engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
haya,tujiandae na kila jambo juu ya misaada tuipokeayo kutoka nchi wahisani
kuwa shoga hutaki nakata misaada
tembea uchi hutaki nakata misaada
uza madini yako hutaki nakata misaada
tumia vyandarua vilivyotoboka hutaki nakata misaada
huo ndio utumwa wa misaada tunayoitafuta nchi za nje
kama bwana mackenzie alivytuletea ile habari ya kupunguza watu kazi,eti kupunguza matumizi ya serikali akadai kama hatutaki watakata misaada
Jamani umefika wakati wa kujitegemea kwa kile kidogo tulichonacho,la sivyo tutakuwa ni watu wa kulazimishwa kufanya kila jambo na hawa tunaowaita WAHISANI