Kuzuia baadhi ya mavazi CBE ni kinyume na haki za binadamu

mie nadhan ipitishwe sheria kuwa kila anaevaa ovyo kwa nia ya kuwatega wanaume, pale anapobakwa kusiwe na kesi kwa sabab nia yake inakuwa imetimia. Halaf sometimes unakuta mnajidhalilisha wenyewe. Pia itawasaidia sana kwa sabab ile tabia ya kushindana kupata mabwana itaisha na mtasoma na hapo unakuta wengi wenu ndo wazaz wenu wanaish chini ya dola moja.
 
hizo ni taratibu za chuo...kila sehemu inataratibu zake sasa na wao pia wameamua hivyo! siku nyingine utatuambia hata wanaokataza kuvaa nguo za nusu uchi kanisani wanakiuka haki za binadamu,
 
Nimekerwa sana na kitendo cha naibu mkuu wa chuo cha CBE, Bw Othman Hemed na timu take kukataza wanafunzi kuvaa mitindo mbalimbali ya nguo na kuamuru wavae mitindo anayopenda yeye kwa kisingizio cha MAADILI YA KITANZANIA.

Kwanza nina uhakika (kama yupo anayebisha na aje), kuwa hakuna mwongozo wowote ni yapi MAADILI YA MTANZANIA. Kwa maana hiyo hayo maadili ya mtanzania ni kitu cha kufikirika tu, hakipo.

Watanzania tunaongozwa na katiba, na mwananchi yeyote ana haki ya kufanya lolote ili mradi asivunje sheria. Bw Othman aulizwe sheria gani anayokuwa amevunja mwanachuo akivaa jeans iwe ya kubana au kuachia? Bw Othman atuonyeshe katika sheria za nchi au za chuo ni wapi pameanishwa urefu wa sketi ili isiwe kimini, mitindo ya nywele au upana wa suruali. Tunafahamu sheria inakataza mtu mzima na mwenye akili timamu kuwa uchi hadharani, na imedefine uchi kuwa ni hali ya mtu kutokuvaa nguo zinazositiri uke/uume. Kuna nchi nyingine hairuhusiwi hata kuonyesha matiti nje, lakini kwa Tanzania haikatazwi, na ndio maana sio kitu cha ajabu kuwaona kina mama wakiwa vifua wazi.

Tunafahamu kuwa zipo tamaduni za makabila tofauti ya kitanzania, na kati ya hizo zipo za uvaaji zinazoruhusu sehemu kubwa ya mwili kuachwa wazi.

Kwa mantiki hiyo, kitendo cha uongozi wa CBE kuwazuia kusoma wanafunzi wanaovaa baadhi ya mitindo ya nguo na nywele, ambayo kwa uhakika wangu ni Okuwa haivunji sheria za nchi, na wanaovaa ni watu wenye akili timamu na wanajua wanachokifanya, ni kitendo cha kizandiki, na kinafiki, na cha kipumbavu.
Ndugu zangu wanachuo wa CBE kwanza, niwape pole kwa hili na pili , niwashauri hivi....woooote nunueni mahijab meusi piga pamba zako ukifika main gate chomoa hijab vaa then ukimaliza kipindi go out of college compass n take out ya hijab then peta mitaani na kimini chako....otherwise maliza chuo hizo pamba utazipiga sana kitaa don't west time katika hili potezeeni tuu...
 
Sahihi kabisa kuna haki na wajibu. Ni haki yako kukaa bila nguo yo yote mwilini lakini ni wajibu wako kuvaa nguo za heshima kwenye jamii.
naanza kuapata picha ya hili suala.

Soma hapa: "Kuhusu mavazi, ni juu ya mtu mwenyewe kuchagua avae nguo ipi bali na mvaaji aangalie asije kuwa kichekesho mbele za wengine".

Kutokana na hiyo quote ambayo naamini ndiyo iliyo sahihi kuliko zote juu ya mawavazi, sio sahihi mtu mmoja kumpangia mwingine avae nini bali ni suala la ku-sensitize each other juu na ni wapi mtu yupo na ni vipi avae kulingana na mazingira hayo lakini sio kupangiana au kulazimishana. Hii ni kwa sababu wanafunzi wa CBE (for this case) wana akili timamu na ndio maana wako pale.

Omujubi, shida yenu nyinyi vijana ni kuwa munaona vitu kwenye internet au movies halafu munaanza kuiga bila ya kujua wapi mambo yale huwa yanafanyika.

Mimi nimesoma Canada, Uingereza na nimekwenda kwenye short courses nyingi tu sehemu mbali mbali Ulaya lakini sijaona vituko vya aina zinazofanyika hapa Tz katika mavazi. Jee hao wengine siyo wanafunzi?
 
Nimekerwa sana na kitendo cha naibu mkuu wa chuo cha CBE, Bw Othman Hemed na timu take kukataza wanafunzi kuvaa mitindo mbalimbali ya nguo na kuamuru wavae mitindo anayopenda yeye kwa kisingizio cha MAADILI YA KITANZANIA.

Kwanza nina uhakika (kama yupo anayebisha na aje), kuwa hakuna mwongozo wowote ni yapi MAADILI YA MTANZANIA. Kwa maana hiyo hayo maadili ya mtanzania ni kitu cha kufikirika tu, hakipo.

Watanzania tunaongozwa na katiba, na mwananchi yeyote ana haki ya kufanya lolote ili mradi asivunje sheria. Bw Othman aulizwe sheria gani anayokuwa amevunja mwanachuo akivaa jeans iwe ya kubana au kuachia? Bw Othman atuonyeshe katika sheria za nchi au za chuo ni wapi pameanishwa urefu wa sketi ili isiwe kimini, mitindo ya nywele au upana wa suruali. Tunafahamu sheria inakataza mtu mzima na mwenye akili timamu kuwa uchi hadharani, na imedefine uchi kuwa ni hali ya mtu kutokuvaa nguo zinazositiri uke/uume. Kuna nchi nyingine hairuhusiwi hata kuonyesha matiti nje, lakini kwa Tanzania n
 
wadau me naona huu mpango uko sawa kabisa na vyuo vingine vichukue hatua hao wanaoleta ubishi wakatafute vyuo wanavyosoma uchi darasani!! inasikitisha sana mtu anavaa vazi la ufukweni darasani.......unamwonesha nani nguo zako za ndani??? huo ni upuuzi mtupu unaingia darasani watu wanakushangaa!!sijui umekuja kuonesha mitindo ya mavazi au umekuja kusoma
 
Nimekerwa sana na kitendo cha naibu mkuu wa chuo cha CBE, Bw Othman Hemed na timu take kukataza wanafunzi kuvaa mitindo mbalimbali ya nguo na kuamuru wavae mitindo anayopenda yeye kwa kisingizio cha MAADILI YA KITANZANIA.

Kwanza nina uhakika (kama yupo anayebisha na aje), kuwa hakuna mwongozo wowote ni yapi MAADILI YA MTANZANIA. Kwa maana hiyo hayo maadili ya mtanzania ni kitu cha kufikirika tu, hakipo.

Watanzania tunaongozwa na katiba, na mwananchi yeyote ana haki ya kufanya lolote ili mradi asivunje sheria. Bw Othman aulizwe sheria gani anayokuwa amevunja mwanachuo akivaa jeans iwe ya kubana au kuachia? Bw Othman atuonyeshe katika sheria za nchi au za chuo ni wapi pameanishwa urefu wa sketi ili isiwe kimini, mitindo ya nywele au upana wa suruali. Tunafahamu sheria inakataza mtu mzima na mwenye akili timamu kuwa uchi hadharani, na imedefine uchi kuwa ni hali ya mtu kutokuvaa nguo zinazositiri uke/uume. Kuna nchi nyingine hairuhusiwi hata kuonyesha matiti nje, lakini kwa Tanzania haikatazwi, na ndio maana sio kitu cha ajabu kuwaona kina mama wakiwa vifua wazi.

Tunafahamu kuwa zipo tamaduni za makabila tofauti ya kitanzania, na kati ya hizo zipo za uvaaji zinazoruhusu sehemu kubwa ya mwili kuachwa wazi.

Kwa mantiki hiyo, kitendo cha uongozi wa CBE kuwazuia kusoma wanafunzi wanaovaa baadhi ya mitindo ya nguo na nywele, ambayo kwa uhakika wangu ni kuwa haivunji sheria za nchi, na wanaovaa ni watu wenye akili timamu na wanajua wanachokifanya, ni kitendo cha kizandiki, na kinafiki, na cha kipumbavu.

TUKO wewe ni mjinga tena hufai shimoni wala mtini kwa ulimbukeni wako wewe unashabikia hao dada zako wanavyokuja chuoni nusu uchi kwenye taasisis ya umma kama CBE kila siku nasema muwe mnafikiri kabla ya kusema ujinga wenu humu JF kila upumbavu mnauhalalisha kwa kuita haki za Binadamu ndiyo maana wajinga kama wewe wamesema hamtapata misaada kama hamtarudi SODOMA NA GOMORA.

KUMBUKA SIYO KILA KITU KINAFUNDISHWA SHULENI AU KUTUNGIWA SHERIA. Ninani alitunga sheria kuwa usivae taulo unapokuwa mitaani au mbele ya mkweo? au ufunge mlango usiku?

Nakuchukuia kama kifo kwa kuleta na kudhihirisha upuuzi wako humu JF Katiba imekuambia uvae chupi ikionekana mbele ya wazazi na ndugu zako? Katiba imekuruhusu uache matiti ambayo ni tunu ya mume kuyaona yaonekane kwa kila mtu? Nasikitika umenilazimisha kutumia lugha kali kutokana na ujinga na wako wa kushabikia wendawazimu. Kama ni haki za binadamu nenda na jinzi pale ngome uone kama utapita getini mwendawazimu wewe na uwaambie ni haki za nguruwe na siyo binadamu wakikuruhusu kuvuka lile geti nitafute unikate kichwa simu yangu ni 0755-536991 na 0784-642371
 
Hawa ndio washabiki wa vitu wasiovijua, ndio nyinyi mshikiliao haki za binadamu na kuanza kufanya mambo ya ajabu duniani ukiulizwa eti haki za binadamu, waliozianzisha walikuwa na sababu zao.
na ndio siku hizi maadili yanapotea ukitaka kukomesha vitendo viovu kama hivi haki za binadamu.
uvivu haki za binadamu
uasherati haki za binadamu
ushoga haki za binadamu
nini wewe bwana amka lazima taifa liwe na maadili
 
Ukihitimu cbe kama ni mwanaume ujue pia huwezi kutegwa na mwanamke yeyote kimavazi kuna baadhi yao wanavaa ovyo mpaka ukiwa karibu na mwanamama anayeringana na mama yako unaondoka kwa aibu, alafu huwa wanafanya makusudi kwasababu kipindi icho wakimuona mama Kaiula kwasasa mbunge chadema walikuwa wanakimbia kwa kuwa alikuwa akiwatukana na kuwarudisha hostel wakabadirishe.
 
nimekerwa sana na kitendo cha naibu mkuu wa chuo cha cbe, bw othman hemed na timu take kukataza wanafunzi kuvaa mitindo mbalimbali ya nguo na kuamuru wavae mitindo anayopenda yeye kwa kisingizio cha maadili ya kitanzania.

Kwanza nina uhakika (kama yupo anayebisha na aje), kuwa hakuna mwongozo wowote ni yapi maadili ya mtanzania. Kwa maana hiyo hayo maadili ya mtanzania ni kitu cha kufikirika tu, hakipo.

Watanzania tunaongozwa na katiba, na mwananchi yeyote ana haki ya kufanya lolote ili mradi asivunje sheria. Bw othman aulizwe sheria gani anayokuwa amevunja mwanachuo akivaa jeans iwe ya kubana au kuachia? Bw othman atuonyeshe katika sheria za nchi au za chuo ni wapi pameanishwa urefu wa sketi ili isiwe kimini, mitindo ya nywele au upana wa suruali. Tunafahamu sheria inakataza mtu mzima na mwenye akili timamu kuwa uchi hadharani, na imedefine uchi kuwa ni hali ya mtu kutokuvaa nguo zinazositiri uke/uume. Kuna nchi nyingine hairuhusiwi hata kuonyesha matiti nje, lakini kwa tanzania n

wote mnaompinga mkuu wa chuo cha cbe mmelaniwa na wazazi wenu hamna akili hata kidogo kama mnaona fahari kuvaa nusu uchi kawavalieni wazazi wenu msituharibie watoto wetu kwa ulimbukeni wenu malaya nyie msiokuwa na adabu wala dini
 
dah yani umemjibu kiungwana sana
-hopeful atasoma na kulaumu nafsi kwann ameandika hii post

malock huna haja ya kutumia lugha ya ustaarabu kwa mjinga kama huyu mpe kitu anachostahili mjinga huyu asijekurudia tena kuleta upuuzi wake kuhalalisha ujinga kama anaona kuvaa nusu uchi ni deal akawavalie wazazi wake kwao ambako hawajafundishwa nidhamu wala dini na siyo kuleta ujinga kwenye chuo akatuharibia watoto wetu mwendawazimu huyo
 
kiukweli kabisa uongozi cbe wamevunja HAKI ZA WANYAMA. Manake mi kila nikipita pale Mikumi sijawahi kuona mnyama kajisitiri maungo yake. Si tembo, si kicheche, swala, wala nyegere.
 
Ameleta UDINI HUYO Mbona mawaziri wanavaa matiti nje hamsemi na watoto wake. Bushit
 
Aliwaonea huruma vijana wake wa kiume huruma kwamba wanategeka kirahisi mno
 
Safi Kabisa Dr Othman mie naweza kuongezea walinzi wa Kimasai kuzuia wanafunzi wenye tabia za makahaba na mashoga na kuharibu sifa na hadhi ya chuo kwa wananchi na taasisi za nje ambapo hata kupata kazi inakuwa kazi kutokana na sifa mbaya kuwa wanafunzi wote wa kiume wanatabia chafu za kikahaba na ushoga.Nafikiri wanafunzi mngemshukuru Dr kwa kukitangaza chuo chenu katika muonekano mzuri wenye kutia afya.By then haki za binadamu is too much subjective, na mwendawazamu tu atakayehoji haki za binadamu katika masuala ya ustaarabu na maadili.
 
naanza kuapata picha ya hili suala.

Soma hapa: "kuhusu mavazi, ni juu ya mtu mwenyewe kuchagua avae nguo ipi bali na mvaaji aangalie asije kuwa kichekesho mbele za wengine".

kutokana na hiyo quote ambayo naamini ndiyo iliyo sahihi kuliko zote juu ya mawavazi, sio sahihi mtu mmoja kumpangia mwingine avae nini bali ni suala la ku-sensitize each other juu na ni wapi mtu yupo na ni vipi avae kulingana na mazingira hayo lakini sio kupangiana au kulazimishana. Hii ni kwa sababu wanafunzi wa cbe (for this case) wana akili timamu na ndio maana wako pale.

kila mahali kuna kanuni zake huwezi ukatoka na nguo ya kuogelea ukaenda nayo ofisini au ngu ya ofisini ukaenda nayo kuogelea pale ni sehemu ya taaluma inayomtayarisha mtu kuutumikia umma popote atakapokuwa sasa kama mtu huyo anakwenda uchi huko ofisini unatarajia atamfundisha nini mwanao ambaye atakutana naye njiani ? Vitu vingine jamani msishabikie upumbavu inapaswa tumuunge mkono huyo mkuu wa chuo na kama kuna mapungufu katika taaluma pigeni makelele hali irekebishwe. Nakama mtu anaona kuvaa nusu uchi kwake ni deal basi afungue chuo chake yeye na wazazi wake waliomfundishe kuvaa nusu uchi wasome peke yao pale kama hawezi afuate maelekezo akitoka nje ya geti hata kama atavua nguo zote atembee uchi hakuna atakayemuuliza akiwa chuo hakuna hiari lazima avae na kufuata kanuni zote za chuo mbona makao makuu ya jeshi hamjalalamika wakati wamezuia kuvaa jinzi tshirt na raba? Hapo napo ni tz nendeni na ujinga wenu muwaambie kuna haki za binadamu kama mnavyotoka kumbabaisha principal wa cbe? Hiari iko nyumbani kwenu kwenye taasisi lazima ufuate wenye chuo/shule watakavyo kwa sababu shida zako ndiyo zimekupeleka pale.
 
mkaeta mada anaect uzungu kumbe mbwibi la hatari

Amelaani wa huyo anatupotezea muda tu, kwa hata uwezo wake darasani ni mdogo angekuwa nauwezo mzuri asingeleta thread ya mashoga na makahaba hapa, badala ya kushabikia wapewe walimu wakutosha na vifaa vilivyopungua chuoni anahangaikia kutembea uchi akawavalie nusu uchi wazazi wake, mshamba huyo na limbukeni wa uzungu.
 
Si cha kinafiki, n cha kiugwana,

Back
Top Bottom