Kuwahusu Karamagi, Rostam, na wenzao...

Mwenzenu sielewi mzee WARIOBA amekuwaje maana mie huwa namuona ni mtu safi tena anapiga vita rushwa na uozo wote wa chama tawala?!:eek:

Hapendwi mtu hapa; he must prove his innocence before the court of law!
 
Mwenzenu sielewi mzee WARIOBA amekuwaje maana mie huwa namuona ni mtu safi tena anapiga vita rushwa na uozo wote wa chama tawala?!:eek:

Anatuhumiwa kuwa na uhusiano na kampuni inayotuhumiwa kufisadi ya MWANANCHI GOLD cO.ltd,
 
Du! Hapo patamu sana,Sasa Amebaki Lowasa pamoja na Masha. Nakwambia kwa Mwendo huu halitasalia Jiwe Juu ya Jiwe ambalo halitabomoshwa!
 
Watu wanatasafiri na kupotea sasa hivi, mbona sijamsikia Chenge hadi sasa? Anaumwa?
 
Utachanganyikiwa muda sio mrefu.

Na sio vyema kuwatoa watu kwenye kitu wanachokiangalia kwa makini, hii thread ni ya Karamagi, Rostam na Warioba, GT na MMM wanafikaje hapa?

Watu kama GT ndio waliofikisha nchi hii hapa ilipo. Utamaduni, Usishangae. Kama ulisoma post ya mwanamke mwafrika jana unaweza kuelewa alichokuwa anasema.
 
Mliopo Kisutu Mtuhabarishe wenzenu, maana matumbo yamesinyaa hata hamu ya chakula imetoka hadi tujue ni makosa gani wameshitakiwa nayo, na je dhamana kiasi gani na kama wameshindwa walau wakalale keko hata kwa wiki moja kama kina yona na mramba
 
Wakuu hebu leteni hizo nzito nzito maana naona hapa pamenoga sasa! Hatoki mtu hapa mpaka kieleweke. Ila mhh huyo mzee Warioba naye kulikoni? Maana staha yake TZ iko juu sasa imekuwaje?
 
duh, asalaleee..... kweli mpira ni dakika 90.... kama hili la leo likitimia nadhani tutakuwa tumepiga 3 bila mpaka sasa na ni kipindi cha pili!!

Kweli JF ni KIBOKO...........JF aminia mwana!!!
 
Mbona sioni watu?wamekimbia gafla?
Maskini Warioba na kujisafisha kote kule leo unatumbukia kwenye shimo la takataka kiuzembe uzembe hivi hivi.
 
mliopo kisutu mtuhabarishe wenzenu, maana matumbo yamesinyaa hata hamu ya chakula imetoka hadi tujue ni makosa gani wameshitakiwa nayo, na je dhamana kiasi gani na kama wameshindwa walau wakalale keko hata kwa wiki moja kama kina yona na mramba

kwanini usiwe unataja jina lake lote sio hilo moja tu
 
Of all,Rostam akigusa tu majengo ya mahakama hata kama ni kwa kutuzuga nitapata imani kwamba hii sasa ni ishu serious.
 
I am just curious about Don Rostam Aziz!!!!!!! Vyanzo navyo leo imekuwa tabu kweli!!!!!! simu hazipatikani
 
Mhh,lakini hii ni kampeni ya CCM kujiandaa kwenye cahguzi za serikali za mtaa next year kwani bado kesi zitakua mahakamani
 
Niliwahi kuandika kwenye thread fulani juu ya Warioba na Meremeta Gold, watu wakasema ovyo. Hii ni habari mbaya kwa watu kama Mzindakaya na wengine ambao walichotewa BOT ili wakae kimya.

Huenda Warioba hajafaidika sana na hizo pesa lakini pia na yeye ni mhusika kwenye hilo.

Ila hili la kumfunga kamba Warioba naona litatikisa CCM. Tujiandae kuona CCM ikimegeuka na hicho ndio watu wengi tumekuwa tukiombea.

Tuombe yote haya yawe kweli.
 
kwanini usiwe unataja jina lake lote sio hilo moja tu

But you got the point as to who YONA and MRAMBA are,didnt you?Ohhh,I forgot you're YONA (Maro) too!My bad.

Anyway jokes aside,mzee wa breaking news Shy,tupatie the latest basi.
 
Wapendwa wana JF, naomba mwenye copy ya hotuba ya rais wakati wa kufungua bunge aiweke hapa... haya yote yalitabiriwa if you read that speech between the lines. Aliwaonya viongozi wenzake, akasema wasimuone ancheka ana msimamo na pia aliwaambia tusije laumiana mbele ya safari. Tatizo lililokuwepo ni kwamba wananchi tunataka mambo haraka haraka bila umakini.. mwenzetu JK ana utulivu .. ndio ametuacha tuchonge wewe halafu ndio papu anafanya mambo... pesa za EPA karudisha na sasa wote waliorudisha na ambao hawajarudisha rupango... soma Guardin ya leo kuna mahojiano ya Mkurugenzi wa Mashitaka.. Cha msingi sasa hivi ni kumuunga mkono sio kushangaa.. JK has proved evry one f us very very wrong
 
Back
Top Bottom