Kuwahusu Karamagi, Rostam, na wenzao...

Duh,Kaka TISS tena!!!?
Kwa wale ambao wamedai wamepita Kisutu wanaweza ku-confirm hakuna shughuli inaendelea hapo. That's abnormal, ila chanzo chetu kinafuatilia kwa karibu juu ya hili. We'll update you.

TOPIC HELD TILL CONFIRMATION
 
Sijahakikisha sana lakini habari zilizopo ni kuwa Meghji na Karamagi wamefika Kisutu.....
 
Inisible,

Tafadhari unganisha hii na ile nani atafuata, maana nimeona kule mtu nadhibitisha kuwa Karamagi na Megji wamemesomewa mashitaka.
 
Sijahakikisha sana lakini habari zilizopo ni kuwa Meghji na Karamagi wamefika Kisutu.....
mbona mlioko huko hamueleweki? ma karamangi kaka matw, mara hakuna kinachoendelea, sasa tuamini kipi? tupeni mambo ya uhakika. tuko hata kula hatujaenda.
 
Kwa wale ambao wamedai wamepita Kisutu wanaweza ku-confirm hakuna shughuli inaendelea hapo. That's abnormal, ila chanzo chetu kinafuatilia kwa karibu juu ya hili. We'll update you.

TOPIC HELD TILL CONFIRMATION

Invisible,

Mimi naona kuna shida hapa hata leo nahisi umerubuniwa na watu fulani kwenye hii habari. Kuna watu ambao by this time wangekuwa wameleta all details of what transpired in Kisutu court. Lakini leo naona wote wamenyuti, hawaandiki post hata mmoja na sasa ni saa kumi kasoro za bongo hutajapata jibu la nani alipelekwa mahakamani leo, kuna walakini.

Hivyo tujiangalie tusijepata anguko, I can smell something like what HASARA did.
 
INVISIBLE'SKaramagi, Rostam, Meghji na Warioba Mahakamani leo!

UMEFUNGA STORY YAKO LAKINI TAARIFA ZA UHAKIKA NI KWAMBA MWANASHERIA WA SERIKALI ALIYEHUSIKA NA KUWALETA AKINA BASIL NA WALE WA EPA MPAKA MUDA HUU YUKO KISUTU ANALANDALANDA KTK KORIDOR HUKU AKIANGALIA UWEZEKANO WA KULETA MAAFA MAPYA, TATIZO KWAO SASA NI MSIMAMO THABITI WA MAHAKAMA IMEKATAA KULETEWA KESI ZAO WAKATI JUA LIKICHWA SASA HAIELEWEKI KAMA HAWA WANANCHI WATAPELEKWA MBELE YA PILATO KESHO ASUBUHI AU LA? ANAYEVUMA MPAKA SASA KWA HAKIKA KUWA NI MTARAJIWA NI MH.KARAMAGI.

NADHANI ILE HALI ILIYOWAKUTA MRAMBA NA YONAH JANA IME WAFADHAISHA WAKUU, SASA WANAPANGA MBINU MPYA YA KUMWAGA UPUPU KISAYANSI PASIPO ZOGO MAHAKAMANI. TUSUBIRI TUONE.

MKUU NIMEFADHAISHWA NA KITENDO CHA KUFUNGA DIRISHA LA TAARIFA KTK THREAD YAKO MWENYEWE. USIHOFU MAANA WEWE UMEIITA TETESI.
__________________
"TWENDE PAMOJA, INAWEZEKANA... ." – FDR.Jr"
 
Invisible,

Mimi naona kuna shida hapa hata leo nahisi umerubuniwa na watu fulani kwenye hii habari. Kuna watu ambao by this time wangekuwa wameleta all details of what transpired in Kisutu court. Lakini leo naona wote wamenyuti, hawaandiki post hata mmoja na sasa ni saa kumi kasoro za bongo hutajapata jibu la nani alipelekwa mahakamani leo, kuna walakini.

Hivyo tujiangalie tusijepata anguko, I can smell something like what HASARA did.


Aa wapi, mkuu hapa ni kumkoma nyani tu. sasa topic ipo open nadhani utasikia sasa hivi kama Karamagi na Megji tayari wameshasomewa mashtaka yao hapo, kwa taarifa za ndani ya JF
 
Habari nilizozipata ni kwamba,rostam alishinda jana kutwa nzima anahojiwa na watu wa takukuru na anatarajiwa naye kufikishwa mahakamani,na kwamba karamagi hajafikishwa kisutu ila kundi linalofuata kupandishwa kortini ni la wote waliohusika na RICHMOND
 
au wanataka wawasemee usiku ni? hadi sasa hamtupi kinachoendelea

Muda wa kazi wa mahakama unajulikana. Hilo la Usiku Halipo!!

Wandugu... naanza kuhisi kama "Pandora Box" Mwungwana kaamua kulifungua ...tubembee wenyewe na bibi harusi

Shadow.
 
Habari nilizozipata ni kwamba,rostam alishinda jana kutwa nzima anahojiwa na watu wa takukuru na anatarajiwa naye kufikishwa mahakamani,na kwamba karamagi hajafikishwa kisutu ila kundi linalofuata kupandishwa kortini ni la wote waliohusika na RICHMOND

Sasa hapa ni kukanganyana huyu anasema hiki yule lile nadhani kama mtu hana uhakika na anachokisema ni bora akae kimya hata mimi ninazo habari tofauti lakini siwezi thibisha na ndio maana nakaa kimya hadi nitakapojiridhisha ni za kweli 100% ndio nitasema.

Invisible saa kumi muda wa mahakama umeshaisha na mahabusu wote wanatakiwa wawe gerezani kwa chakula cha jioni, Je hao mahabusu wa leo wamepata dhamanaaaaaa??????????????????????
 
AmaniGK
AmaniGK is just watching
JF Senior & Premium Member Join Date: Thu Jan 2008
Location: MAHALI FLANI
Posts: 239
Rep Power: 21

Thanks: 311
Thanked 203 Times in 106 Posts
Credits: 31,921

Re: Who's next Kisutu magistrate court?

--------------------------------------------------------------------------------

Wakuu nimepata Uhakika wa mtu aliyeko hapo Kisutu kuwa Meghji na Karamagi wamefikshwa hapo na kusomewa mashtaka yao.
Habari zaidi zitakuja hivi punde
__________________
Wa Kiambazani hula madafu.... wa mjini hubania bania
 
Sasa hii habari yote naona inaweza kupelekwa kule kwenye aftermath maana hata makali imepoteza nimepekuwa thread nzima kama kuna harufu ,ila sijaona kitu ni kutishana au kukurupushana.
Ni bora hii topiki ikawa ajwari ili izuke upya na mikakati.
 
Jamani eeh, semeni basi linaloendelea juu ya hawa watanzania! Wameshitakiwa ama zimebaki kuwa tetesi, ka laptop kanachemka tu hapa lakini news hazitiririki! Wengine tunataka kuziweka hizi siku mbili kama milestones za democracy in Bongoland!
Bring the latest news
 
Hebu wana jamii tujiulize, kama hii orodha ya mawaziri waliofikisha mahakamani tangu enzi za baba wa taifa hakuna hata mmoja alie hukumiwa, wote walishinda kesi. itakuwa ndoto kama hawa watahukumiwa. hii ni mbinu nyingine ya ccm kutafuta kura 20010
 
Mkuu naomba website ya MWANAKIJIJI.

Mwanakijiji.com

Wakuu Mlalahai na mwenzako Fidel80 eeeh,

Nadhani wengi hatuna bifu na huyu premier social political-thinker wa cyberspace ya Tanzania, Mzee Mwanakijiji, lakini hamuoni kwamba haipendezi mkianza kutumia jamvi moja ku advertise la mwingine ? Na hata kama hamkujua taratibu zozote zinazokataza hilo, nyinyi kwa muono wemu mnaona hiyo ni poa kweli? Linaingia akilini hilo ?

Ni kweli JF wamesema hawaogopi competition lakini hata kampuni ya chupa ya kibongo ya Fahari Bottlers ikianza kutengeneza soda zake zenyewe halafu ikawa inatumia nembo za Coca-Cola hawata maindiwa, japokuwa ki-bajeti cha mwaka mzima cha Fahari Bottlers ni mchango wa siku moja wa Coca-Cola katika kuboresha mazingira ? Hebu tafakarini kidogo hapo.

Halafu ningekuwa mimi ningepeleka hivyo vi shenanigans kwenye Private Messages. Mmewahi kuisikia hiyo feature ?
 
Back
Top Bottom