Kuzaa na wanawake tofauti ni kutafuta Matatizo

MKUU UNATARAJIA UZALISHE MIJAMKE 5 HUTOI HUDUMA STAHILI KWA WATOTO HAO KILA MMOJA ANASUMU ZAKE ANAZIMLISHA MWANAE KUHUSU WW,ISTOSHE WE BABA HUNA MPANGO WWTE KUWAUNGANISHA HAO WATOTO UNADHANI WATAKUWA MSAADA KWAKO SIKU MOJA?AU UNADHAN UTAKUWA MSIMA.NA NGUVU ZAKO HUTAHITAJI CHOCHOTE KUTOKA KWAO AS LONG AS USHAWALETA DUNIANI UMEMALIZA KAZI YAKO?kuwa baba maana yake hiduma na kuwajibika kwa hao unaotaka wakuite na wakuheahimu kama baba yao..hakuna cha kufanana mawazo huo ndio uhalisia
Mh. Upo vzr Sana umesomeka
 
Okay, kwahiyo mama watoto anapo olewa na bwana mwingine na baba watoto anapo oa mwanamke mwingine, hawa watoto wanastahili kulelewa na nani??

Kwanza kabisa hamtakiwi kuachana mnapokua tayari na watoto.

Ndoa sio nguo kwamba ikikubana ubadirishe.

Ndoa halisi inaanza pale mapenzi yanapoishia, hapo ndipo kiapo cha kufa na kuzikana katika shida na raha kinaposimama na kuchukua nafasi yake.

Mnapokua tayari mmewaleta binaadam (watoto) katika ulimwengu wa nyama kutoka huko rohoni kwenu kwa tendo lenu hamna budi kujipondaponda nafsi na kutulia na kutengeneza maisha ya baadae kwa ajili yako na family yako.

Watoto ni matokeo ya kilele cha juu kabisa cha hisia kati yenu, lazima walindwe, kuheshimiwa, kuthaminiwa, kuongozwa na kuandaliwa mazingira ya kuendelea mtakapo ishia ninyi.

Watoto wenu ni nyinyi wenyewe wa baadae.

Ndoa ni muunganiko mtakatifu na watoto ni baraka za nafasi nyingine ya uhai wako na Mkeo kuendelea kuishi kupitia wao hata baada ya kufa kwenu.

Na ndio maana kuingiliana kimwili kukaitwa Tendo la Ndoa na Ngono (kufanya matusi Kama kuku) ikaitwa haramu.

Tamaa za ngono Hazina chochote zaidi ya kuwa ni tamaa tu, nusu saa the wave is past!

Sasa why risk the well being of the future you kwa kuachana na fellow creator? You think such a step italeta Amani?

Ukiona Amani sasa inatamalaki, just brace yourself for the future you (wajukuu na vitukuu) one or some are bound to do what you did and a Pandora’s box will be open. It’s reality.

Unfortunately in this World, no Deed goes around unpaid.
 
Makofi mengi kwako
 
Wanaume uoeni wake wengi uwezavyo kuwasitiri dada zetu. takwimu za dunia zinaonesha katika watu Bilioni 7; wanaume ni bilioni 2 tu na kati ya hao wengine mapadre wa kanisa katoliki, wengine wafungwa, wengine Zelenkzy wa Ukraine anaendelea kuwatekeza. Oeni wake wengi kuiepusha dunia na tatizo la signle mothers.
Wengine ni wewe na baba yako ambao si riziki
 
hahahahaaaa!
Mzee wangu ana wake wawili na watoto wake wa kiume tupo 13 na katusomesha. Nyumba ina wahandisi, wachumi, walimu, manesi, wanasheria na wakulima na wafugaji. Mimi mwenyewe nimefyatua vidume vinne (4) na dada yao moja (1) kwa mke moja baada ya kuponea chupuchupu kuwa padri (faza). Ndo nafikiria kuongeza msaidizi wa wife a.k.a mama mdogo wa watoto.
 
Kwanza kabisa hamtakiwi kuachana mnapokua tayari na watoto.

Ndoa sio nguo kwamba ikikubana ubadirishe.

Ndoa halisi inaanza pale mapenzi yanapoishia, hapo ndipo kiapo cha kufa na kuzikana katika shida na raha kinaposimama na kuchukua nafasi yake.

Mnapokua tayari mmewaleta binaadam (watoto) katika ulimwengu wa nyama kutoka huko rohoni kwenu kwa tendo lenu hamna budi kujipondaponda nafsi na kutulia na kutengeneza maisha ya baadae kwa ajili yako na family yako.

Watoto ni matokeo ya kilele cha juu kabisa cha hisia kati yenu, lazima walindwe, kuheshimiwa, kuthaminiwa, kuongozwa na kuandaliwa mazingira ya kuendelea mtakapo ishia ninyi.

Watoto wenu ni nyinyi wenyewe wa baadae.

Ndoa ni muunganiko mtakatifu na watoto ni baraka za nafasi nyingine ya uhai wako na Mkeo kuendelea kuishi kupitia wao hata baada ya kufa kwenu.

Na ndio maana kuingiliana kimwili kukaitwa Tendo la Ndoa na Ngono (kufanya matusi Kama kuku) ikaitwa haramu.

Tamaa za ngono Hazina chochote zaidi ya kuwa ni tamaa tu, nusu saa the wave is past!

Sasa why risk the well being of the future you kwa kuachana na fellow creator? You think such a step italeta Amani?

Ukiona Amani sasa inatamalaki, just brace yourself for the future you (wajukuu na vitukuu) one or some are bound to do what you did and a Pandora’s box will be open. It’s reality.

Unfortunately in this World, no Deed goes around unpaid.
Huu ushauri kuntu kabisa. Nimeuchukua mazima. Asante sana kwa haya madini adimu.
 
hahahahaaaa!
Mzee wangu ana wake wawili na watoto wake wa kiume tupo 13 na katusomesha. Nyumba ina wahandisi, wachumi, walimu, manesi, wanasheria na wakulima na wafugaji. Mimi mwenyewe nimefyatua vidume vinne (4) na dada yao moja (1) kwa mke moja baada ya kuponea chupuchupu kuwa padri (faza). Ndo nafikiria kuongeza msaidizi wa wife a.k.a mama mdogo wa watoto.
Sio sifa kuzaa na wanawake wengi
 
Hilo wewe halikuhusu umeshatimiza wajibu wako wa kutia mimba wao wapendane wasipendane wewe haikuhusu, nani kakwambia watoto waliozaliwa tumbo moja wanapendana kuliko ambao hawajazaliwa tumbo moja na baba yao ni mmoja?

Emu acha zako mifano tunayo
Si tuko mitaani tunaona
 
Ukiwa na hela hakuna mwanamke atakae kua na muda huo wa kuchukia mtoto wa mwenzio I'm telling you

My brother amezaa na wanawake wengi na anaishi na watoto wake wote bila shida yoyote na hawabaguani

Huyu kazaa nae wanne huyu kazaa nae watatu huyu kazaa nae mmoja huyu kazaa nae wawili huyu kazaa nae watatu tena huyu mmoja pale mmoja tena nasikia ana mtoto ujerumani mwingine kamuacha Uingereza yaan ukifika nyumbani kwake unakuta hadi machotara wa kizungu na kiarabu wote watoto wake ukiambiwa mimacho inakutoka tembeza rungu kijana

Wewe umekalia tu mwanamke mmoja mwanamke mmoja sema sina kipato cha kulisha wanawake wengi sio unatengeneza defense ya ajabu sijui wanawake kugombana shit tia mimba km uwezo unao watoto wakija utalisha tu na utaishi nao ukiamua as long as uwezo upo zaa jaza dunia
Tena ukiwa na hela ndio watachukuana zaidi, yani ni ha wanawake wenyewe wawe na pesa zao ndio hawatachukiana
 
Ukiwa na hela hakuna mwanamke atakae kua na muda huo wa kuchukia mtoto wa mwenzio I'm telling you

My brother amezaa na wanawake wengi na anaishi na watoto wake wote bila shida yoyote na hawabaguani

Huyu kazaa nae wanne huyu kazaa nae watatu huyu kazaa nae mmoja huyu kazaa nae wawili huyu kazaa nae watatu tena huyu mmoja pale mmoja tena nasikia ana mtoto ujerumani mwingine kamuacha Uingereza yaan ukifika nyumbani kwake unakuta hadi machotara wa kizungu na kiarabu wote watoto wake ukiambiwa mimacho inakutoka tembeza rungu kijana

Wewe umekalia tu mwanamke mmoja mwanamke mmoja sema sina kipato cha kulisha wanawake wengi sio unatengeneza defense ya ajabu sijui wanawake kugombana shit tia mimba km uwezo unao watoto wakija utalisha tu na utaishi nao ukiamua as long as uwezo upo zaa jaza dunia

Ukifa ndio utajua Kama hela zinasaidia nini

Ukiachana na kifo Kuna muda watoto wataitajika kuishi na wewe kutokana na changamoto kwa mama zao

Btw wewe ni mwanaume mara nyingi huwa hamshindi home so hata watoto wenu hamjui wanaishii vipi

Sio dhambi kuzaa watoto wengi na mama tofauti but ni risk tena kubwaaa
 
Elezea risk inatoka wapi
 
Back
Top Bottom