.

Watanzania tunaongozwa na katiba, na mwananchi yeyote ana haki ya kufanya lolote ili mradi asivunje sheria. Bw Othman aulizwe sheria gani anayokuwa amevunja mwanachuo akivaa jeans iwe ya kubana au kuachia? Bw Othman atuonyeshe katika sheria za nchi au za chuo ni wapi pameanishwa urefu wa sketi ili isiwe kimini, mitindo ya nywele au upana wa suruali. Tunafahamu sheria inakataza mtu mzima na mwenye akili timamu kuwa uchi hadharani, na imedefine uchi kuwa ni hali ya mtu kutokuvaa nguo zinazositiri uke/uume. Kuna nchi nyingine hairuhusiwi hata kuonyesha matiti nje, lakini kwa Tanzania haikatazwi, na ndio maana sio kitu cha ajabu kuwaona kina mama wakiwa vifua wazi.

Tunafahamu kuwa zipo tamaduni za makabila tofauti ya kitanzania, na kati ya hizo zipo za uvaaji zinazoruhusu sehemu kubwa ya mwili kuachwa wazi.

Kwa mantiki hiyo, kitendo cha uongozi wa CBE kuwazuia kusoma wanafunzi wanaovaa baadhi ya mitindo ya nguo na nywele, ambayo kwa uhakika wangu ni kuwa haivunji sheria za nchi, na wanaovaa ni watu wenye akili timamu na wanajua wanachokifanya, ni kitendo cha kizandiki, na kinafiki, na cha kipumbavu.

Unashangaa CBE? Pale Immigration HQs Kurasini askari wanawazuia kuingia watu waliovaa nguo zisizo na maadili. Wanawake wanaokuwa wamevaa nguo fupi, au suluali za kubana sana huwa wanapewa kanga wajitande.
 
kijana unapoleta mada hapa jaribu kufikir kwanza sio kukurupuka tu, hv ukimkuta mama ako au dada ako akiwa maziwa na mapaja nje unafurahi ee? ss kile ambacho upendi kiipate familia yako kiepushe kwenye jamii nzima. Chuo ni taasisi huru yenye yenye taratibu na kanuni zinazokiongoza, so mkuu wa chuo ana haki ya kuzuia jambo lolote linaloleta mmomonyoko wa maadili ya nchi yetu bila kuingiliwa. kwa mtu alieenda chuo kwa dhamira ya kusoma hawezi kubeza amri ya kiungwana kama hii hila ww unaoneka kuna mengine umefata pale sio kusoma.
 
Acha kulalamika, taja nguo zilizokatazwa na weka picha zake hapa zikiwa zimevaliwa na watu ndio ulalamike
 
Stupid, im sorry but ofcourse you are. Yaani kitu cha kujenga we unakipinga acha upuuzi mnataka mtuvalie nusu uchi huko vyuoni ili iweje, eti uchi ni kutofunika uke au uume hebu katiza na chupi kariakoo uone yatayojiri, nyie ndo mnakujaga kutetea ushoga hivi hivi. Au kuna kabiashara mnafanya chuoni unaona hiyo sheria itazuia advertisement zenu mkose wateja. NIMEKUDHARAU SANA.
 
kwaio mleta mada unataka muendelee kuvaa kihasara hasara tu chuoni...pam.b.affff...
 
duh!m nahisi amelewa kwa jinc coment zilivyo,chamsingi ndugu jaribu kufikiria vitu ambavyo vitaleta maendeleo nasi kulalamika et mkuu wa chuo amekataza nguo ambazo hazina maadili.nahsi unajipotezea mda na umedharaulika na umma karibu wote wa kitanzania.
 
Back
Top Bottom