Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,023
- 2,466
- Thread starter
- #181
Mh. Upo vzr Sana umesomekaMKUU UNATARAJIA UZALISHE MIJAMKE 5 HUTOI HUDUMA STAHILI KWA WATOTO HAO KILA MMOJA ANASUMU ZAKE ANAZIMLISHA MWANAE KUHUSU WW,ISTOSHE WE BABA HUNA MPANGO WWTE KUWAUNGANISHA HAO WATOTO UNADHANI WATAKUWA MSAADA KWAKO SIKU MOJA?AU UNADHAN UTAKUWA MSIMA.NA NGUVU ZAKO HUTAHITAJI CHOCHOTE KUTOKA KWAO AS LONG AS USHAWALETA DUNIANI UMEMALIZA KAZI YAKO?kuwa baba maana yake hiduma na kuwajibika kwa hao unaotaka wakuite na wakuheahimu kama baba yao..hakuna cha kufanana mawazo huo ndio uhalisia