Kuzaa na wanawake tofauti ni kutafuta Matatizo

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Zingatia kichwa cha Habari

Hakuna kitu kinachotesa wazee wengi kama wale ambao wana watoto wengi kwa wamama tofauti hii ujanani unaweza ukajiona mwamba lakini mbele ya Safari kwenye utuuzima unakuja kuwa mtu wa kupokea lawama kila upande, kiini cha matatizo yote naandika kwa herufi kubwa ni UCHUMI.

Kila familia inakuwa ivutia kamba kwake nikiwa na maana wanataka huduma zote za kifedha na mali ulizozitafuta uwagawie na usipotimiza wajibu kwa pande yeyote wewe utakuwa mtu wa kupokea lawama kwa watoto wako waliojazwa sumu na mama zao, kijana weka umakini unapochagua mke wa kuoa ili upate mtu wa kudumu nae uwe na familia moja.
 
Zingatia kichwa cha Habari

Hakuna kitu kinachotesa wazee wengi kama wale ambao wana watoto wengi kwa wamama tofauti hii ujanani unaweza ukajiona mwamba lakini mbele ya Safari kwenye utuuzima unakuja kuwa mtu wa kupokea lawama kila upande , kiini cha matatizo yote naandika kwa herufi kubwa ni UCHUMI, kila familia inakuwa ivutia kamba kwake nikiwa na maana wanataka huduma zote za kifedha na mali ulizozitafuta uwagawie na usipotimiza wajibu kwa pande yeyote wewe utakuwa mtu wa kupokea lawama kwa watoto wako walio jazwa sumu na mama zao , kijana weka umakini unapochagua mke wa kuoa ili upate mtu wa kudumunae uwe na familia moja

Hi standard umeitoa wapi? Au mawazo yako tu bila supportive evidence? Au umeona kwenu? Kama huna ithibati toa tu kama tetesi au mawazo yako tu ya utotoni!
 
Hi standard umeitoa wapi? Au mawazo yako tu bila supportive evidence? Au umeona kwenu? Kama huna ithibati toa tu kama tetesi au mawazo yako tu ya utotoni!

Hakuna cha thesis wala evidence, wanawake hawapendani ni wazi, unapo ji engage na mwanamke zaidi ya mmoja unakaribisha hiyo chuki ndani, unapokaribisha hiyo chuki ndani inaenda tenga watoto.

Wewe kama umezaa na wanawake wengi hakuna mwenye shida na wewe, anaongea na kuwashauri ambao bado wana nafasi ya kufanya tofauti.
 
Hakuna cha thesis wala evidence, wanawake hawapendani ni wazi, unapo ji engage na mwanamke zaisi ya mmoja unakaribisha hiyo chuki ndani, unapokaribisha hiyo chuki ndani inaenda tenga watoto.

Wewe kama umezaa na wanawake wengi hakuna mwenye shida na wewe, anaongea na kuwashauri ambao bado wana nafasi ya kufanya tofauti.
Mh. Umemjibu vizuri , ubarikiwe kwa akili zako popote ulipo kula tano
 
Ni maono yako tu ila hakuna shida ili mradi tu ujue kuweka famikia yako vizuri, somesha watoto watafutie kazi ambao wamashindwa shule pambana wawe na biashara wajihudumia wenyewe na waambie mali zote nlizo nazo ni zangu na wake zangu, nyie tafuteni za kwenu. Na ugawe urithi sawa kwa sawa kwa wanawake zako kabla ya kifo chako upeleke kwa mwanasheria na ukautunze bank
 
Back
Top Bottom